Search results

  1. S

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Fresh graduates karibuni PM kuna nafasi za internship mbili mahali ukifany vzr wanakuchukua.
  2. S

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Karibu PM for more details.
  3. S

    Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

    Kuna jamaa alikop nmb 18mil deni la 8yrs anatakiwa kulipa 32mil hili nalo ni janga lingine.
  4. S

    Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

    Sadak zimepungua umekuj kupim upepo hku?! Acha kumfananisha Mwakasege na vitu vyenu vya ajabu ajabu.
  5. S

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Hyo commerce ya tr20 ikianza tushuane tukae mguu sawa. Mwendo wakuwah seat ya mbele unapiga unasepa
  6. S

    Tafakari ya leo: Mpe muda

    Kumbe chumvi alikuja kudesa humu
  7. S

    Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

    Hii mada tamu na fikirishi sn. Vijana wakileo wameamka sn ni suala la muda hizi Biashar zitabalansiwa kuwepo na unafuu.
  8. S

    Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Ile kauli ya historia itakubeba inatesa sn mioyo ya wakengefu na walolaanika kw kumtegemea binadamu
  9. S

    Tusisahau haya aliyoyafanya Ndugai akiwa Spika wa Bunge

    Kumekucha karma is a bitch duuh! Kazi iendelee. Tz nimeanz kuilv kw moyo
  10. S

    Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

    Kiherehere cha nn subiria PDF iteme au nawe mmojawapo tumbo joto?! Historia zitalandana nao. Full stop!
  11. S

    Full Text: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya kufunga mwaka 2021. Kirusi kipya cha Corona cha Omicron kimeshaingia Nchini Tanzania

    Watz nn lkn mnamfungia mazaa mwaka vby lkn c mngevunga tu kdg kuufunga mwaka. Mwandishi kajipinda kuwahabarisha nae mnamkata ngebe khaaah [emoji23]
  12. S

    Tuhuma mbalimbali za ufisadi zazidi kumwandama aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha

    Vi sub sabaya vilikuw vingi kumbe Mmmmhhhh.. Mama hataki makasiriko ya wanaomsingizia mwendazao historia itawabeba au kuwaketisha chini mana mabega yalizid kuinuka juu. Ss madiwan wa siha wanachojua nikuazimia tu watumishi bla ht kujua undani wa vitu kugonga meza kw bashasha kumbe fedha zinapigwa.
  13. S

    Hoja kinzani wajawazito kurejea masomoni

    Tatzo linaanzia pale mtu yle yle alosimama kupinga Leo anasimama tn kupindua alichokikomalia.. Lugha Ya kitaa wanasem kula cjui Chakula ulichokila kikaamua kurejea. Makasiriko yangepungua hizi sura zingebadilishwa.
  14. S

    Agizo la hayati Magufuli: Sheria 154 zatafsiriwa kwa Lugha ya Kiswahili

    Sasa ni mwendo wa kutoka wakili msomi kwenda wakili msomaji. Viva mabadiliko! [emoji23]
  15. S

    Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

    Sindano haijawah kuwa tamu.. Mh raisi endelea kudunga watapona ht wakitapika ishaingia kw damu
  16. S

    Una vyeti, kadi au vitambulisho vingapi?

    Bdo cha Chanjo ya uviko 19.
  17. S

    Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

    Angeanz na ile yke na mwijakuku ingependezamo kdg [emoji23]
  18. S

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Hawa maded washajisahau Mh raisi naomba uangazie macho kwa hawa wapandisha mabega ikiwezekana waanze kufanya interview badala yakuteuliwa wanapwaya Sana ukizingatia wengi ni wale wale wa enzi za mwendazake
Back
Top Bottom