Search results

  1. R

    Kurefusha kope

    Ina maana Mungu aliyekuumba alikosea?
  2. R

    Hongera sana Mama Joyce Mhaville

    Big up Joyce Mhavile.
  3. R

    INAUMA SANA: Unayempenda kwa dhati kabsa, anapokuchukulia kama Rafiki yake wa kawaida

    Sema nae taratibu usiogope wala usikate tamaa, mshirikishe Mungu pia kwa maombi.
  4. R

    Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

    Binadamu tumekuwa wakali kuliko Simba, hatuna hofu ya Mungu.
  5. R

    Hivi majiko ya mafuta ndivyo yalivyo au langu tu?

    Ukijua kutumia Jiko la Mafuta ya Taa wala hutapata shida, ukitaka Sufuria zisichafuke unatakiwa uwashe jiko likishawaka unachukua muda kama Dakika Mbili bila kubandika Sufuria, baada ya hapo ukibandika Sufuria yako haitachafuka kamwe.
  6. R

    Hivi Dar hii kuna watu bado wanatumia mkaa badala ya gesi kupikia?

    Huyu atakuwa yuko kibiashara zaidi, lakini mimi binafsi kuna baadhi ya vyakula nikitumia Mkaa nafurahi sana.
Back
Top Bottom