Search results

  1. K

    Natafuta mume wa kunioa

    Kama more than 45 inakubalika? Deni la bodi ya mikopo ni kiasi gani? Mahari ni kiasi gani?
  2. K

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sasa Jamani hawa marafiki wanamtuma kununua Hari? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  4. K

    Inawezekana mtu ukapata Letter of offer of employment and employment contract?

    Nawashukuru wote kwa michango yenu ya mawazo. Ntawapa feedback baada ya siku chache zijazo.
  5. K

    Inawezekana mtu ukapata Letter of offer of employment and employment contract?

    Habari wanajamvi, Je hivi inawezekana mtu ukapata letter of offer of employment and employment contract moja kwa moja kutoka kwenye barua ya maombi ya kazi bila interviews na tests mbali mbali?
  6. K

    Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana

    Mkuu Hata Mimi katika thread fulani nilishawahi kuuliza hili swali lakini sikujibiwa.
  7. K

    VIFURUSHI VYA VODACOM

    Chomoka huko fasta!!
  8. K

    Kutengeneza incubator

    Na Kilimanjaro Mtakuja lini Mkuu. Hayo mafunzo ninayataka.
  9. K

    dagaa wa kukaangwa kutoka mwanza

    Mkuu hebu naomba ufafanue bei vizuri.
  10. K

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Kuna aina ya Kiazi inaitwa obama kinalimwa sana Lushoto. Watu wa pande hizo nawaje watoe data za kutosha tunufaike.
  11. K

    Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

    Kazi nzuri. Je, inachukua miaka mingapi kuvunwa Mbao? Je, maeneo ya milimani inaweza ikasktawi? Soko lake likoje ?
  12. K

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Ubarikiwe kwa ku-share great knowledge. Presentation imetulia.
  13. K

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    mie niko Kilimanjaro pls nishaurini pia.
  14. K

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Je,maeneo ya milimani huku Same, Kilimanjaro zao linaweza kustawi kwa kutegemea mvua za msimu mfano vuli?
  15. K

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    J Je, sehemu za milimani na kwa kutegemea mvua je inawezekana kilimo huko? Naona maboga yanasitawi na hii yaweza ikawa jamii Mona?!
  16. K

    Kigugumizi (Stuttering): Chanzo na Tiba kwa watu wazima na watoto

    Shem za IR? Hebumjaribishie Fau hiyo dawa ya asali na chumvi.
  17. K

    Nahitaji masoko kwa ajili ya mayai

    Watumiaji wa bidhaa wako mahotelini
  18. K

    Upweke unanitesa, nahitaji mpenzi wa kunifariji

    He, ulishapata?
  19. K

    Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa mitishamba

    ForumsKilimo, Ufugaji na Uvuvi Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa miti shamba. Watch Thread 1234 donata fredyMember #1 Aug 3, 2016 MADAWA YA ASILI YA KUKU: Madawa haya yanatokana na mimea na yanasaidia ktk jinga na kutibu pia. Dawa hizi tunazipata ktk sehemu za mimea yaani...
Back
Top Bottom