Search results

  1. NYENJENKURU

    Morogoro Regional Medical Officer -ROM Dr Frank Jacob kahamishwa na wengine nane

    Morogoro yapangua safu ya sekta ya afya, nane wawekwa kando In Summary Timu ya viongozi nane sekta ya afya mkoa wa Morogoro wameondolewa kutokana na kushuka kwa huduma za kitabibu Morogoro. Timu ya watumishi nane katika sekta ya afya mkoani Morogoro imeondolewa kutokana na kushuka kwa huduma...
  2. NYENJENKURU

    NAFASI YA MASOMO MWAKA 2018

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019. TTCIH ni Taasisiya mafunzo ya Afya iliyosajiliwa na NACTE kwa usajili wa kudumu wa namba HAS/003. Chuo...
  3. NYENJENKURU

    NAFASI YA KUJIUNGA NA CHUO

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019. TTCIH ni Taasisiya mafunzo ya Afya iliyosajiliwa na NACTE kwa usajili wa kudumu wa namba HAS/003. Chuo...
  4. NYENJENKURU

    Baba Paroko wa Denis Mulokozi wa Parokia Mwemage Jimbo la Bukoba

    Huyu baba paroko wa parokia ya mwemage kujifanya Mungu mtu katika porokia ya mwemage.Wanaporokia wamekuwa akiwapa adhabu mbalimbali kana kwamba yeye ndo kila kila kitu.Mfano watu wanafungu harusi hataki wapige mziki kwenye sherehe zao eti ni kosa katika hiyo parokia na mtu akifanya hivyo...
  5. NYENJENKURU

    Je, Hii ni kweli? Naomba kujuzwa

    Nimepata ujumbe huu kwenye simu yangu. Je hawa wapo kweli? Nukuu: RED EDGE SACCOS LTD inatoa mikopo ya Ada, Pango la nyumba bila ya dhamana. Pia Bajaj, Pikipiki, Solar power, Fedha na kadhalika. Riba 18% kwa mwaka. Contacts : 0659557889
  6. NYENJENKURU

    Essential diagnostic services for public and private health facilities:

    Essential diagnostic services for public and private health facilities: · A course for clinicians and laboratory staff. TTCIH Ifakara, Tanzania 11-22 February 2013 Wana JF nimekutana na hii mwenyekutaka anawezakuwasiliana nao.
  7. NYENJENKURU

    MicroResearch Workshop: Interdisciplinary Research Training TTCIH Ifakara, Tanzania 1st -12th Octob

    MicroResearch workshops provide training to do your own community based research, especially research that will improve health for mothers and children. · Encourages collaboration, · Coaches and mentors from Canada and Tanzania · Permits an exchange of ideas...
  8. NYENJENKURU

    Nafasi ya Dr.Mtasiwa kupewo moja wa hawa hapa

    Baada ya Mtoto wa mkulima Pinda kumuondoa katika Mganga mkuu wa Serikali Dr.Deo Mtasiwa kunatetesi kuwa majina yafuatayo kuna moja atapewa nafasi hiyo ni: Dr. S.M. Toure RMO Arusha Region Dr. Hawa Kawawa Ag.RMO DSM Dr. G. J. B. Mtey RMO...
  9. NYENJENKURU

    Clinical officers kamata kozi hiyo hapo

    REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2012 2-13 April 2012 in Ifakara, Tanzania This course is open to clinical officers (CO’s) in Tanzania and elsewhere who have been in public/private work practice for at least 3 years in a health related field. Aim of the course: This course...
  10. NYENJENKURU

    Waliosoma shule za Msingi miaka ya 1980 na kurudi nyuma mpaka 1961.Hizi ndo shule mlizo soma

    Ma Prof,Dk, Wachumi,Wahandisi,Mawaziri ,Makatibu wakuu n.k mnazikumbuka shule mlizo soma zinafananaje?Mlizosoma wengi wenu ziko hivi.
  11. NYENJENKURU

    Visa za Tanzania na maofisa uhamiahaji

    Ndugu wana JF naleta kwenu hii maada na muone maafisa Uhamiaji wa Tanzania tulivyo wa ajaabu.Kisa ni kama hivi.Mtu anaenda Ubalozi wa Tanzania kama vile Marekani anataka kuja Tanzania kufanya workshop ya week moja au mbili anepewa visa yake anakuja Tanzania.Akifaka labda anaenda Ifakara...
  12. NYENJENKURU

    Je unajua wengi wetu pamoja na Mawaziri ,wabunge tumesoma shule kama hii.

    Hii ndo shule Watanzania tumesoma na bado zipo sana Tanzania.Je tutafika katika karne hii ya sayansi na technolojia?
  13. NYENJENKURU

    Short course for Clinical Officers

    Tanzanian Training Centre for International Health, Ifakara REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2011 18- 29 April 2011 Ifakara, Tanzania. This course is open to clinical officers (CO’s) in Tanzania and elsewhere who have been in public/private work practice for at least 3 years...
  14. NYENJENKURU

    Short course for Clinical Officors

    Tanzanian Training Centre for International Health, Ifakara REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2011 18- 29 April 2011 Ifakara, Tanzania. This course is open to clinical officers (CO’s) in Tanzania and elsewhere who have been in public/private work practice for at least 3 years...
Back
Top Bottom