Search results

  1. N

    Joshua Nassary ametoa pesa wapi ya kukodisha Helkopta?

    Tunakushukuru kwa taarifa Bw. Augustino Mushi (mmaranguorigino) .Kwa kifupi washiriki wa jukwaa hili wanakufahamu kwa jina na anayekutumaga kumuandama Nassari hapa. Mwambie tumemsikia kupitia wewe. Sasa nenda an wewe ukapewe Gari Kama wenzako kisikio (paul mafie) na Elipokea Urio.
  2. N

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Matokeo serikali za mitaa Arumeru Mashariki 2014. MAMLAKA YA MJI MDOGO USARIVER(JUMLA YA MITAA 9) CHADEMA 5 CCM 4. Jumla ya vijiji 89,halali Uchaguzi ni 75,venye pingamizi na utata wa matokeo 14,CDM 34 na CCM 41. Vitongoji jumla 308 vilivyofanya uchaguzi halali ni 268,venye pingamizi...
  3. N

    CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

    Na hii nimeikuta Facebook. Hongera Dogo Janja Nassari Diwani wa kata ya Maji ya Chai Ndg Loti Nnko ameanguka baada ya kushindwa uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare alichogombea mwenyewe kwenye kata yake ya Maji ya Chai. Tumeshinda vijiji vyote 7 kwenye kata hii. Sasa Diwani unashindwa hata...
  4. N

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Toka kwenye Facebook page ya Nassari. Matokeo ya awali. Vitongoji vyote kijiji cha Ngyani tumechukua vitongoji vyote. Kijiji cha Songoro tayari tumeshinda vitongoji viwili. Jimbo hili la Arumeru Mashariki lina madiwani 23 wote wa ccm, vijiji 99vyote vilikuwa Vya ccm, vitongoji 321...
  5. N

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kutoka kwenye Facebook page ya Massari. Matokeo ya awali. Vitongoji vyote kijiji cha Ngyani tumechukua vitongoji vyote. Kijiji cha Songoro tayari tumeshinda vitongoji viwili. Jimbo hili la Arumeru Mashariki lina madiwani 23 wote wa ccm, vijiji 99vyote vilikuwa Vya ccm, vitongoji 321...
  6. N

    Picha: CCM yapumulia mashine Arumeru Mashariki

    Katika mikutano ya kampeni za kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa, CCM iko na Hali mbaya Arumeru. Imefika hatua wameshindwa kufanya mikutano sasa wanapitia nyumba kwa nyumba wakigawa sukari kuomba kura
  7. N

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Katika Hali isiyotegemewa Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari alitoa taarifa Bungeni Kuwa Prof Muhongo amedanganya Bunge kwa kusema Kuwa Naibu waziri Masele aliteuliwa na serikali ya marekani kuwawakilisha vijana wa generation ijayo ya viongozi wa Africa Kama sababu ya kujitetea kwamba wamarekani...
  8. N

    Nassari; Hakuna kuchangia maabara tena, Kama hela ya IPTL isiporudi.

    Mbunge wa Arumeru Mashariki CHADEMA ambaye pia ni mbunge mdogo kuliko wote Tanzania amewataka wananchi wake kusimama kuchangia fedha za maabara kwenye shule za sekondari Kama fedha za Umma zilizoibiwa kupitia Escrow account na sagga ya IPTL hazitarudi kwa Umma. Aliyasema Hayo Juzi jumapili...
  9. N

    Nassari aamua kugawa mashamba Arumeru, Polisi washindwa kuzuia zoezi

    Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari jana aliungana na wananchi wa kata ya Makiba kijiji cha Valesca kugawa mashamba kwa wananchi hao baada ya Serikali kupitia Halmashauri ya Meru kushindwa kufanya hivyo. Ikumbukwe mwaka jana wananchi hao walivamia mashamba Hayo yenye zaidi ya ekari 4600...
  10. N

    Joshua Nassary chupuchupu apewe kichapo na vijana wa Ulonga Meru

    Na aliwashughulikia magamba kweli. Ndo maana mnaweweseka. Wewe Kibaraka wa hao maccm waliokununulia rav 4. Dogo Janja kawashughulikia mpaka wazee wa miaka 80 wakarudisha kadi za tanu na ccm.
  11. N

    Katibu wa mbunge Joshua Nassari ajiuzulu

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/653586-miaka-miwili-ya-ubunge-kasi-ya-nassari-arumeru-yawachanganya-ccm.html#post9457039
  12. N

    Katibu wa mbunge Joshua Nassari ajiuzulu

    Acha uongo gamba. Ijumaa wiki iliyopita Nassari na katibu wake walikuwa kijiji cha kilinga na maofisa wa wakala wa misitu Tanzania alipokwenda kutatua Mgogoro wa mashamba ya forest na wananchi sasa wamepata Haki Yao. Jumamosi alikuwa na katibu wake kwenye mkutano wa hadhara kijiji cha Ngyani...
  13. N

    Picha za Lissu, Nassari na Heche, Arumeru Mashariki

    Moja ya mikutano iliyofanyika kwenye operedheni M4C pamoja daima ni uliofanyika kwenye kijiji cha olkung'wado kata ya ngarenanyuki - Arumeru mashariki leo. wameunguruma Kamanda Lissu, Nassari na heche. Kadi zaidi ya 400 za ccm zimerudishwa kwa hamasa. Ona picha
  14. N

    CHADEMA: Samwel Shamy awezesha harambee, madaftari 1800, vitabu 200 na computer 10

    Unamuachaje mbunge wa chama chako alafu unafanya hujumabna mkuu wa wilayabambaye ni mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm wilaya hiyohiyo?? Alafu ukifahamu fika juhudi za mbunge kuinua ki2ango cha elimu ikiwa ni pamoja na kugawa vitabu vyenye thamani ya zaidi ya milioni 38 kwenye shule za kata...
  15. N

    CHADEMA: Samwel Shamy awezesha harambee, madaftari 1800, vitabu 200 na computer 10

    Hizo computer 10 kazitoa shule zipi maana hazikuwepo kwenye mkutano na waandishi na ni harambee gani inakuwa na mahudhurio ya watu 3 tu. Inasemekana jamaa ilibidi awaombe vijana waliokuwa kwenye interview ya kujiunga na jkt waingie ndani ya ukumbi angalau waonekane watu 10 wapo. Na mbona...
  16. N

    Wabunge watafuna Posho hovyo! CCM, CHADEMA wote washiriki mchezo mchafu

    raia mwema ina nakala ya waraka na email aliyomwandikia katibu wa Bunge wakati bado kamati ipo nje ya nchi na kwa taratibu za kawaida angweza kuungana na kamati yake baadaye kama ambavyo wengi huwa wanafanya wanapokuwa na jukumu zaidiya moja kwa wakati mmoja. Baada ya kumwandikia barua aliandika...
  17. N

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Mwaka 2010, Sebastian Kasinge aliyeteuliwa kugombea ubunge jimbo la Mpanda Mashariki, alikwama kuwania nafasi hiyo. Kisa?! Zitto.Ilikuwa hivi, Kasinge alikwama kupata barua ya utambulisho kutoka kwa viongozi wake wa wilaya ya Mpanda kuwa ni mgombea. Akaenda makao makuu ya Chadema jijini Dar es...
  18. N

    Nassari amwambia Maghembe: Eti nawe ni Profesa!

    Bajeti haionyeshi haueni ya tatizo la maji kwa watanzania, waziri anasema wanamalizia utekelezaji wa mradi wa maji kwenye kijiji cha kasanumba halmashauri ya meru wakati hicho kijiji wala hakipo na mradi ni kama M400 hivi kwenye hotuba. Halafu vingine vinne mradi haujaanza hata kuanza lakini...
Back
Top Bottom