Search results

  1. M

    Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

    Kama si wachochezi, Wasira, Cheyo, Mrema na yule Balozi wa amani wa kuchonga, mmepwa somo na bwana Niponipo. Mwelezeni aliyewatuma njia sahihi ni hiyo aliyoshauri bwana Niponipo Na siyo kujenga mazingira ya kuanzisha fujo. Maana mkizuia maandamao mikutano ya CDM ambayo kwetu ni darasa la...
  2. M

    CCM wanunua nakala za Tanzania daima kwa wingi

    Upo ukweli. tarehe 3/3/2011 nilishuhudia mmoja wa wabunge wa CCM toka mkoa wa Singida eneo la Hoteli iliyo karibu na Ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba Dar, akiwa na bunda la magazeti la juu likisomeka Tanzania Daima sijui ya ndani pia yalikuwa yaleyale au yalikuwa tofauti.
  3. M

    CHADEMA (Dr Slaa) afuate nyayo za CUF (Maalim Seif)

    Kila ndege huruka kwa ubawa wake. Mazingira yanatofautiana. Dr Slaa ni maarufu kiwango cha kutosha mwache aendelee kivyake tunaridhishwa naye.
  4. M

    Wasira,Cheyo na Mrema wakamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi.

    Nakubaliana na Byendangwero. Wasira, Cheyo na Mrema wanalo lao. Tumewaona tangu Bungeni akina Cheyo na Mrema wakitumika kudhalilisha kambi ya upinzani (CDM) ambayo ni mwakilishi halali wa wananchi walio wengi na si akina Mrema na Cheyo wanofanywa vikaragosi na CCM wachakachuji wa matokeo katika...
  5. M

    Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

    TRA siyo wajinga na si kitengo cha CCM kama unavyofikiri. Ndani TRA karibu wote pia wanakerwa na mambo ya CCM kama ambavyo CDM inavyokerwa. CDM aluta continue, we together. Wasira go to hell.
  6. M

    Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

    I praise CDM team for making people woke up and fight for their rights which has been sweendled by rulers and their allies for a long time. Cheyo and Mrema are dead polititians don't listen them. They are CCM messanaries, the voters back to their constitutions shall punish them for underleting...
Back
Top Bottom