Search results

  1. essaugervas

    Waziri Nape afanya Ziara ya Kushitukiza Kariakoo, akamata kazi feki za sanaa

    filimu zenyewe za kibongo feki,,waigizaji wenyewe wa kibongo ni feki,,nadhani angeanzia kwa waigizaji feki
  2. essaugervas

    Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

    huyu si alizaa na yule dakota aliyekuaga meneger wa mapacha wa tatu
  3. essaugervas

    Kama Mungu hawaridhishi, mwanaume ataweza?

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  4. essaugervas

    Msanii Ney wa Mitego kujenga kanisa

    bila shaka hatakua dalali muigizaji huyo,,kacheza movie nying sana za kanumba
  5. essaugervas

    Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    mzee wa nyimbo za kidosi
  6. essaugervas

    Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    hv huyu george si ndye aliyezaa na mange kimambi
  7. essaugervas

    Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    mwabie aende pale kilolo iringa pale msimu mzima wanalima,,alime ngegele na mahindi alafu hayo mahindi anakuja kuyauza kama mabichi,,muhind moja kwa shamba wananua sh300,,hakika hela yake hatakua ameiwekeza mahala sahihi
  8. essaugervas

    Nyumba inapangishwa 140,000.Mbezi ya Kimara

    ina vyumba vingapi
  9. essaugervas

    Nauza tipper isuzu direct injection

    zuri sana hizo gari hasa maeneo yetu haya ya mbeya kwenye kubebea viazi,,mbao
  10. essaugervas

    Dawa za Kulevya za Kigogo mmoja wa Tanzania zakamatwa nchini Kenya

    tutasikia mengi sana mwezi huu february
  11. essaugervas

    Dawa za Kulevya za Kigogo mmoja wa Tanzania zakamatwa nchini Kenya

    duuh kumbe hii biashara inalipa yaan kamzigo kenyewe aliweka kwenye viatu ndyo pesa mingi hvyo
  12. essaugervas

    Ushauri: Mke wangu hataki kabisa nichezee au kuangalia papuchi wakati kugegedana

    ndyo maana mvua zinagomaa kunyesha[emoji1] [emoji1]
  13. essaugervas

    Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

    mungu anatenda pale pasipo na njia
  14. essaugervas

    Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

    ninapousoma huu uzi machozi yananitoka -nina biashara ya duka lakni kila nikiuza pesa hazionekani,,na duka yangu imekaa chanel sana -zaidi na jikuta naingia kwenye madeni ambayo najikuta nashindwa kulipa -muda mwingine nikifikiria nashindwa pata jibu kwann haya madeni madogo nashindwa kulipa...
  15. essaugervas

    Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

    kuna shaban mtupa& ramadhan mtupa(walichezea tz prison miaka y 2014
  16. essaugervas

    Biashara ya kufanya kwa muda mfupi

    uza nguo za mitumba mkuu,,mchana zungusha,usiku mwaga hata pale ubungo
  17. essaugervas

    Nilivyotendwa na mtalaka wangu sina hamu nae tena

    bila shaka wewe unatokea kenya????
Back
Top Bottom