Search results

  1. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  2. Bepari la bariadi

    Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
  3. Bepari la bariadi

    Je, CHADEMA inapoteza political legitimacy? Kusisitika kununuliwa kwa wanasiasa wao hakuthibishi kuwa si chama tena bali ni danguro?Je imani bado ipo?

    Nikitafakari hii kadhia ya hama hama,huku wahusika wakisema ni kuunga juhudi, lakini wapiga zumari wakidai wananunuliwa. Ni dhahiri shahiri hii inaleta mkanganyiko mkubwa sana kwa sisi wananchi wakawaida,maana ni maramia kuchagua watu wa kutoka CCM ilikuokoa mabilioni yanayoteketezwa kwa chaguzi...
  4. Bepari la bariadi

    Fukuto linaloendea Iran, linadhihirisha kuwa US na Israel siyo wa mchezo mchezo. Tanzania nini cha kujifunza?

    Nidhahiri shahiri kwamba maandamano yanayo endelea huko Iran, ambayo hata kinara wa maandamano hayo hajulika kwa kile wanacho dai ni kutokana na kupanda gharama za bidhaa, ukata wa mfukoni kunako sababishwa zaidi na vikwazo vya hawa ndugu wawili USA na pacha wake ISRAEL, Nakile kinachodai kuwa...
  5. Bepari la bariadi

    Vyuma vimekaza (vimebana).weka grease na bado vitavunjika kabisa.

    Asalaleeeee! Ni moja ya nukuu mujaraabu kabisa. It will be remembered for the thousands years to come.
  6. Bepari la bariadi

    Ukweli lazima usemwe, uhai wa mwanadamu hauna madaraja. Hakuna u-VIP linapokuja suala la uhai kwa kila mtu

    Ukweli lazima usemwe, Uhai wa mwanadamu hauna madaraja. Hakuna umashuhuri wala u-VIP linapokuja swala la uhai kwa kila mtu. Nilazima sasa kila mtu ajue kuwa kila roho ya mtu inathamani iliyo sawa. It's a natural equality provided by God. Hajalishi wewe ni wanasiasa, mwanasheria, raia wa...
  7. Bepari la bariadi

    Ushindi wa kishindo wa Paul Kagame kwa 98%, ni funzo gani kwa Demokrasia hapa Bongo?

    Kama tujuavyo kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na miluzi mingi ya uminywaji wa demokrasia ya kimagharibi mpaka kupelekea wengine kumtuhumu mkulu kwa hili na kubet kwamba swala hili litamsababisha akomee miaka mitano tu kuishi magogoni. Japo katika uhalisia kwenye field kule tunaona jinsi...
  8. Bepari la bariadi

    kenya inabidi wawashukuru sana wakoloni wao.kwa kujisahau.jamaa wangeng'oa infrastractures!sijui tuu

    Je waingereza wangeliamua kuharibu miundo mbinu yote waliyoijenga kenya hasa nairobi kama wareno na wafaransa kwenye baadhi ya makoloni.hawa manyang'au wangekuwa vipi yaani? tutafakari kidogo. Nilisikitika sana mpuuzi mmoja wa kenya kuwaita madaktari wetu eti ni low rated doctors na baadhi ya...
  9. Bepari la bariadi

    Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha...
  10. Bepari la bariadi

    Vijana wa UKAWA naomba mrejesho wa Donald Trump; ushindi wake na faida mliyokuwa mnaitegemea kisiasa

    Ni miezi kadhaa sasa toka kampeni na uchaguzi mkuu wa USA kupita ambapo kundi kubwa la BAVICHA na kamati yake ya vigeregere kuonesha mahaba mazito kwa mgombea wa Republican huenda kuzidi hata raia wenyewe wa marekani kwa matazamio kwama ushindi wa Trump ungeleta matokeo hasi kwa watawala wa sasa...
  11. Bepari la bariadi

    Siasa ndani ya siasa: Mzee wangu yamkini mambo haya ungeliyajua mapema

    SIASA NDANI YA SIASA: MZEE WANGU YAMKINI MAMBO HAYA UNGELIYAJUA MAPEMA,KIPINDI KILEE! UKIWA KWENYE MFUMO TUNGELIKUWA MBALI SANA NA UNGELIKUWA UMEJIJENGEA HESHIMA KUBWA ZAIDI .BUT NOW IT'S TOO LITTLE TOO LATE: INAMAANA MBINYO WA KIDEMOKRASIA HUONEKANA PALE TU UNAPOKUWAWA NJE YA CHUNGU? HAPANAA...
Back
Top Bottom