Sikatai, mazuri anafanya-ila kumbuka kuna mtu hupenda kuonekana mzuri kwa watu wa nje na si kwa watu wa ndani kwake iwe nyumbani au ofisini. Same applies to him. My late young sis worked with the guy tangu akiwa Mwanza-kuleana, it was the same story. Tena she used to say kuna pesa hajamlipa...
Mzalendo,
I believe the source of information was ok.
Alisema watu na qualifications zao za kueleweka walikuwa wakiondoka/wakiacha kazi kwa karaha nyingi za pale. Even the source of inf. left long time ago. Si unajua walio juu juu hujipendelea kwa hili na lile? Kazi kwa the low cadre staff...
Ni kweli kabisa.
Nilishakutana na mfanyakazi wa haki elimu, alieleza jinsi gani wananyanyaswa na huyu bwana. Alisema yupo pale kwa kujifunza kazi tu na si kitu kingine. Anaeshika alitolewa gazetini kwa jina na picha - ni Betty Misokia.
AF
Quote: COMRADE44
JK interview on VOA with Shaka Saali was a flop.So much stammering and stuttering one lost the context of the statement or answer.By the way does anyone know who he was refering to in his answer to the very last question? "What is the low point during your time in office...
Drivers wanaotumia njia ya tatu wakielekea mjini wanakuwa
wame occupy space ya njia mojawapo ya huo upande.
Mwenda kwa miguu/muendesha baiskeli anataka kuvuka barabara
kutoka upande aliopo ambao barabara moja imekuwa occupied.
Akiangalia anaona hakuna gari, kumbe lipo kutokea upande walio...
Marafiki,
Imekuwa ni muda mrefu sana sasa tangu tatizo la wanafunzi liwekwe hadharani. Wanaishije hawa WaTz wenzetu? Jaribu kuwa kwenye nafasi yao, na wingi wa hayo matatizo yanayowakabili! Inauma sana. Hawasomi, wanakula wapi? Wanalala wapi? How do they meet their daily needs? Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.