Imagine katibu Darasa zima lina A. Wanafundishane hawa watu. Serikali ipige visit hapo Kemebos ijifunze wanavyofundisha.
Picha ya mwisho ni makongo juu secondary school tena wanasoma arts wote lakin tazama majanga.
Siha. Mkoa wa Kilimanjaro unakabiliwa na changamoto ya ukame, hali ambayo imetajwa kuchangia upungufu wa tani 132,584 za chakula.
Hayo yamebainishwa leo Julai 16, 2022 na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai wakati akitoa taarifa kwa makamu wa Rais, Dk Philip Mpango kwenye hafla ya...
Aisee wadau, kuna viwanja vimepimwa, viko tambarare karibu na bahari maeneo ya Buyuni centre Kigamboni.
Viwanja vipo kuanzia 420sqm hadi 700sqm na bei ni 2,000,000tsh hadi 2,500,000tsh.
Nicheck kupitia number hii 0620406081.
Rais Samia anaenda Bukoba!
Najua viongozi wa manispaa ya Bukoba watampitisha sehemu ambazo wanajua wao...na watafanya hasione kabisa uchochoro huu unaoitwa stendi kuu ya mkoa unaochafua mji wa Bukoba.
Just imagine atafungua huo msikiti mita mbili kutoka ilipo hii stendi ya umma.
Mimi...
Bora wangepanua uwanja wa bukoba na kuwa wa kimataifa zaidi. Maana bukoba watu wengi wanauchumi wa kati na juu.
Ingawa uwekezaji wao kwa mkoa wao bado upo chini
Bukoba haikupaswa kufanana hiv...
Nimeona wenyeji wa mkoa huu wanaanza kurudi mdogo mdogo kuwekeza mkoani kwao. Watu wanajenga Hadi hospital binafsi huko vijijini.
Kwa Sasa mkoa wa kagera una hospital zaidi ya 15 huku za serikali ni nne tu.
Tazama hospital ya kashambya hospital iliyopo Kata ya Gera misenyi vijijini...
Hiv bukoba kuna mkurugenzi wa manispaa kweli? Vip viongozi wa mkoa? Na je mbunge? Waziri wa tamisemi yupo kweli. Tazama stendi ya bilele huko bukoba.
Sasa hapa utakanyaga wap. Na wamearibu kabisa walipomwaga ufongo plus mvua za bukoba
Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
Nasubiri siku ya kesho kuangalia atakachoongea mheshimiwa kuhusu Yale aliyoyatekeleza miaka mitano mjini Bukoba.
Kimsingi mji huu yaani manispaa hii hakuna kitu chochote kutoka serikalini kilichotekelezwa.
Barabara za mji ni ndogo na mbovu zote wakati hata hazifiki 20 km lakini wakazi wa mji...
Siku zote siku zote CCM huwanasa watu wasio na elimu yoyote.
Hebu niwape historia ya Bukoba Kwa ufupi.
Tangu kuanzishwa Kwa mji wa Bukoba mwaka 1890 na Wajerumani wakiongozwa na Emin pasha mji huu ulikuwa vizr Tu kama miji mingi tz Hadi mwaka 1919 walipoondoka.
1920-1961 mji uliendelea kukua...
Watanzania acheni kujenga mijini tu. Jengeni hata vijijini kama Wahaya wanavyofanya.
Sasa hivi nyumba za hovyo hovyo katika wilaya za Wahaya yaani Bukoba, Misenyi, Karagwe na Muleba zinazidi kupotea, tena vijiji vyingine zinaisha kabisa.
Nyumba hizi zingejengwa Bukoba mjini, Bukoba ingekuwa...
Abiria 2400 hutumia ndege kila mwezi .
Huku mpaka sasa ndege zote zilikuwa zimejaa mpaka tarehe 15!!.
Serikali sasa inajuta kujenga uwanja wa chato Bora ingepanua uwanja wa ndege bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumempoteza Mseminari wetu mdogo HONEST MULUKOZI JUVENTUS wa Seminari ya Rubya katika Jimbo Katoliki la Bukoba katika ajali ya pikipiki akitoka kuangalia matokeo yake ya mtihani wa kidato cha pili kwa rafiki yake hapo jana. Alifaulu daraja la kwanza Pointi 7.
Tumshukuru MUNGU kwa zawadi ya uhai...
Kadiri siku zinavyoenda tangu majanga yaukumbe mkoa huu wa Kagera ndio mkoa unavyozidi kuendelea kimya kimya kurudi katika maendeleo yake ya zamani yalioangushwa na serikali plus hayo majanga.
Kwa sasa vijiji vingi mkoani kagera vinafight kujengewa barabara za lami na asilimia kubwa...
Hayo yamesemwa na mkuu wa nchi Rais John Pombe Magufuli mbele ya wahitimu huko UDOM.
Pia kadiri ya TCU ndio chuo kikuu kinachapota waombaji wengi baada ya UDSM nchini ingawa ni kidogo kieneo.
Ila kozi za Ardhi University ni nzuri kwa maana unaweza jiajiri pia mfano Architecture, Interior...
Halmashauri ya Wilaya Bukoba imehamia rasmi Katerereo Bukoba Vijijini ili isogeze huduma karibu kwa wananchi zaidi.
Hii ni baada ya amri kutoka kwa wakuu kuhamisha makao makuu kutoka mijini.
Sijui na matatizo gan wachawi, waganga na wajuvi wa njozi mnisaidie.
Kila nikilalia medulla oblongata au kulalia kisogo lazima niote ndoto za kutisha za nyoka nyoka saa nyingine kama nakua naye kitandan .
Siku nyingine naota kama huyo anataka kuningata lakin nashtuka huku nikiwa na hofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.