Search results

  1. Money Penny

    Self love ndio nini?

    Haya jamani, Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love. Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
  2. Money Penny

    Penzi la sugar daddy linamtesa, afanyaje?

    Mamdogo Penny Money Penny enhe! Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy money penny: kwanini? mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3 money penny: ana umri gan Mwana: na miaka 83 Money Penny: mkewe? Mwana:alishakufa Money penny: sasa shida ni mkewe au round...
  3. Money Penny

    Eti kuna maji aina ngapi kwenye mapenzi?

    Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa. Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa. Sasa dada wa watu akashangaa kwani...
  4. Money Penny

    Usinipangie matumizi ya sehemu zangu za siri asikika bikra akilalamika

    Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa wanaume hata kidogo wakuonje onje hautaolewa, Dada wa pili (bikra): kwahiyo mwenzetu wewe ulitoa kwa...
  5. Money Penny

    Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

    Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani? Lakini kitandani yuko vizuri balaa? Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
  6. Money Penny

    Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

    client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana money penny: sa unataka nifanyaje jaman client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje money penny: una hela? client wa instagram: ya nini money penny: ya kusimamisha maziwa? client wa...
  7. Money Penny

    Nilimwambia nachotaka kwente tendo kabla sijamuoa, sasa anakataa nini?!

    CLIENT: Money penny bwana me simwelewi mke wangu Money Penny: nini tenaaa? Client: nilimwambia mke wangu kabla sijamuoa kuwa 1. napenda sana kufanya ngono 2. napenda sana style tofauti tofauti kwenye tendo la ndoa 3. napenda sana kunyonya K 4. napenda kunyonywa mb.o.o 5. napenda sana...
  8. Money Penny

    Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

    Jambo iko? Kwanza merry christmass Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku. Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje? Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa...
  9. Money Penny

    Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

    Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini? ikawaje? ulitemana nae vepe? ulitemana nae baada ya muda gan? Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
  10. Money Penny

    Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

    Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe? kwanini nisimuoe tu fasta, yaani nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi...
  11. Money Penny

    Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

    Haya mje sasa Naona kumekucha Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole Kisa kinaenda hivi Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume Money penny: Nini mbaya mami?? Mlokole: Mume...
  12. Money Penny

    Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

    Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
  13. Money Penny

    MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  14. Money Penny

    Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Anti: unajua money penny, nimwambie kitu? Money penny: ndio Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui kukojoza wanawake zao Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona...
  15. Money Penny

    Nilichomfanya tapeli wa mapenzi alivyotaka kunitafuta kilaini...

    Majeruhi: Money penny bwana, nilikutananna wajinga flani hivi hapa dar wakataka kunitapeli ili wanile kilaini Money penny: doh, wamefanyaje Majeruhi: mjinga wa Kwanza alinichunguza wee akajua weakness yangu ilipo, akaomba kuvaa utajiri ili anipate Money penny: enhe Majeruhi: akaniaminisha...
  16. Money Penny

    Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

    sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini? kizuri au kibaya!
  17. Money Penny

    Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
  18. Money Penny

    Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

    Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu, Money Penny: Hongera Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa Money Penny; nambie mpendwa Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka...
  19. Money Penny

    Ahadi gani ukipewa na mpenzi wako, unatoa utamu fastaaaa...

    Haya mkujeee nasema mkujeeeeeeeeee mimi nikiambiwa napelekwa Santorini jamaaani,natoa yoooooooooooooooooteeeeeeee
  20. Money Penny

    Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

    Naulizwa Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi? Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje? Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Back
Top Bottom