Search results

  1. S

    Natafuta nguruwe

    Heshima kwenu ndugu Naomba mwenye kujua wapi naweza pata nguruwe mzuri wa Mbegu mwenye mimba kwa bei nzuri anijulishe au Kama muuzaji tiririka bei na aina ya nguruwe ulonao Shukrani
  2. S

    Pikpik aina ya San lg.

    Heshima kwa wote. Nnarafikiyngu anatafuta pikpik aina San lg used kw mwny nayo naomb anitafute pm tuelewane bei.iwe katika hali nzuri isiwe imetumika zaidi ya miezi sita. Karibuni!
  3. S

    Makonda, una kibali cha kumpokea Rais kesho uwanja wa ndege?

    Jaman hili la kujitokeza kesho kwa hali na mali kumpokea rais shujaa anayepambana usiku na mchana kuzunguka nchi nzima wakati muda wa kampeni umeisha huku wakisema hapa kazi tu limekaaje? Swali kwa Makonda: Je hayo mapokezi ni kwa mfumo gani?! MTU mmoja mmoja au kikundi cha watu? Je hayo sio...
  4. S

    Mitihani ya bodi psptb

    Habari zenu ndg zngu. Jaman naomben kwa anayejua vizuri kuhusu muda ambao Mtu aliyefany stage 4 na kufaulu masomo yote pengine hakuwez kuunga stage 5 ya mwsho kwa wakati huo huo je dead line ni miaka mingapi anawez kukaa bila kwnda na akaendelea na stage ya mwisho?! In short je kuna muda maalumu...
  5. S

    Gari aina ya kluger kwa bei nafuu.

    Kwa aliye serious tu plz naomba anipm nimpe full details. Ni plate no.D ipo njema sn naanzia 20mill mazungumzo kdg ypo.
Back
Top Bottom