Search results

  1. P

    Kuonesha au kumuweka picha!.

    Habar wana JF! Hivi nmakosa kama rafiki yangu hamjui Mh Lissu ..kisha nikamtumia picha yake? - Mbona wikipedia hakuna picha ya rais wa pili wa Zanzibar? Je kama mie ninayo naweza kuwatumia? Au ni jinai kuiweka sehemu yeyote...hasa kumuonesha rafiki au jamii ...ni kwa nia nzuri tu...ili...
  2. P

    RIP John Ngahyoma

    Habari. Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi. Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg! Akaisoma on air.
  3. P

    ITV kipindi cha malumbano ya hoja!

    Habari JF!. Naangalia kipindi hicho...mama mmoja kutoka kigoma wilaya ya kasulu....amewachana ...yaan wazee wanalalamika kutengwa na kunyanyaswa...wanahitaji muwakilishi wao mjengoni.
  4. P

    Jamani kuna majukwaa hakuna michango kama haya majukwaa ya......

    Habari JF. Nmechunguza sana mpaka nimeamua kueleza hisia zangu hapa hapa ... Jukwaa gani ukituma mada hukaa mda mrefu hadi ikapotea bila kupata majib au michango mbali mbali? Tafauti na haya Habari na hoja M. MMU na ........
  5. P

    Mchumba'ke amedumu nae...lakin mke'ke mwei tu!

    Habari JF! Hii inakuaje? Jamaa haishi kuwabadili wachumba lakin mke akioa ni mwezi utasikia ametengana nae! Anatatizo gani huyu?
  6. P

    Hongera Askari wetu leo!

    habar JF!<br /> Muda wa saa kumi leo jioni nlipanda dala dala la kutokea mwenge kwenda Tandika DCM lenye usajili T 741 AEG (MOCHANA). Kumbe dereva kalewa kinoma...abiria wamelalamika kuhusu dereva mwendo na kutojali...alipofika maeneo ya karume kulikua foleni ..bahati askar wa njia wa kike...
  7. P

    Tunaelimishana tu.....udhaifu wa makabila!

    JAMBO BANA jf. IKO HII KITU NASUMBUA KITWA YANGU MIMI NAKUA KOSA RAHA. NAOMBA TAJA HII KABILA NAJUA WEWE IKO FANYA VITENDO BAYA BAYA. HINDI YENYEWE NAACHIA MILKI YA MALI MKE YAKE..HII APANA NZURI. TUENDELEE!
  8. P

    Nimpe laki moja kama nampenda!

    habari zenu! Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za kujaza mafuta gari zake...japo dada anazo biashara zake nzuri. Anahitaji kujua ni ipi siri ya huyo...
  9. P

    Wenyeji wa Kigoma-ujiji walivyo!

    habari zenu JF! Nmewahi kusafir nao hawa ndugu zetu...maeneo mengi..sifa nlizoziona ni wakarimu ila wanajiona/kujisifia mno! Wawaonaje au wawajuaje? Nimewakilisha
  10. P

    Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

    Habari wana jamvi la JF!. Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba ninae mke wangu anantosha. Maana jamii kubwa siku hupewi msaada lazima mwisho utadaiwa ngono...ama...
  11. P

    Hizi sikukuu kama 7.7 na 8.8 etc. ni miradi ya watu ama?

    Habari JF! Naomba kuambiwa hizi sikukuu May Day na 7 7 mara 8 8 zinahusu nini katika jamii ya waTz? Zinatunufaisha wengi au ni wachache? Halafu maana ya hii sikukuu ya saba saba ni sikukuu ya nini? Maana naona humu viwanja vya maonesho ni biashara tu na matangazo ya biashara...tena hawana...
  12. P

    ...ni oga wa maisha

    habari wana JF! Nmekua naona wanaume /wanawake wanaotaka kuwa kitu kimoja(kuoana) kuna kamsemo ''ndio chaguo langu'' kumbe mtu anaangalia vigezo vya maslahi. Hili lipo zaidi kwa akina dada wanaomaliza 1st degree zao au amepata kazi yake hataki kuishi na mwenzie ...hivi ni ajili hiyo ya kuogopa...
  13. P

    Jamaa akamatwa na polisi kisha wamuamuru asafishe vyoo vyao

    Habari JF!. Jamaa mmoja wamemkata polisi kwa tuhuma za kawaida..si za kihaini. Akafikishwa kituoni kwa maelezo na upelelezi. Polisi kama mnavyojua ni wachafu makambini kwao hata vyoo vyao ni uchafu utafikir hawana akili hata moja. Wakaja kumchukua jamaa ili aende kusafisha vyoo/maeneo yao...
  14. P

    Hii ni haki...NPS kudai 300/-

    Habari zenu JF! Haya mambo yanahitaji wajuzi watusaidie...tunakabwa hadi kooni hatujui tunalalamika wapi? Jamaa yangu amepita mjini kati na gari yake...akaingia dukani kuulizia bidhaa...dada mrembo akaenda kumwekea receipt ya kudai 300/- mara jamaa yangu akatokea akamwamwambia ...ya nini hiyo...
  15. P

    Hii mikoba jamani!

    Habari members JF...! Naomba kujulishwa kwa yeyote alie ona ukweli wa hii mikoba ya akina mama/baba utakuta mtu/me au ke ameubeba mkoba utadhani anasafiri kumbe anaenda kazini tena atakuepo huko kazini kwake kwa masaa kumi au tisa. Najiuliza hua inabeba nini? Maana kuna hospitali moja hapa...
  16. P

    Ajisaidie vipi jamaa?

    Habari members JF! Jamaa anae demu wake lakini demu hajulikani kwao wala jamaa hajulikani kwao na demu! Wamelala usiku asubuhi demu ametoka roho(amekufa) sasa jamaa hajui anmpeleka wapi huyo demu na atatoa maelezo gani? Usalama wake jamaa ukoje? Anahisi atawekwa kizuizini hadi ukweli...
  17. P

    msaada wenu haraka!

    habari wana JF! Kuna rafiki yangu yeye si mtaalam wa mambo ya sheria lakini hapendi upuuzi(kuonewa). Alifanyiwa zengwe wakati akimlalamikia mtaalam wa sheria maana hakumuwakilisha ipasavyo. Huko wakatengeneza zengwe shauri likafutwa. Jamaa akakata rufaa amepewa waheshimiwa majaji wa tatu...
Back
Top Bottom