Search results

  1. J

    Celine Dion asitisha kufanya shoo kwa sababu za kiafya

    Aliyefariki last week ni Tina Turner
  2. J

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Mchungaji Mwamasika, Padre Severino Supa
  3. J

    MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    111qq11qqqqq1qq1qqqqqq1qaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasaas
  4. J

    Dar: Atoboa bomba la mafuta ya Dizeli la bandari(SPM) na kujiunganishia nyumbani kwake

    Kama jamaa ameweza kujiunganishia dizeli kwa muda bila vyombo vya ulinzi kushtuka ni hatari kwa usalama wetu na miundombinu ya taifa. Mbinu mpya za ulinzi na usalama zinahitajika ili mtu kama huyo akijaribu tu akamatwe kabla kutekelezwa.
  5. J

    Aliyetuhumiwa kumpatia kiwanja RC Makonda, aeleza uhalali wa umiliki wa eneo hilo

    Kuna limit ya ukubwa wa eneo linaloruhusiwa kuuzwa na kijiji au mtaa nadhani ni ekari 100 hivyo kama wameuziana maefu
  6. J

    Nini kinaendelea Star Tv? Haionekani kwenye Star times

    Ilipotea pia kwenye TING tangu juzi.
  7. J

    Wabunge walalamikia adhabu ya kijana aliyemtukana rais kuwa ni ndogo, Waziri wa Sheria azungumza

    Bunge linataka kujadili au kushauri nini kwenye hukumu wakati si jukumu lake? Waliofungua mashitaka ndio wa kudai hukumu kama wanataka kuchukua hatua zaidi. Vinginevyo tunaka kuingiza siasa kwenye muhimili wa Mahakama.
  8. J

    Sijamuelewa Prof Mbarawa kwenye suala la ununuzi wa MV Dar es salaam!

    Hapa naona kuna taratibu au mkataba hauko vizuri. Tumeshamlipa 90% Mzabuni na kivuko hakifanyi kazi miaka 2 sasa kutokana na mapungufu. Nani anafidia huu upotevu na chombo chenyewe kinazidi kuharibika kutokana na mazingira ya bahari? Mbona hatuna taarifa ya kesi yoyote ya usuluhishi kuhusu hiki...
  9. J

    Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Leo luxury coach. Full a/c. 45,000-
  10. J

    Lowassa: Mkinichagua 25 Oktoba, Jumatatu inayofuata Ferry itakuwa bure bila nauli

    Wakati wa awamu ya kwanza kivuko kilikuwa bure mimi mwenyewe nilipanda kwa hiyo inawezekana hata leo.
  11. J

    Happy birthday Edward Lowassa

    Happy birthday Edward.
  12. J

    Mkulima aenda kuchukua fomu za urais, ashindwa kulipa milioni, atoweka

    Ameshalipa hela leo anachukua fomu.
  13. J

    Obama amwondoa Blatter ofisini

    Wabongo tuliaminishwa kuwa masuala yote yanahusu utawala wa soka na matatizo yake hayapelekwi mahakamani na ukipeleka nchi inafungiwa. Kumbe ni kututisha sisi nchi changa. Mpingeni sasa huyu Mwendesha wa Marekani na kuifungia. Fifa imesambaratika kwa wiki moja tu.
  14. J

    Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

    Kipindi sehemu ya pili kitaendelea Jumatatu ijayo.
  15. J

    Kiwanda cha Twiga Cement chafungwa kwa muda usiojulikana

    Inawezekana kudhibiti vumbi hilo kwa kuwekeza katika vifaa vya kufanya hivyo. Hivyo kampuni inatakiwa kuwekeza kwenye hilo.
  16. J

    Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

    Hii inaweza kutokana na mkataba mbovu uliopo. Mauzo ya kitu yanakamilika fedha ikishalipwa na kutekeleza kinachotakiwa kufanywa na pande zote. Kama hilo halifanyiki mkataba unavunjwa mnatafuta wabia wengine sio kusubiri miaka 14 bila hata kuwa na nia ya kuchukua hatua.
  17. J

    Hoja za Kamati ya PAC zinavyokinzana kuhusu Escrow akaunti kama ni fedha ya umma

    Pesa ni za umma kwa sababu ziliwekwa BOT na Tanesco ambalo ni shirika la umma na zikatolewa bila kukamilisha sababu ya kuwekwa kwake.
Back
Top Bottom