Search results

  1. Jilanga

    Zitto Kabwe: Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii ukilipwa mafao unakatwa kodi

    Tatizo ni kuwa na Wigo finu wa Kukusanya Mapato, Kila mwaka focus yetu ni kodi tu!! Kwa nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa Negative taxation!!
  2. Jilanga

    Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Ukihitaji kuua mtii ng'oa na Mizizi usiishie kukata matawi huku ukijiamisha kuwa utakauka
  3. Jilanga

    Wananchi tusikubali kuwatetea wahalifu wanapokabiliwa na dola

    Kweli Kati 2 umeona mbali mtu wangu, Hawa Polisi tunawalaumu tu bila sababu, kweli tunapaswa kulipongeza Jeshi letu tukufu, Angalau kwasisi wanamianzini tutapumua maana tulikuwa tunaishi kwa hofu sana kwa mambo ya mabomu, mara tindikali, pigup Jeshi la polisi endeleeni na moyo huwo wa uzalendo
  4. Jilanga

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mnaboa sana, mnaiibia kupitia huduma zenu mf , sokoni sijajiunga mimessage inaingia muda wote niki-stop ama kucansel haiwezekani ni kero mpaka natamani kuitupa
  5. Jilanga

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    This exchange do no differ from barter trade, it becomes so hard due to double coincidence! Why don't you think of alternative way.
  6. Jilanga

    Msaada:kupata scholarship.

    Anza kwa kutembelea International Scholarships for International Students from Developing Countries 2014-2015 then utapata taratibu zote na mwongozo wa nini cha kufanya. All the best.
  7. Jilanga

    Is it true? Women are attracted to men in cars!!

    Mkuu haijalishi gari ipo kwenye hali gani! Hapo mwawasingizi.
  8. Jilanga

    UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

    Hata Mkuu wa Kaya ni zao la UDSM anayesema haelewi kwanin Tz inakuwa Maskini hali tuna rasilimali za Kutosha, anadai wanafunzi wanaopata Mimba ni Viherere na nimzazi UDSM ni Janga jingine kwa Taifa!
  9. Jilanga

    Tamasha la Siku ya Vijana Duniani Mgeni rasmi Dr. Harison Mwakyembe.

    Tamasha limeandaliwa na Jitambue Foundation, kauli mbiu ikiwa "TETEA AMANI OKOA VIZAZI VIJAVYO", Msemaji na mwongoza mada, M/kiti wa Jukwaa la Katiba Mh Deus Kibamba amewasa Vijana wajitolee kupata uzoefu akisisitiza vijana wajipatie uzoefu hata kama ni kulima bustani, ama kazi yoyote ile hata...
  10. Jilanga

    mbinu ya kupata gpa nzuri kwa chuo

    Hakikisha unareview kila ulojifunza ndani ya 48 ukilimbikiza ukasubir paper utapanic then utaperform poor! Attend lectures na sikiliza kwa umakini sana! Epuka starehe na anasa! Zaidi ya yote Mtumaini Mungu wako katika njia zako zote wala usizitegemee akili zako Mwenyewe naye atayanyoosha mapito...
  11. Jilanga

    Je jeuri ya Ponda ni udhaifu wa Rais Kikwete? Mbona 2000-2005 hakua na jeuri na kiburi hiki?

    Pull him Down (PhD), wakati wa matatizo hizo tofaut weka pembeni! Tumtakieni afya njema!
  12. Jilanga

    stail ya polisi wa tz ya kufanya kazi

    Tatizo ni elimu duni waliyonayo!
  13. Jilanga

    Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

    Hata mkuu wa kaya anajivunia degree ya UDSM IKULU HUKU Taifa laangamia! Utumbo mtupu!
  14. Jilanga

    Nape Nauye na CCM: Vunjeni Jeshi la Polisi na Uhamiaji Mara Moja !

    Nape majigambo, propaganda, hila, fitna, na kujitoa ufaham ili utekeleze matakwa ya CCM ni vya kupita kama upepo tena kwa kitambo tu! Mkiri Mungu katika mapito yako nawe utaheshika na thawabu yako itakuwa mbele yako Daima!
  15. Jilanga

    Ajali mbaya ya basi la Meridian

    Ee Mungu waguse majeruhi kwa mkono wako wa uponyaji. Wapendwa tuombee kwa ajili ya wasafiri na vyombo vya usafiri! Walitutoka Mungu awapumzishe kwa pema peponi.
  16. Jilanga

    Kumbe chadema imechuja kiasi hiki kigoma.

    Udiwani alipataje? Hao watu 17 kama yote yalikuwa magamba unafikiri angewezaje kupata zaidi ya hizo 3! Ungetueleza na Mazingira ya Uchaguzi!
  17. Jilanga

    Matokeo ya ziara ya kichama ya Dr. Webiro (CHADEMA) jimboni Bunda mjini yavuna 5,482 wapya

    Hiyo 5.5Milion we umeitoa wapi? Au hangover!
Back
Top Bottom