Search results

  1. frank nyantu2

    Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    Kwa hiyo kuweka Picha ya makonda ndio anahusika au hamjui kuwa kufanya hivyo tunamwingiza Mr Melo kwenye matatizo?? Tuwe makini kwa sasa mitandao inafuatiliwa sana ndg zangu! Najua nitatukanwa kwa ushauri wangu kwa kuwa Mimi sijui ninacho kifanya;
  2. frank nyantu2

    Watanzania tuache Unafiki, mauaji na vitisho nchi hii ni ya muda mrefu, Magufuli hajahusika!

    Hili suala la usalama ni mtambuka kwa sasa na ni vema tunapojadiri kujeruhiwa kwa TL tusisahau kujadiri na wengine waliopoteza maisha na kupotea Kafka mazingira tata mf BS na watu zaidi ya 30 waliouawa kule kibiti na hata walionusurika baada ya kutekwa na watu wanaojiita wasiojulikana Sent...
  3. frank nyantu2

    Tundu Lissu: Sielewi kwanini Ngeleja hajakamatwa na Polisi

    Mi nadhani ni vema serikali iendelee kuhamasisha hata akina vijisenti na hela ya mboga warudishe ili vidhibiti viwe vya kutosha ili iwe rahisi kuwatia hatiani na hela zetu tayari zisharudi Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  4. frank nyantu2

    Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Uchokozi mubashara
  5. frank nyantu2

    Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa kelele hapo umenena! Kwani Mimi nakitumia kama kicho cha jamaa cha lake gas ila mbona hakusumbui kama yy anavyodai? Tena habari ya mkaa nimeishaachana nayo kabisa; Nimepunguza gharama ya matumizi kwa 60% kwani natumia hadi siku 40 kwa mapishi yote...
  6. frank nyantu2

    Kwanini mtu akiwa ndani ya madaraka hawezi kuipinga katiba wala kukipinga tena chama tawala?

    Laxima uzingatie viapo!! Sitatoa siri za serikali kwa namna yoyote! Kwa hiyo hiki ndio kifungo chao
  7. frank nyantu2

    Maoni ya Mwanakijiji juu ya Escrow baada ya wahusika kukamatwa

    Ki vyovyote wansjua ni za nini! Utetezi wao ni laini sana! Imagine jamaa anakuijia nakuambia njoo nikupe zawadi ya millioni mia! [emoji3] [emoji3] [emoji3] lazima upagawe ikibidi utagoma tu
  8. frank nyantu2

    Bridal Fashion Week

    Hahahaha! Msambwandaaaaaa!!!!
  9. frank nyantu2

    Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [color=weka aina ya rangi] andika sentensi yako
  10. frank nyantu2

    Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Attacking ziko namna nyingi we unasema ipi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  11. frank nyantu2

    Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Wakija dawa yao wanaongea chongereza we unawapiga chishwahili full lugha gongana na makontena hayatoki!!
  12. frank nyantu2

    Msukuma amshukia Chenge, Ngeleja na Kafumu, ahoji magereza ni kwa ajili ya Babu Seya tu?

    Nilimshauri tu yeye; wewe na wengine na hata mimi kuepuka matusi tunaposhindwa kujibu/kujenga hoja Haipendezi kugeuza jamii forum kuwa sehemu wa mmomonyoko wa maadili na nadhani sio lengo la mwanzilishi wake
Back
Top Bottom