Search results

  1. M

    Jinsi ya Kuangalia Kama Gari/Wewe Unadaiwa na Traffic Polisi

    Polisi wanafanya kazi ngumu sana tuwape heshima yao tu japo wapo wengine wanalidhalilisha jeshi kwa kufanya kazi nje ya utaratibu japo ni wachache sana
  2. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanga eneo la Kange Kasera kwanini hamtaki kutuwekea nguzo za umeme eneo la chini ya msikiti ile hali tupo wateja xaidi ya 40 na ambao tumeshafanya wiring na kuleta barua ofisi za Meneja mkoa zaid ya mara tatu tangu mwaka jana mwezi wa pili? Sababu za kibajet mnazotupa haturidhiki nazo kwa kuwa...
  3. M

    Button za gari....

    Nina gari yangu Carina Si..pale chini kwenye gear liva kuna button ziko pale zimeandikwa PWR na MANU naomba mnisaidie kujua matumizi yake Lakin pia kuna kabatan kapo kwenye gear liva ukikaminya kanatoa ujumbe wa O/D OFF NAOMBA MNISAIDIE KUJUA MATUMIZI YA HIZO BUTTON
  4. M

    Gharama za kulipia gari bandarini na TRA

    huu ushuru ni shida sana sana na inakuwaje kama nikipitisha Mombasa?
  5. M

    Soko la mafuta ya alizeti

    u are not serious uliona wap biashara ambayo haina address weka mawasiliano binafs nahitaj hayo mafuta but cjui bei yako n uwezo wako wa kuzalisha 0719213427 nichek nipo Tanga
  6. M

    Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    haiwezekan mwanaume jipande la mtu unakaa ndani ya ist au vitz bwana. unakuta mwanaume limeshiba c mchezo linapanda ndani ya vitz mpaka inabonyea upande mmoja. hahahahahahaha
  7. M

    Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    kiuhalisia hakuna Gari ya kike lakini kimuonekano au kimtazamo kigari kama vitz anapendeza akiendesha mwanamke tena awe na kamwili kadogo. pia mwanamke hapendez kabisa kuendesha land cruiser . vitz, spacio ractis Nadia zinawapendeza sana wanawake lakini sio wanaume
  8. M

    Nahitaji Carina TI

    diplomatic nichek whatzzup
  9. M

    Carina na Cresta GX100 zinauzwa

    kaka mugusi naomba nipe namba yako nina shida na Carina Ti 0719213427 ndo yangu
  10. M

    Nahitaji Carina Ti

    saambovu una huo mzigo uniuzie? au na wewe unatafuta
  11. M

    Nahitaji Carina Ti

    Nahitaji Carina Ti ambayo ipo katika hali nzuri nina M 6 0719213427
  12. M

    Naomba msaada kuhusu Carina SI

    asanteni sana wadau kwa michango yenu ya mawazo
  13. M

    Nahitaji Carina TI

    nahitaji Carina ti na Nina m 6 kama unayo naomba tuwasiliane 0719213427, nipo Tanga
  14. M

    Naomba msaada kuhusu Carina SI

    Mimi ni mgeni kidogo katika masuala ya magari. Nimepata Gari kwa mtu anataka kuniuzia Carina SI. Naomba mwenye experience na Gari hii aniambie huwa yanatumia mafuta kwa kiasi gani kwa kilometer na ni mambo gani mengine ya msingi napaswa kuyajua before sijampa hela.
  15. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    voda ni wezi sana na ukiweka hela pesa inapungua taratibu mpaka inaisha bila hata kipiga cm au kutuma msg
  16. M

    Bukoba kila mwanafunzi ana iPad

    sifa za kijinga kama hizi zinakufanya uonekane limbukeni
  17. M

    Kikwete amuondoa rasmi Dr. Ndalichako NECTA, amteua Dr. Msonde

    kuchakachua matokeo ndo kunashusha hadhi ya elimu ya Tanzania na anayefanya kazi hiyo ni NECTA
  18. M

    NHC: Nyumba 5,000 za bei nafuu kwa wote! Nyumba yangu, Maisha Yangu!

    Hizi Nyumba ni ghali sana ukilinganisha na maisha halisi ya watanzania wa kawaida. Mimi nasema hivo kwa kuwa nina mfano halisi kabisa. Nimejenga Nyumba ya vyumba vitatu kimoja masta sebule japo c kubwa sana ina jiko dinning public toilet na ni standard house lakini gharama za jumla nimetumia...
  19. M

    Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    inclement cku hiz haipo kabisaaaaa
  20. M

    Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha

    hana lolote huyo binti. huo kwel ulikuwa mchongo wa ndugu wa Flora
Back
Top Bottom