Search results

  1. ipatama

    Wanaume mna kazi

    Samak yake chambo
  2. ipatama

    Zari anunua ndinga mpya

    Doooooh
  3. ipatama

    Harmonize vs ali kiba? Nani mkali

    [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
  4. ipatama

    Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

    Mkuu kuna PM nimekutumia
  5. ipatama

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii mechi itarushwa Chanel gani?
  6. ipatama

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo sikonge - Tabora nije mbeya au songwe wilaya yoyote, idara ya msingi 0742197840
  7. ipatama

    Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

    Mimi? Kuna sehemu tuliongea na wewe chochote?
  8. ipatama

    Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

    Mkuu nimeku PM tayari, sijui kama umeiona
  9. ipatama

    Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

    Hahahaaaaa alafu nayatamani sana hayo mkuu, huwa nayasikia tu
  10. ipatama

    Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

    Poa mkuu, lengo langu ni kujua hiyo wilaya ya sikonge ni kabila gani maarufu linalipatikana huko? Nauli toka tabora mjini hadi huko ni shingapi? Shughuli zao kubwa ni nini? Kwa kuanzia tu ni hayo mkuu
  11. ipatama

    Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

    Merry Christmas kwa wana jf wote, kama kichwa kinavojieleza, naomba kama kuna mtu anaetokea mkoa wa tabora wilaya ya sikonge, please naomba tuwasiliane kuna mambo nahitaji kujua toka huko. Ahsanteni, tusherehekee kwa amani
  12. ipatama

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu kuku wangu wana wiki 19 ni wa kienyeji pure, kuhusu composition naomba nikutajie kesho nikienda bandani, ni mbali kidogo nilipo kwa sasa. Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu, be blessed
  13. ipatama

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu habari za kazi? Nashukuru kwa kujitolea kwako kutusaidia wanajamii wenzio. Naomba nisaidie ndugu yako, nina kuku wangu mmoja anakikohozi cha muda mrefu sana, nimejaribu fluburn imegonga mwamba, kibaya imeanza kuambukiza na kuku wengine, naomba nisaidie nitafute dawa gani itakayokua msaada.
  14. ipatama

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Usikate tamaa mkuu, mwenyewe nilipeleka mayai 60 ya kienyeji pure kutotolesha vikatoka vifaranga 45, msala ukaja kuvilea vikaanza kuumwa vinatoka kama vidonda(damu) sehemu ya haja, karibu kila siku naokota kimoja walinambia nitumie esb3 lakini hola, vina wiki mbili saizi lakini vimeshakufa sita...
  15. ipatama

    Msaada; Kuku kuchangia kiota kimoja cha kutagia

    Tatizo linalonipata lingine kuku wangu hawan sehemu maalumu ya kutagia, leo atataga hapa kesho pale, kesho kutwa Sehemu nyingine, naombeni msaada nifanyeje ili kila mmoja awe na sehemu yake ya kutagia
  16. ipatama

    Msaada; Kuku kuchangia kiota kimoja cha kutagia

    Kumbe tupo wengi, tatizo mmoja akianza kulalia yule mwingine nae anafosi kulalia hata kama muda ulikua bado.
  17. ipatama

    Msaada: Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni

    Mkuu mi vyangu ndio choo inaziba, nikitumia hiyo esb3 inaweza nisaidia? Vipi inauzwaje hiyo?
Back
Top Bottom