Search results

  1. V

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Nice car ila iko chini sana
  2. V

    Ole Millya kuvuliwa uanachama CCM

    Wakishapambana wao kwa wao kazi kwetu chadema itakuwa rahisi....
  3. V

    Wavuta sigara na wanywa pombe saivi matumbo joto

    Ata ikapanda kunywa tutakunywa sigara wapandishe apo 20 na bia wapandishe 100 au mnasemaje ndugu zanguni...??
  4. V

    Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

    Jamani tuangalie TBC 1 mhe! Anatoa hotuba afu yule mzee(LOWASSA) aliyetemwa ccm yupo pale mstar wa mbele....
  5. V

    Hatimaye Mbowe apewa dhamana

    Wanachadema let us focus on budget now....hawa wanataka tuamishe akili zetu kwenye swala kumkamata mwenyekiti wetu. Tusahau budget.
  6. V

    Hatimaye Mbowe apewa dhamana

    Mmekipa chadema umaarufu zaidi. Mbali nakutumia vibaya kodi zetu. poleni ccm na serikhali yake kwa ujumla....mnavyo fanya ivi mnazidi kujenga chuki na wananchi.
  7. V

    kanitosa kisa handsome boy

    Alichofanya uyo mwanamke ni funzo kwa uyoo jamaa ako asije kurudia swala la aibu kama hilo. Iyo fedha alikuwa anamsomesha na mambo mengine kwanini asingetumia kwa familia yake. Unakuta familia inakula kwa tabu lakini kimada kinakula vizuri kinavaa vizuri. Hiyo itawasaidie familia yake ile fedha...
  8. V

    Jengo la TPSPF Masaki linawaka moto

    Zimamoto wameshawasili?
  9. V

    Salute kwa First Lady?

    Tanzania.
  10. V

    Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

    Caroline punguza jazba jamani.....
  11. V

    Hawa ndio masela wa UNGA LTD;ARUSHA:

    Na olematejoooooo ni full.
  12. V

    nisaidien rafiki yangu huyu na matumizi yake.

    We fanya ivyo mkuu ila mpe taarifa kwanza.
  13. V

    Nipepo wa ngono au ni kawaida??

    Aise apo kazi unayo. Ebu jaribu kumuuliza wakat mnapo maliza kufanya game kama umemridhisha.... kama ndugu yangu unawai kumwaga maji nalo linaweza kuwa tatizo.
  14. V

    warembo haoooo!!

    Mh! Hiyo ni tabia mbaya na pia nidharau na uzalilishaji kwa mke wako...unaitaj kumwomba msamaha tena umpe na zawadi angalau asahau icho kitendo.
  15. V

    Namwagiza Anna Makinda Kufunga Bunge Sasa Hivi, Haraka sana

    Tatizo ni kwamba bunge limeingiza siasa sana. Uchaguzi ukiisha inatakiwa sasa vyama vyote viwe kwenye hali ya utendaji..... Bila kujali ubaguz wa chama....
  16. V

    Tanzania tuna Bahati mbaya, tunaenda mbele na kunarudi nyuma

    Jaman tumekwisha watanzania
  17. V

    nisaidien rafiki yangu huyu na matumizi yake.

    Aise mwambie akubaliane na hali ya maisha ya kwao. Then nexty time mshaur amwmbie babaake alipe ada thru bank yeye ampe tu paying slip. tangu ampe iyo elfu 30 yakutumia ni mda gani umepita?
  18. V

    huyu dada ni vipi????

    Hapo mkuu hamna ubaya. Asingekaa kwenye folen akaenda direct kwake apo ndo tatizo. Hatuwez kujua walikuwa na ishu gan. Kwa iyo tuache yaliyotokea hapo bank kama yalivyo.
  19. V

    Kina Dada ni ya kweli haya....?

    Hii ni kweli mwanamke akishakuwa na kauwezo kidogo tu! Mara nyingi hizi huwa ndo fikra zao. Wanawake ambao bado hawajaingia kwnye ndoa hulipinga hili lakini. Kwa research niliyofanya hili swala lipo.....kitu kinacho tusaidia sisi wanaume tusiachike kama wanavyopanga ni watoto.
Back
Top Bottom