Search results

  1. Kibona Dickson

    Maandamano ni silaha ya wanyonge

    MAANDAMANO ni utaratibu wa kidemokrasia watu kutembea umbali fulani wakiwa na ujumbe wa kuunga mkono au kupinga au kulaani jambo, mfumo, utawala fulani au kudai haki. Mwaka 1967 watu waliandamana kuunga mkono Azimio la Arusha huku wakiwa na ujumbe wa kulaani unyonyaji, ukabaila na ubepari. Pia...
  2. Kibona Dickson

    NATO sees no sign of Russian pullback from Ukraine border

    ukweli ni kwamba,Amerika na mataifa mengine makubwa duniani wamejifunza athari za vita.Katika vita kuu vya dunia vya kwanza na vya pili mataifa yote yaliyoshiriki yalipata hasara kubwa.Washindi wakiongozwa na Uingereza na marekani,walipata hasara.Waliopoteza vita wakiongozwa na ujeruma na...
  3. Kibona Dickson

    NATO sees no sign of Russian pullback from Ukraine border

    you seem to have limited knowledge of the US military and economic supremacy in the world.If we Would make comparison on military and economic supremacy,US is the most powerful country both military and economically in the world. At present,US and her European allies believe that the diplomatic...
  4. Kibona Dickson

    Tanzania tuwakatae wabunge wanaotumia bunge kutafuta kipato

    Kwa kweli umefika wakati,watanzania tuwe makini na hawa wabunge wanafiki na wabinafsi tuwakatae wabunge ambao wanaacha kazi yao ya msingi ya kuwawakilisha watanzania na kugeuka wawakilishi wa matumbo yao na familia zao.Kama kuna mbunge anatarajia kuongeza kipato kupitia bunge, basi ni vyema...
  5. Kibona Dickson

    CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

    hongera sana CDM,"Hakuna kulala mpaka kieleweke,kikieleweke hatulali"
  6. Kibona Dickson

    Nguvu ya umma UDSM yashinda

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm kwa pamoja na kwa kutumia nguvu ya umma,wamefanikiwa kuulazimisha utawala wa chuo kubadili maamuzi yake ya kuwasimamisha wanafunzi zaidi ya 40 kutokana na maandamano yaliyofanyika mwezi novemba 2011.Wanafunzi hao wamerudishwa chuoni kuendelea na masomo kama...
  7. Kibona Dickson

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    siku moja baada ya katibu wa bunge la Tanzania kukanusha kwamba wabunge wameongezwa posho ya vikao kutoka tsh.70000. hadi sh.200000,Anna makinda leo ameuthibishia umma kuwa katibu wa bunge ni mnafiki na muongo,posho za wabunge zimeongezwa hadi tsh,200000 kwa siku.
  8. Kibona Dickson

    Jakaya M. Kikwete ZINDUKA CHADEMA wanakuondoa!

    sikio la kufa halisikii dawa.
  9. Kibona Dickson

    Chadema yazidi kujiimarisha mkoa wa mbeya,MBEYA NI NGOME YA CDM

    chama kikuu cha upinzani tanzania,CHADEMA kinazidi kuwa imara na kuungwa mkono katika mkoa wa Mbeya,haya yamejidhihirisha hivi karibuni wakati wa mikutano na maandamano ya CDM ktk mkoa huo.Ushiriki wa wananch ktk maandamano na mikutano ni kigezo cha msingi sana cha kukubalika kwa chama.Mikutano...
  10. Kibona Dickson

    Nape nauye hana hoja anawakilisha kilio,hasira na maumivu ya ccm.

    Nape Nauye katibu wa itikadi na uenezi wa halmashauri kuu ya CCM,anaonekana anataka kukifariji chama chake na hata mafisadi waliomo katka chama chake kwa kuanza kukurupuka kutoa hoja zisizo na uzito dhidi ya wapambanaji mahiri wa CHADEMA. Nape anakoteza hoja,analazimisha na kujenga hoja bila...
  11. Kibona Dickson

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Miezi michache imepita tangu Shitambala aondoke CHADEMA na kujiunga na CCM. CCM walimpokea kwa shangwe na tambo nyingi,wakidhani Shitambala ni mtu maarufu katika siasa za mkoa wa mbeya na ana wafuasi wengi ambao wangemfuata huko CCM.Maandamano ya CHADEMA yaliyofanika jumamosi yamethibitisha kuwa...
  12. Kibona Dickson

    Mukama: CCM haijipodoi, chama hicho si jiwe, ni chama makini...

    Kuvunjwa kwa CC na Sekratariet si kujivua gamba,CCM inawahadaa na kuwapiga changa la macho watanzania,
  13. Kibona Dickson

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Mark.mim sikuwaona waliotangazwa kurudi CCM Pamoja na Shitambala,hakuna mwana CDM aliyehama na bwana Shitambala isipokuwa kibaraka mwenzake bwana Kayuni aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la ILEJE.Hao 150 Unaowazungumzia ni hadaa na changa la macho kwa umma na JK. jk anadanganyika,lakini umma wa...
  14. Kibona Dickson

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Shitambala ameamua kuondoka chama cha CHADEMA na kurudi kwenye Chama cha CCM. Kwa shitambala,kuondoka CHADEMA ni pigo kwa Chama cha CCM na Shitambala mwenyewe. Shitambala kabla hajarudi CCM,alikuwa mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Mbeya.Amewahi kugombea ubunge mara mbili kwa tiketi ya CHADEMA na...
  15. Kibona Dickson

    Mrema umeanza na kasi ambayo sio yenyewe,ungewachia wahusika

    Augustino Lyatonga Mrema,Mbunge wa jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali ya mitaa,ameanza kwa kishindo ambacho sio chenyewe na kudhihirisha jinsi asivyojua mipaka ya wajibu wa kamati ya bunge anayoiongoza. Magazeti kadhaa nchini yameripoti juu ya kile...
  16. Kibona Dickson

    Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

    Kama tutaendelea kuendekeza kupindishwa kwa sheria na taratibu kwa kisingizio cha hali ngumu ya maisha,Tanzania itaendelea kubaki nyuma,na tutakosa ustaarabu kama taifa huku mataifa mengine wakiendelea.Ugumu wa maisha kamwe usijenge uhalali wa kwenda kinyume na mambo tuliojiwekea kama utaratibu...
  17. Kibona Dickson

    CCM waomba rasmi msaada wa dola kuwadhibiti wapinzani wao wakuu, CHADEMA

    poa kaka.Hoja yako imeni impress sana!
  18. Kibona Dickson

    Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

    Yale yaliyomkuta spika wa bunge la tisa, Samuel Sitta sasa huenda yakamkuta waziri wa ujenzi Joni Magufuli.Inaaminika Sitta aliwekwa pembeni kwa hila katika kinyang'anyiro cha uspika kwa sababu tu"ya kusimamia bunge la tisa katika misingi ya uwazi,haki,viwango na kuisimamia serikali vizuri...
Back
Top Bottom