Search results

  1. Itzmusacmb

    Good News: Mawaziri Kutoka Tanzania na Rwanda Wakutana Kuhusu Ujenzi Wa SGR, Dar Es Salaam

    Leo January 20, 2018 Siku chache zilizopita Rais Kagame wa Rwanda alifanya ziara ya kikazi nchini na kuzungumza na President JPM juu ya ujenzi wa reli ya umeme, sasa GOOD NEWS ni kwamba Mawaziri watatu wa Tanzania na mmoja kutoka nchini Rwanda wamesaini mikataba ya awali kuhusu ujenzi wa reli...
  2. Itzmusacmb

    DRC Congo: Jenerali wa Jeshi ampa Rais Kabila siku 45 aachie Urais, asambaza video

    Haijapita hata miezi mitatu toka tushuhudie Jeshi likiingilia kati na kumuondoa madarakani Rais aliekaa muda mrefu madarakani, Robert Mugabe wa Zimbabwe….. leo tena tunasikia huko Congo DRC Mwanajeshi mmoja ampa Rais Kabila siku 45 awe ameachia madaraka. Tunafahamu kwamba Rais Kabila alimaliza...
  3. Itzmusacmb

    Forbes :Mo Dewij Ndiyo Billionaire East Africa

    Gazeti la Forbes limemtangaza Mo Dewji kuwa anayeongoza kama Bilionea Africa Mashariki. Karibu
  4. Itzmusacmb

    Je, Kuna njia mbadala ya bikira ya mwanamke kutoka tofauti na kufanya ngono?

    Wakuu, Aisee nipo Serious naomba msaada!. Hivi kuna njia mbadala ya Bikira ya Mwanamke kutoka zaidi ya Ngono?? Kama zipo naomba zitajeni Nawasilisha.
  5. Itzmusacmb

    Nanunua Mayai

    Kama wewe Ni mfugaji Wa kuku Wa kizungu na Una mayai na makazi,yako Ni Dar es salaam Mimi nanunua mayai Njoo hapa tufanye biashara
  6. Itzmusacmb

    Natafuta Mayai Ya kununua

    Habari, Mimi ninashida ya mayai ya kizungu kwa hapa Dar es salaam ,shida yangu Ni trei 10 kwa siku ,Kama wewe Ni mfugaji na upo hapa dar itakuwa vizuri tufanye biashara
  7. Itzmusacmb

    Inawezekana kuanza diploma kwa njia hii ?

    Wakuu naomba kujuzwa ,mimi nataka kufahamu iwapo mtu umehitimu form IV na matokeo yako yanakuruhusu kwenda Advance na ukaaamua usiende advance na uende chuo ,jee Unaweza / unaruhusiwa kuanza diploma moja kwa moja ?
  8. Itzmusacmb

    Nijuzwe chanzo cha mgogoro baina ya NORTH &SOUTH KOREAN

    Wajuzi wa mambo mm n mtoto wa juzi tuu hapa 1994 naomba kujuzwa nn hasa chanzo cha kutoelewana baina ya Korea kusini na kaskazini na uhasama huu ulianza lini? NOTE: Kama hujisikii kujibu kaa kimya Dharau n kejeri SIPENDI
  9. Itzmusacmb

    Magomeni: Mtu Mmoja afia Nyumba ya wageni

    Mtu mmoja amefia nyumba ya wageni "Lodge" hapa Magomeni Kagera eneo maarufu kama "Friends Corner "Lodge ya Jumba la Dhahabu ,Haijafahamika mpaka sasa kama ni Mwanaume au Mwanamke, ILA kwa tetesi za watu wanadai ni mwanamke na Polisi hawakuweza kuzungumzia swala hili wala kuonesha mwili
  10. Itzmusacmb

    DAR: Hili eneo limeshindikana kwa matumizi ya madawa ya kulevya

    Wana JF, Inaonesha kwamba Polisi wa kanda maalumu ya Dar es salaam chini ya Kamanda Sirro wameshindwa kudhibiti matumizi ya waziwazi ya Madawa ya Kulevya Eneo la Mwenge Jijini Dar es salaam Eneo la Mwenge kwenye uwanja wa mpira karibu na Kanisa la KKKT Mwenge ukiiangalia hyo Ramani hapo huo...
  11. Itzmusacmb

    UDART Tumechoka kupanga Foleni, Tengenezeni Mitambo

    Wanabodi kama unatumia usafiri wa mabasi ya UDART na ushawahi Kupandia basi maeneo ya Gerezani terminal nazani ushapata karaha ya kuscan ticket yako muda mrefu baada ya kununua pale terminal, mitambo ya kuscan tickets inasumbua sana tena sana kiasi cha wahudumu kuamua kutumia TOCHI tena MCHANA...
  12. Itzmusacmb

    UFAFANUZI: Hakuna ajali uwanja wa ndege DSM, ni zoezi la ajali

    Wakuu nipo maeneo ya Yombo Sigara mkabara na Airport hapa Dar es salaam kuna wingu zito la moto ndani ya uwanja wa ndege kama mnavyoona, aliyekuwepo maeneo hayo ajaribu kutupa maelezo. ======= UFAFANUZI: JamiiForums imefuatilia na kubainisha kuwa TAA wanafanya emergency drill na hivyo watu...
  13. Itzmusacmb

    Kwa kauli Hii, Magufuli Wewe ni JEMBE

    Kuna mtu / watu wanajaribu kutetea wauza unga mpka najiuliza " Hivi Watanzania kwnn ni VICHWA MAJI? Chokochoko dhidi ya RC Makonda khusu vyeti imeletwa na mtuhumiwa Yule Mpuuzi, maana hana hadhi ya UCHUNGAJI hta kdogo, yaani hata Kidogo, hii ndyo maana ya mchungaji Mchungaji mwema yukoje...
  14. Itzmusacmb

    Dar: Basi la mwendokasi lapata ajali

    Picha zinakuja sasa hivi ila Ajali imetokea Sasa Hivi maeneo ya Magomeni na Kuna foleni sana kwa watu wanaotoka mjini kwenda Manzese kipande hiki mpka maeneo ya Friends coner kwenye Hotel ya JUMBA LA DHAHABU Magari ya mwendokasi yanalazimika kupita barabara ya kawaida maana njia yake imeziba...
  15. Itzmusacmb

    Ilala: Zaidi ya Masaa 24 Bomba la Maji Lapasuka na Maji yanatiririka

    Zaidi ya Masaa 24 kutoka sasa Maji yanatiririka Hapa Ilala Mtaa wa Lindi, na huu mtaa ni mkubwa na barabara yake inapitwa na magari mengi sana kutoka Machinga complex, Shaurimoyo hadi Ilala Bungoni na wenye kuupita huo mtaa kuanzia jana nazank mmeona, Yani mpka najiuliza iweje maji yavuje...
  16. Itzmusacmb

    Ili niwe Rubani wa Ndege Nifanyeje?

    Wakuu, Ili niweze kuwa rubani wa ndege napaswa kuchagua course ipi na chuo gani kizuri? But now nipo Advance na Combination ya masomo ninayosoma ni PGM yaani Physics, Geography & Mathematics. Nawasilisha
  17. Itzmusacmb

    Dar: TRL yabomoa nyumba kadhaa eneo la Buguruni

    Wakuu, NImepita hapa eneo la Buguruni kwenye kiwanda cha Said Salim Bakheresa & Co Ltd ambapo reli ya kati imekatiza kwenye barabara ya Mandela kuna zoezi la bomoabomoa linaloendeshwa na kampuni ya reli Tanzania (TRL) dhidi ya watu waliofanya maendelezo ndani ya eneo la reli, nmeshndwa kupiga...
  18. Itzmusacmb

    Uzi Maalumu wa Kuishauri Serikali Ili Kufikia Tanzania Ya Viwanda Na Maendeleo Kwa Ujumla

    Toa Ushauri wa Kizalendo Hapa Dhidi ya Serikali Yako, Haijalishi Itikadi yako kichama, dini au Kabila Karibuni
  19. Itzmusacmb

    Wenye uelewa na Tovuti Naombeni Msaada

    Hizi tovuti kwa Uwelewa wangu huwa zipo tofauti, mfano Ukiona www.qqqqq.co.tz =maana yake ni domain ya Tanzania (.co.tz) yaani Tz kama Tanzania Kenya vlevle ni co.ke Uganda ni co.ug Japan ni co.jp Swali: Kwanini South Africa wanatumia co.za? Nn kirefu cha Za? Kwnn wasiseme .co.sa...
  20. Itzmusacmb

    Tangu ninunue Blender

    *Tangu ninunue blender* Maisha ni simpleeee.....[emoji106] Asubuhi nikitaka Uji naweka maji moto nadumbukiza ugali wa Jana.... *Uji tyari*[emoji108][emoji818] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji113] [emoji125][emoji125][emoji125]
Back
Top Bottom