Search results

  1. mndumsolo

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Kwa nini ukienda kulala.? Kwa nini siyo asubuhi au mchana..?
  2. mndumsolo

    Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    Wengine hiyo pua iliyozagaa ndio iliyomvutia kwa huyo mwanaume... .. Acheni kabisa jamani... Mapenzi hayana macho..!
  3. mndumsolo

    Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    !@#$^^^ Hii inachochea watu kutofanya kazi kwa bidii ili waonekane wana mapenzi ya dhati... .. Mapenzi hayahusiani na umaskini wala utajiri ila nadhani ukiwa maskini sana "WENYE NAZO" watamdoea mpenzi wako...! !@#$%^^^
  4. mndumsolo

    Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    !@#$%^^^ NAkubaliana na wewe katika hili...! .. !@#$%^^^
  5. mndumsolo

    PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA

    Disco Joker.... Andry Rajoelina
  6. mndumsolo

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    R.I.P. Wasaimon...
  7. mndumsolo

    TBC na Dr Benson Bana

    Jina na huyo "msomi feki" linanikumbusha Kemia ya Kidato che kwanza kile kifaa cha kuchomea kiitwacho BUNSEN BURNER...!
  8. mndumsolo

    Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    Walio single wanawatafuta single wenzao kupunguza makali ya baridi..!
  9. mndumsolo

    Tido Mhando awa bosi Al-Jazeera Kiswahili!

    Hongera sana Tido Muhando... Wenye magamba waelewe kwamba "Mungu si JK" na kwamba "Jitihada (Zao) hazishindi kudura".. Uko huru sasa... Anika uozo wao hasa uozo wa karibuni wa Trilioni 3 unaomuhusu Lt. Gen. Shimbo na wenye magamba wenzake..! Tunaomba uwe sauti yetu duniani kote..!
  10. mndumsolo

    Nimfanyaje huyu house girl wangu

    Uongo kwenye jukwaa si mzuri... uadilifu uko wapi..? Ukidanganya kwenye madogo utazoea utahamia kwenye makubwa... Watu wabaya (wakiwemo na mafisadi) wanaanza hivi..!
  11. mndumsolo

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Na Kitawa..!
  12. mndumsolo

    Ipi Bora..?

    Wana JF nauliza ipi ni bora., kuuza nyumba na kutumia pesa na kimada au kumjengea nyumba kimada..?
  13. mndumsolo

    Nafanya Tafakari..!

    Nafanya tafakari.... Naiona nchi yenye maziwa na asali... Naona viongozi wake wasiojali... Bila huruma wakijitafunia za wote rasilimali.! Naona wananchi wake maskini.. Wengi wao wakiwa bado usingizini.. Nawaona wachache wakiwa katika maamkizi.. Wakizinduana toka wa muda mrefu usingizi.! Naona...
  14. mndumsolo

    Najuta kulipandia........

    Twashukuru Yakuonea., Maneno kuntu kutugea; Ushairi kutumia; Lugha yetu kukuzia...!
  15. mndumsolo

    "Kuagana"

    Nimeipenda hiyo: ulimwengu wa wizi na risk ya kufumaniwa
  16. mndumsolo

    Why wanawake hawapendi serious things?

    Kwenye bold Nakupongeza Nsiande... U have a passion for beautiful things..!
  17. mndumsolo

    Why wanawake hawapendi serious things?

    Don't take life TOO SERIOUSLY... It's not permanent..!
  18. mndumsolo

    Hereni!

    Hah ahahhahha Umenifurahisha sana.. Element za kuchora Saba (7)..!
  19. mndumsolo

    25th May is Africa Day

    Nawatakieni nyote heri na fanaka katika maadhimisho ya SIKU YA BARA LETU..., Afrika...! Tujiulize: Tunatoka wapi..? Tuko wapi..? Tunaenda wapi..? Kuna lolote la kujivunia.? Kuna dalili ya kufika tuendako..?
  20. mndumsolo

    Mambo ya pasaka kwenye beach zetu

    You've said it all Seniorita..! I have nothing more to add..! Thank you for elaborating to 'em..!
Back
Top Bottom