Search results

  1. G

    Serikali yapeleka Madaktari 15 kutoka Lugalo

    Ni udhaifu mkubwa Serikali yeyote kushindwa kutumia busara na hatimaye kutumia nguvu na ubabe.Swala la serikali kuonyesha kuwa kama madaktari hawatakuwepo tayari basi wanaweza kutumia wanajeshi ni Udhaifu wa Viongozi wetu ambao hawana fikra pana na badala ya kutumia Akili wanatumia Nguvu.
  2. G

    Mlipuko mkubwa leo alfajiri ni nini?

    Watanzania mlio Dar huu mshindo mkubwa wa mlipuko ni nini kwa mwenye taarifa?naomba kuuliza kwani hofu imetanda Mikocheni
  3. G

    Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa

    Lori la Mkaa Usiku wa saa nane liligonga daraja na kuzuia magari yanayopita daraja hilo kukwama tokea iyo usiku muda huu.Source Clouds'BONGE
  4. G

    Tumedhubutu,Tumeweza,Tunasonga Mbele

    Jamani haya maneno na mengine yajiwemo Nguvu zaidi kasi zaidi na ari zaidi.Kidumu chama cha mapinduzi.Maisha bora kwa jila mtanzania.
  5. G

    Ukweli kuhusu kuzomewa kwa Kikwete

    WanaJF naomba kujua kama kweli jana Umma uliweza kumfikishia ujumbe Kikwete kuwa hatumtaki na tumemchoka huku nchi ikiwa imemshinda.
  6. G

    Mama Analeliya Nkya Maandamano lini?

    MAMA NKYA na Watanzania nipo hapa Mwananyamala Hospital umeme umeshakatika mara 5 sasa na ninavyo post hii thread umekatika tena,Naomba kujua maandamano lini tuweze kumwonyesha Kikwete na Dunia tulivyochoka.Ccm na Kikwete na Miaka yenu 50 ya Uhuru tupo gizani Shame on you Ccm.
  7. G

    Siha Waomba Ukombozi CHADEMA

    Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya...
  8. G

    Chadema Arumeru na Ligi ya Mpira wa Miguu

    Chadema Arumeru ni mfano wa kuigwa kwa kuanzisha Ligi ya Mpira wa Miguu.Hongera Mbunge Mh Joshua Nasari Mungu atakulipa kwa moyo wako wa kusaidia vijana.KILEWO,NASARI NA KOMBE WAWASHA MOTO Arumeru vijana wapo tayari kuzuia malipo ya Dowans.
  9. G

    Kituo cha Startimes Bamaga nusura kiungue moto

    Transfoma ya Tanesco inayosupply umeme Tbc Bamaga hapa jijini Dar es Salaam yawaka moto na kusababisha tafrani kubwa.Source mwenyewe eneo la tukio pictures nitatuma pia video.
  10. G

    Serikali ya CCM imeoza ofisi ya Spika Urambo

    Hivi Serikali ya Ccm inatumia kichwa kufikiri kweli?mimi ninawasiwasi kwani iweje watumie pesa nyingi za walipa kodi kujenga ofisi ya Spika wa Bunge Urambo.Je spika wa sasa anatumiaje Ofisi iliyoto Urambo.Nadhani Tanzania ikipata Rais na Serikali makini Sitta Samwel anatakiwa afunguliwe mashtaka.
  11. G

    Boksi la Kura na njama za CCM

    Matukio yanayopelekea Ccm kushinda siyo Sera na Imani ya Wananchi kwa Chama bali nguvu kubwa inayotumiwa na Serikali dhidi ya Upinzani,Mfano Magari yaliyotumika kwenye Chaguzi zote mengi ni mali ya Serikali allowance za Serikali/mpaka imepelekea Uchaguzi wa Igunga kufanya Mishahara ya...
  12. G

    Siku 14 kabla ya Ukombozi waliomteka Kamanda Odero wa CHADEMA Wajisalimishe Polisi

    Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi. Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni...
  13. G

    Elections 2010 Hofu Uchaguzi Igunga Tume na dalili za Uchakachuaji Karatasi

    Imenipatia wakati Mgumu ghafla baada ya kupokea simu na kuulizwa kama ninaweza kukodisha lorry langu na kupeleka Karatasi za kupigia kura Igunga,huku masharti ya kazi hiyo ni pamoja na uzito ni Tone 2.5,usafiri lazima uwe Fuso na bei isizidi Million 1 laki 2. Huwezi amini hii kazi amepewa mtu...
  14. G

    Masako kibaraka wa CCM

    Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama...
  15. G

    Laurence Masha anastahili adhabu gani?

    Jf nivigumu kuwa na amani/furaha unapokutana na mtu ambaye amefanya unyanyasaji kwa ndugu,jamaa hata marafiki zako wa karibu.Nimekutana na huyu aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Laurence Masha hapa Rose Garden.Huyu bwana kipindi cha uongozi wake amewahi kutumia rungu la dola...
  16. G

    Lorry laanguka laziba barabara Vigwaza'Chalinze Dar

    Lorry la mizigo limeanguka katikati ya barabara na kuziba njia kuu itokayo Chalinze kwenda Dar.Source mimi mwenyewe eneo la tukio.
  17. G

    Umeme wakatika Mwananyamala Hospital, Vilio vyatanda wodini!

    Vilio vyatanda kwenye wodi ya wazazi kutoka kwa watoto wachanga na maneno ya kashfa kwenye wodi nyingine zenye watu wazima hapa hospitalini kwa viongozi na serikali ya Kikwete baada ya nishati ya umeme kuondoka hapa majira ya saa 18:22.Wapo watakao poteza maisha kutokana na kukosekana kwa umeme...
  18. G

    Anna Tibaijuka ajenga kwenye hifadhi ya Barabara.

    Mh Anna Tibaijuka anajenga nyumba ya kuishi Makongo juu ndani ya Hifadhi ya Barabara.Ni vema sasa ikajulikana nini hatma ya nguvu ambayo mama huyu amekuja nayo kwenye wizara hii.Tuwaelewe vipi hawa?
  19. G

    Pata Mafuta halisi ya Alizeti ulipo kwa Tsh. 17500/=

    Wanajf ninatambulisha bidhaa halisi ya mafuta ya kupikia.KIBAIGWA AMANI FRESH OIL MILL bidhaa hii inapatikana kwenye ujazo wa Lita 20 na lita 5.Bei ni Tsh 3500/= kwa lita moja.Mawasiliano piga namba. 0719 508388
  20. G

    Serikali ya CCM yatumia vitisho kwa Viongozi wa CHADEMA Arusha

    Inasikitisha sana kuona mbadala wa uongozi wa Chadema Arusha ukipata misukosuko ya kubambikiziwa kesi ya kutishia kufanya mauaji kwa Meya feki wa Arusha.More news to come,lakini yawezekana Ukombozi umekaribia na mabadiliko lazima yatokee hakuna nguvu ya kuzuia mabadiliko kitu ambacho Ccm na...
Back
Top Bottom