Search results

  1. exalioth

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Mamelodi ni wakawaida sana tofauti na tunavyomsoma kwenye magazeti
  2. exalioth

    Mtaani kwetu leo nyumba ya kwanza kuna harusi ya mapacha, nyumba inayofuata kuna 40 ya msiba

    Huyu ndege john si mlisemaga amefariki au memba amtumia jina tu
  3. exalioth

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Acha ujinga mwanamke hubadilishwa kutoka tabia flani mpaka vile, kwaio anza kuweka mipangilio katka ndoa yenu aache kuishi kama yupo kwao, aache ujinga nayeye aamke asubuhi awaze majukum sio kuamka kuwaza mapenz ova Geita moja
  4. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu... Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya...
  5. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja nilale nitakuja na jibu kesho[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  6. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uchawi huu mechi 9 amechana brighton tu
  7. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu ambayo hua sina mashaka nayo hua ni Bayer04 Leverkusen ni timu ina vijana wanajituma sana
  8. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siwezi kukukatalia mawazo yako kama utaweza kuacha acha tu boss Mimi kipindi naanza kubet msimu uliopita nilifundishwa rafki angu mmoja napenda kumuita Mo Salah wiki mbili hazikuisha kuna mkeka tulisuka wa mechi 30 tukampiga mhindi mimi ml19 kwa buku Mo salah ml39 Ile pesa nilitoa nikaacha...
  9. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi kipindi naanza mwaka jana kubeti nilifundishwa na jamaagu namuitaga Mo salah hazikufika hata miezi miwili nikampiga mhindi ml19 kwa buku keka la mechi 30 ile pesa niliitoa ml2 nikaiacha kwaajiri ya mtaji ikaisha yote, napenda kubeti singo kwa kipindi kifupi tu Simba amesepa na 700k...
  10. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kwenye live napenyewe ni kichomi nmepigwa mno unakuta timu inaongoza 3-0 unaweka mzigo wa maana linakuja kuswazishiwa
  11. exalioth

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bacerona ningekupa win tatizo ufungaji wako wa magoli ni mgumu sana
Back
Top Bottom