Search results

  1. M

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Mmmmh ! Kazi kweli kweli. Tusubili wakati utaongea .
  2. M

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Wakati utaongea wakubwa hamna haja ya kurumbana.
  3. M

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Ktk kampeni za kugombea uspika wa bunge maalum la katiba alisikika akijinadi kuwa kuchaguliwa kwake ni 'sawa na kumrudisha chura kwenye maji sehemu ambayo ameizoea' hata hivyo kuna kibonzo kimoja toka ktk gazeti mahiri hapa nchi kili hadhalisha kuwa inaweza kuwa ni chura kuingizwa / kurudishwa...
  4. M

    Taarifa Ya Mwenyekiti Mtendaji Wa IPP Limited, DKT REGINALD MENGI, Kwa Umma

    Umeongea vema Dr Mengi. Nakubaliana na hoja yako kimsingi ina mashiko. Siku zote ukweli utasimama. pamoja.
  5. M

    Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

    Duh kumbwani! umenikumbusha mbali. hongera ni hatua nzuri.
  6. M

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Nakubaliana nawe mkuu. Mawazo yenye busara.
  7. M

    Wimbo wa Taifa la Zanzibar

    Duh! Vipando umenikumbusha mbali. Tafadhali anayefahamu beti za wimbo wa Tanganyika atuwekee humu kwani naona nao unakuja tena kwa kasi.
  8. M

    Mnapotuita TBCCM, POLISICCM nk,, Mmekata tamaa? Mkshika dola mtakuja na polis wenu?

    Nazani ingependeza sana kujadili hoja iliyotolewa na siyo kutukana. Kama huna la kuchangia ni vema ukapita kimya kimya.
  9. M

    African renaissance

    Nikweli twahitaji kutazama upya tamaduni zetu ambazo tumeacha zikiporomoka kwasababu ya kuiga na kufuata kalibu kila kitu cha ulaya,america na nje ya africa kwa ujumla. Kwamfano, watoto siku hizi badala ya kusimuliwa au kusimuliana adithi watoto kuangalia katuni tu,kwamtindo huu hatujengi uwezo...
  10. M

    Ariel Sharon is dead!

    R.i.p - A.Sharon
  11. M

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    ahaaaa! Sifongo usifanye hivyo, utahatarisha maisha yako na watumiaji wengine wa barabara. Ukiwa nimfuasi wa chama chenye kiu ya kuleta mabadiliko ktk mfumo wetu. Nadhani ni vizuri kuonyesha mfano wa kufuata sheria.
  12. M

    Wenye akili CHADEMA wapo kimya

    Hii yote ni mitazamo tu. Kama ni kweli kuna usaliti amekuwa akifanya kwa chama chake awajibike,mengine yote ni mbwembwe tu. Kwasababu kimsingi hakuna jamii au jumuia inayokubali wasaliti. Cha msingi ni kuwa zzk apewe haki ya kusikilizwa na kujitetea na hatua zingine zifuate.
  13. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Jamani hii ni kali, siku zote ukiona mtu anahama kwenye mada na kushambulia mtu uje mambo ni mazito kwake. Mambo mengi mh zzk ameongea, ni vema akitupasha kuhusu kifo cha marehemu Wangwe naona kama anakitu vile! Tutayapata mengi sijui ndo mfa maji au vp... Tusubiri tutafahamu punde.
  14. M

    Sababu ya NCCR kufa na Kupona kwa chadema

    Ahahaaaa usinichekeshe. Asante nimekupata.
  15. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Time will tell.
  16. M

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Ooh! Ni jambo jema. Karibu mama.
  17. M

    Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    Umenena vema, ushauri umejaa hekima. Mungu ibariki Tanzania.
  18. M

    Lowassa azungumzia Udini...

    KAZI KWELI KWELI. Mitaala.
  19. M

    Tujikumbeshe waraka huu wa Lema kwa rais Kikwete na kile kinachotokea leo

    Ujumbe mzito na wenye maono ya mbali. Kimsingi ukifanyiwa kazi kikamilifu ubaguzi na chokochoko zote zitapungua sana kama sio kuisha kabisa. Itapendeza viongozi wetu wakikaza uzi ktk kushughulikia hili tatizo.
Back
Top Bottom