Search results

  1. Mama Mzungu

    Nimeoa single mama

    Dha, kwanza una roho mbaya. Usitegemee baraka katika hiyo ndoa. Huyo mtoto kakukosea nini mpaka umemtenganisha na mama yake. Hivi ungefanyiwa hivyo, ungejusikiaje?. Ngoja nikwambie ukweli huyo mwanamke ni mskivu lakini Si mama mwemwa. Na baraka ambazo ungepata kwa kulea huyo mtoto na kuishi naye...
  2. Mama Mzungu

    Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

    Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for...
  3. Mama Mzungu

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hizi hasira zako juu ya masingle mothers nauhakika wewe ni maskini sana. Si wa fikra tu bali hata kipato [emoji23]. I am very sorry unahiyo mentality. Namuonea huruma mama aliyekuzaa. Katuletea tatizo zaidi ya Corona.
  4. Mama Mzungu

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Comments kama hizi mwaka 2022 ni aibu sana. Hivi hujui kuna wanaume wakatili, wanazalisha na kukimbia? Hujui kuna wanaume wanapiga? Hujui kuna kuachwa kwa ajili ya uzinzi? Kwahiyo hao wanawake hawana nafasi ya pili ya kupendwa? Jesus, I am very disappointed. Comments au thread za namna hii ni za...
  5. Mama Mzungu

    Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

    Mimi ni mwanamke na ulichoandika hapa ni ukweli 100%. Mwanaume asipo nitreat kama ulivyoelezea hapo, Mimi huwa simtaki kabisa. Mwanaume unapaswa kuwa msweet na pia principled na mwenye authority. I can stand proudly and introduce you to my people.
  6. Mama Mzungu

    Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    Upo sahihi 100%, natamani nikupe zawadi. Kama hawatakuelewa wewe, then hawatoelewa daima.
  7. Mama Mzungu

    Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    Wewe si mtu safi aisee. Maelezo mengi ila ni ya uongo. Yaani nimesoma huku naogopa. Tumefika pabaya.
  8. Mama Mzungu

    Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    Aisee huniwezi kabisa. Wewe ni mtoto mdogo kwangu [emoji1787]
  9. Mama Mzungu

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Ni mapepo tu. lakini tusijipe moyo, wanaume wa siku hizi wazembe kitandani. Sio kuingiza na kuchomoa tu, hisia huja kwa romance pia. Na wanaume siku hizi ni vichomi, anachepuka na kukuumiza mpaka hisia zinapotea.
  10. Mama Mzungu

    Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    You are a very stupid man, yaani you are an idiot. You are a disgrace to humanity, I just can’t find better words to describe you. Ni hivi hufai kuwa mume wala baba. Shenzi wewe.
  11. Mama Mzungu

    Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

    Wewe upo sahihi kabisa. Katika comments zote, wewe ndo umesema ukweli but anapaswa kuwa very strong. Wanawake hawapendi wanaume wa kulialia.
  12. Mama Mzungu

    Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

    Akichukua huu ushauri basi atafanikiwa. Umeeleza vizuri sana.
  13. Mama Mzungu

    Nimemwadhibu dada wa kazi, majirani wanaingilia

    Umekosea sana, hata kama wewe ni baba hupaswi kumpiga mfanyakazi wako. Huyo sio mwanao, ukimchoka rudisha kwao. Ni wakati mwafaka wa kuweka sheria kulinda wadada wa kazi. You are wrong and you must apologise.
  14. Mama Mzungu

    Nini hatma ya ndoa hii? Naombeni ushauri urgent

    Hata kama kosa ni lake ila sasa wewe ndo mwenye makosa. Hupaswi kumpiga mtu ( mke). Tujifunze kucontrol hasira na kupunguza mfumo dume. Ulivyoona hanyamazi na ukakereka ulipaswa kuondoka mpaka hali itulie. No justification kwenye kupiga, omba msamaha yaishe.
  15. Mama Mzungu

    Mchumba anatoa mashuzi mno!

    [emoji1787][emoji1787] bora huyo. Mimi nilikuwa na mpenzi akifika kileleni lazima ajambe [emoji1][emoji31]. Nilichoka mimi.
  16. Mama Mzungu

    Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Mimi sioni kosa lake kabisa. Kafikisha ujumbe vizuri tu, ni wewe ndugu msomaji kuchambua yanayokuhusu na yasiyokuhusu. Ukweli ni kwamba kama wewe mwanaume unapigika haswa lazima mkeo atajua mme wangu anajitahidi na kama kakosa ni kweli kabisa. Ila kuna wale ambao unajua anazo pesa au hana pesa...
  17. Mama Mzungu

    Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

    Kama wenyewe hawajihurumii? Yaani kifo kinaumiza sana mioyo ila watanzania ni wazembe, hawajui haki zao, ni Zero kabisa kabisa. Yaani ni mazamwamwa . Ukisoma comments ndo utaona aibu aisee. Wala sifichi, watakaokufa na corona tanzania hawatoumiza moyo kama watakaofariki Uganda. Tanzania wazembe.
  18. Mama Mzungu

    Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

    Wewe acha uongo, Tanzania bara haujadhibitiwa. Subiri uone ongezeko la wagonjwa. Dawa za kuua bacteria 🤣🤣. Ebu tumia akili.
  19. Mama Mzungu

    Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

    Yaani upo sahihi 100% serikali imezembea sana. Mimi hata watu wakifa Tz sioni huruma, kwasababu hata watanzania wenyewe hawajihurumii kabisa. Nilisoma comment zao nyingi wakifanya utani na huu ugonjwa. Mimi nawapongeza Uganda, wameonyesha kujali wananchi. Yaani hata mtu akifa Uganda unajisikia...
Back
Top Bottom