Search results

  1. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Nenda kwenye commercial banks ndiyo kazi yao
  2. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Nimekuuliza unataka dola za nini? Na unawezaje kuzuia dola isipande? Nchi inapswa iwe na favourable terms of trade (Yaani exports ziwe kubwa kiliko imports) ndipo bei ya dola ita drop
  3. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Kuhusu Mahakama siyo kweli kabisa ukichoandika. Mbona yule Mdude_Nyagali mwanaharakati wa CHADEMA aliyetupwa ndani na Magufuli alishinda kesi ya kusadirisha madawa ya kulevya? Hebu niwekee kesi ambazo wanyonge unaodai walishindwa
  4. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni lini asiye na pesa alikuwa ni bingwa kwa mwenye pesa. Nikiwa na pesa nakuajiri uwe mlinzi wangu wa usiku na ninakulipa hela. Nakulipa hela bado unataka niwe myonge kwako KAPUKU? Kwenye dola hata mimi nimfanya biashara. Last September nimefunga mzigo wa Tsh 30 Million kwa kusafiri na Visa...
  5. Stuxnet

    wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    No wonder!! Hawa wabunge wote wa 2020 walikuwa hand picked na Dikteta mwenyewe. Kwenda kumshukuru siyo jambo la ajabu. Ila waambie tu 2025 90% ya hao hawatakuwapo
  6. Stuxnet

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Nilihamia Ukerewe baada ya kumtemea nyongo yule mjinga wenu wa Chato
  7. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Wacha kujizima data wewe!! Mahakama zilikuwa zilikuwa zinafanya vizuri hadi Magufuli alipokuja na kuzitisha. Alisema haiwezekani Serikali ikashindwa kesi. N akaihakikishia Mahakama kuoongeza fedha ambazo Serikali itakuwa imeokoa toka kwenye kesi inazodaiwa. Wewe unataka dola za nini? Wanaofanya...
  8. Stuxnet

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Hapana, nlitaka amuweke Mama yako wewe Gilbert A Massawe
  9. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Nitajie kitu kinapungua upngozi huu nami nikupe rekodi ya mafanikio ya mama. Halafu wewe pimbi acha kuishi kwa kukariri. Hatuko hapa kupingapinga kila kitu cha Serikali. Serikali inapofanya mazuri lazima tuisifie. Yule mshenzi alikuwa anaua wanaomkosoa, alisimamisha mikutano ya wapinzani...
  10. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Magufuli alikuwa na mapungufu mwilini hivyo kusafiri naye kwenye ndege angefia angani. Aliwekewa defibrillator kifuani mwaka 1992 akiwa anasoma UDSM. Sasa miaka zaidi ya 30 kile kifaa kilikwisha choka. Na ndiyo sababu ya yeye kutopenda kusafiri nje ya nchi na wala haikuwa kubana matumizi
  11. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Kwani miradi ndiyo nini? Magufuli alikuwa DIKTETA, akanyamazisha bunge na kutuachia bunge la chama kimoja, akaitisha mahakama, akanyamazisha vyombo vya habari. Mbaya zaidi alikuwa anateka na kuua wapinzani. Alikuwa anachukia matajiri. Mtu yule hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji kwa namna ya...
  12. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Hata Biblia imetukataza kubishana na wapumbavu; Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake, usije kuwa sawa naye...
  13. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Mpumbavu ni wewe ila siju zote wapumbavu hawajijui japo wengine wote wanawatambua. Pole Nsanzagee , hicho nacho ni kilema
  14. Stuxnet

    Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

    Je mangapi kati ya haya uliyoyaandika hapa yamefanyiwa kazi?
  15. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Kwani wewe hujamsikia General Venance Mabeyo? Au nyinyi ndiyo wale shuleni tulikuwa tunawaita VILAZA au WANYELA. Mwalimu anatufundisha wote lakini ukitoka nje hujui kitu
  16. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Njoo na points za kunipinga, siyo kusema tu kiurahisi eti "chawa wa mama"!! Yaani niache kusifia maendeleo na mafanikio ambayo nayaona nchini kusa eti baro ataniita chawa wa mama!! Nyinyi mliokuwa chawa wa Magufuli mlikuwa mnamshangilia wakati anaharibu na kubomoa nchi. Amekufa na mama...
  17. Stuxnet

    Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

    Pumbafu kabisa wewe. Hujui mpira kacheze bao la kete tu
  18. Stuxnet

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Nchi kutafunwa inatafunwa siku zote kuaanza wwkati wa mkoloni, awamu ya 1 hadi ya sita. Kama huna meno ya kutafuna shauri yako.
  19. Stuxnet

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Unadhani anawaogopa? Samia siyo mwoga kama alivyokuwa Mwendazake. Magufuli alimuogopa Tundu Lissu akaona namna ya kumkabili ni kumuua. Akaishia kumjeruhi kwa risasi. Magufuli aliogopa vyama vya upinzani, akaishia kufuta mikutano yao!! Magufuli alishindwa kujibu hoja za kugushi PhD akaishia...
  20. Stuxnet

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Mkuu wa TBS amepokea rushwa kwa kupitisha hayo matakataka. Kwa hiyo ule waraka alioutoa anatetea rushwa aliyopokea.
Back
Top Bottom