Search results

  1. Mkaa Mweupe

    Harufu ya ubwabwa porini

    Kwa hiyo ze snake ana ringtone tofauti tofauti kulingana na muhusika!
  2. Mkaa Mweupe

    Unamuitaje Mume wa Shangazi?

    Mume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.
  3. Mkaa Mweupe

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari ya auto lever inaweza kuingia R ikiwa kwenye mwendo lakini aiharibu gear box. Vilevile gia R huwezi kuitumia ku counter rev gear box endapo brake zimefail. Kwa gari ya manual haiingii kabisa. Hii imeshajaribiwa na jamaa wa MYTHBUSTER!
  4. Mkaa Mweupe

    TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Yaani Wabongo ni wavivu sana, upo kwenye mtandao halafu unashindwa kuperuzi Samsung H6400 ina kioo cha ukubwa gani unakalia kupost tu! Haya basi Samsung H6400 Series 6 ni 48".
  5. Mkaa Mweupe

    Kupungua kwa ajali mbaya na Uchaguzi mkuu 2015

    Ndugu wanajamvi, Katika kipindi cha miezi 3 kuelekea uchaguzi mkuu wa taifa 2015, ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi cha kuridhisha. Je hizi zinaweza kuwa sababu: 1. Madereva wamekuwa makini kwa kuwa wanataka mabadiliko hivyo wanaendesha kwa umakini ili wasiwapoteze wataka mabadiliko...
  6. Mkaa Mweupe

    Kwa anayejua haya maeneo hapa ni wapi?

    Unajua we ni fa.la picha yenyewe umeweka title picha ya makete halafu unauliza majibu, acha kutupotezea muda.
  7. Mkaa Mweupe

    Kwa anayejua haya maeneo hapa ni wapi?

    Njia panda kilimani
  8. Mkaa Mweupe

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Kwanza nikuulize mtoa mada, utajiri unauelewaje? Ukisikia mtu ni tajiri, je hiyo ni sawa na nchi tajiri? "Tanzania ni nchi yenye utajiri lakini watu wake ni masikini" unauelewaje huu msemo. Ukiweza kujibu haya maswali ndio tuendelee na hoja ya kudanganywa mchana.
  9. Mkaa Mweupe

    Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    Mkuu, kwanza nikushukuru kwa kujaribu kufafanua kwa nini yana milango pande zote. Ufafanuzi yakinifu ni huu hapa. Haya mabasi yana milango pande zote kwani yanategemewa kutoa huduma hata mahali pasipo na miundombinu ya BRT. Hivyo basi kwa kuona mbali na mahitaji ya usafiri, waendeshaji wakaona...
  10. Mkaa Mweupe

    1995 - 2015: Watanzania tulichelewa kufanya Maamuzi

    Kuna watu wanajaribu kutufanyia utafiti eti Mh. Magufuli atashinda. Hizo ni propaganda za CCM kujaribu kuendelea kukaa madarakani. Shime wananchi, tumia kura yako kuhakikisha unafanya chaguo sahihi.
  11. Mkaa Mweupe

    1995 - 2015: Watanzania tulichelewa kufanya Maamuzi

    Habarini wanajamvi, Ni muda wa miaka 20 sasa tangu Tanzania ianze kushuhudia vuguvugu la vyama vya siasa. Nakumbuka mwaka 1995 Mhe. Augustino Lyatonga Mrema alileta amsha amsha katika siasa za Tanzania. Mgombea huyu kupitia NCCR alikuwa ni tishio kwa CCM. CCM ilifanya kila hila kuhakikisha...
  12. Mkaa Mweupe

    Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    geraldkowero1, Umejaribu kujenga hoja, kwani nani alikuambia kuwa chadema kuwa mgombea urais ni kiongozi mkuu wa chama?
  13. Mkaa Mweupe

    Startimes kunani?

    Kwa taarifa hiki kisambuzi mimi huwa nalipa full na sitegemei kuangalia bure. Ila rahisi gharama. Wanakula hela zetu bure.
  14. Mkaa Mweupe

    Startimes kunani?

    Wao ndio king'amuzi cha taifa halafu wanatybania wananchi. Haya mambo ya kisambuzi yanaboa sana.
  15. Mkaa Mweupe

    Startimes kunani?

    Ndugu wanajamvi, Nimeshangazwa na king'amuzi cha startimes kujiupdate na kuondoa star tv, itv na eatv. Je hii ni kwangu tu au ndio mpango mzima?
  16. Mkaa Mweupe

    Za Mwizi Arobaini, Sasa Imetimia

    In summary. Namba arobaini ni namba ya maajabu. Imehusishwa na sayari ya Venus ambayo ni sayari mama (jike) yenye uhusiano na uzazi na kifo. Ndio maana mtoto akizaliwa anasheherekewa baada ya siku arobaini kwa kuwa amekubalika kuishi duniani. Vivyo hivyo katika kufa ni baada ya siku arobaini...
  17. Mkaa Mweupe

    Za Mwizi Arobaini, Sasa Imetimia

    Ukifuatilia zaidi, watia nia ni wawili tu wenye ujuzi na uongozi wa zaidi ya miaka 40.
  18. Mkaa Mweupe

    Za Mwizi Arobaini, Sasa Imetimia

    Wasalaam wanajamvi, Kuna msemo wa Wahenga usemao "Siku za Mwizi Arobaini". Msemo huu unaunganisha matendo yasiyofaa na namba arobaini. Kwa nini arobaini. Arobaini ni namba 4 kwenye makumi, ni kiwakilishi cha magumu watu wanayopitia na ni namba ya hukumu. Namba Arobaini imetumika sana hata...
Back
Top Bottom