Search results

  1. kamili

    Ipi ni Nafasi sahihi ya Makatibu Wenezi wa CCM katika utawala wa nchi?

    Huyo sio paka ni mdoli, hakuna paka mdoli anayekamata panda. Ruksa kujifurahisha kwa kujilaghai, but kama mna shida kweli elekezeni sehemu sahihi.
  2. kamili

    Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Yaani hivi kuna mtu anayemsikiliza Makonda. Labda wanachama wa Ccm wachache wanaofikiria teuzi.
  3. kamili

    Ipi ni Nafasi sahihi ya Makatibu Wenezi wa CCM katika utawala wa nchi?

    Licha ya CCM kuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 60 ndio chama kinachovuruga dhana ya utawala kushinda hata madikteta. Katibu mwenezi wa CCM hana mamalaka ya kumkaripia hata kibarua wa siku. Kazi yake ni ushawishi na uratibu wa wananchama wa chama chake. Ni kosa kuwahoji watumishi wa serikali...
  4. kamili

    Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

    Bado unasoma makala za Mayalla? Dah mimi nilishampuuza zamani sana. Kabla ya utawala wa Magufuli Mayalla alikuwa mwandishi bora zaidi. Baadae siku Magufuli alimfanya nini, bora nicheze na wanangu kuliko kumsoma Mayalla.
  5. kamili

    Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    Huko kujificha maana yake wanateleleza majukumu kinyume na sheria na taratibu zetu. Trafiki nayefanya kazi yake kihalali hawezi jificha
  6. kamili

    Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    polisi wetu (sina hakika kama ni wetu) wana mambo ya ajabu sana
  7. kamili

    Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    nitashukuru kama kweli huwa wanasikia
  8. kamili

    Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    Mheshimiwa nina taarifa mbili kama ifuatavyo: Tarehe 24/10/2023 kati ya saa tatu na saa nne nilipita Moshi na gari binafsi nikitokea Arusha. Safari yangu hiyo ilikuwa ni safari ndefu iliyoanzia Tanga, Dar, Morogoro, Dodoma, Manyara, Arusha na siku hiyo nilipita Moshi katika safari ya Kurudi...
  9. kamili

    Duru: Matukio na habari za Dunia

    1. Ni kweli zaidi ya 90% ya mijadala ya Watanzania ni Simba na Yanga, sijui tulikosea wapi? Ni vigumu kujadili mambo ya kitaifa au ya kimataifa ambayo yanatuathiri moja kwa moja. Tunaathirika. 2. Kuhusu ukatili wa Israel wakati mwingine mimi nafikiri tatizo ni waarabu wenyewe ambao wameshindwa...
  10. kamili

    Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa kitaifa amesema hamtashinda hata kijiji kimoja nyie mpo mpo tu

    Haya uliyouasema machoni mwa CCM ni matusi mazito, kejeli, dharau, uzushi, uongo, uhaini, uvurugaji wa amani nk. Kaa chonjo unaweza bambikiwa kesi saa yoyote.
  11. kamili

    Je, Rais Samia alitaka CHADEMA Wahudhurie huku Uongozi wao Ukiwa Locked-Up Arusha?

    Kwa CCM matusi ni kama: 1. Kudai katiba mpya 2. Kukataa ardhi yetu kuporwa 3. Kukataa kubambikiwa kesi 4. Kukataa kutekwa 5. Kukataa kikokotoo 6. Kukataa mauaji au kupigwa risasi 7. Kukataa kuporwa berue de change 9. Kukataa kuporwa kwa fedha za umma na ccm 10. Kutaka huduma nzuri za kijamii 11...
  12. kamili

    Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Kwa CCM matusi ni kama: 1. Kudai katiba mpya 2. Kukataa ardhi yetu kuporwa 3. Kukataa kubambikiwa kesi 4. Kukataa kutekwa 5. Kukataa kikokotoo 6. Kukataa mauaji au kupigwa risasi 7. Kukataa kuporwa berue de change 9. Kukataa kuporwa kwa fedha za umma na ccm 10. Kutaka huduma nzuri za kijamii 11...
  13. kamili

    Nimesikiliza Hotuba ya Rais Samia kiukweli ameonesha Uvumilivu mkubwa. Magufuli asingevumilia matusi!

    Kwa CCM matusi ni kama: 1. Kudai katiba mpya 2. Kukataa ardhi yetu kuporwa 3. Kukataa kubambikiwa kesi 4. Kukataa kutekwa 5. Kukataa kikokotoo 6. Kukataa mauaji au kupigwa risasi 7. Kukataa kuporwa berue de change 9. Kukataa kuporwa kwa fedha za umma na ccm 10. Kutaka huduma nzuri za kijamii 11...
  14. kamili

    Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

    Wasiwasi wangu, CCM watawapigia majaji simu na kuwapa maelekezo. Wazalendo watabambikiwa kesi na akina Kingai, Takukuru TRA nao wanasubiri maelekezo. Under CCM Kiza bado ni kirefu.
  15. kamili

    Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

    Kwanza Faiza huwezi endesha mjadala huu maana msimamo wako unajulikana unaunga mkono kutwaliwa milele kwa bandari kwa kivuli cha uwekezaji. Pili wale wanaoupinga tayari wametishiwa maisha yao, na tayari moja ameponea chupuchupu kwenye jaribio la utekeji. Hivyo kuweka hoja hapa za kupinga...
  16. kamili

    Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

    sina mashaka na uwezo wa mahakimu au majaji wetu Tanzania, BUT sina imani nao kabisa kwa sababu wana itikadi za CCM ya Ole Sabaya, na Pole pole, ya Bashiru, ya Makonda nk. Tangu CCM iingiwe na roho ya ku inflict pains to innocents mahakimu wetu wamekuwa wakiakisi nia hiyo. Hata kama kesi ya...
  17. kamili

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Taulo je???
  18. kamili

    Nimemsikiliza Padre Kitima, hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi sijaona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Uelewa wako ni mdogo sana. Kama umeshindwa kumuelewa Kitima unatia mashaka sana. Kitima ametoa facts dhidi ya propaganda na uongo wa CCM kuhusu maktaba. Mkataba huu unamadhara makubwa sana kwa taifa but huenda ukawa na faida mwa CCM ya wachache.
  19. kamili

    Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

    CCM haiwezi toa kiongozi mzuri hata iweje. kwa sababu malengo yake sio mazuri
Back
Top Bottom