Search results

  1. kanyela mumo

    Taja vyombo vitatu vya habari unavyo viamini?

    TBC 1 TBC 2 TBC3 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kanyela mumo

    Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Hata iwe kesho kura yangu ni kwa JPM njia anazo chukua juu CORONA na mengine yote ni kwa USAWA wa hali ya juu kuliko mahali popote DUNIANI trust. Mungu ambariki na amsimamie ni bahati kuwa na Namba moja kama yeye. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kanyela mumo

    Fikra za getho part 1

    Life is good bro Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kanyela mumo

    Fikra za getho part 1

    Kuna chenye maana kwa wakati huu je umekiona nimekiandika kaka? Au ilimradi ulete nongwa? Be positive be Gentlemen. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kanyela mumo

    Fikra za getho part 1

    Sawa mkuu ila nimevuta toka darasa wanalo anza kuandikia pen.. sasa hivi 35 years old moshi mineli mapaf kwishneii jarikadaee kuch kuch Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kanyela mumo

    Fikra za getho part 1

    Mkuu huwezi kuamini nimechukua video kabisa, tena wame sokotana mbele yangu Big. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kanyela mumo

    Fikra za getho part 1

    Kwani hii ni level gani Jomba? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kanyela mumo

    Fikra za getho part 1

    Poleni sana WaTZ wenzangu kwa yote Mungu ni mwema kila wakati, Binafsi nazingatia ya Wizara ya Afya.. Japo nakula sana cha A town no Church, Maombi kila sehemu mpaka kwenye Daladala chooni nikiwa nakata Gooooo goooo usirudi nyuma kuwa Makini Afya ni yako na chaguo ni lako.. Fikra za geto na cha...
  9. kanyela mumo

    Covid-19 ikiisha dunia itaanza moja

    CHINA INASHIKA NAMBA MOJA DUNIANI KWA UCHUMI.. NA TAIFA LENYE NGUVU KUBWA DUNIANI. NCHI ZA AFRIKA KUNUFAIKA NA RASILIMALI ZAKE. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kanyela mumo

    Nahitaji connection ya mtu ambae anafanya biashara ya samaki Mwanza

    Biashara bila reasech ya macho i mean kuona a.k.a kutazama mwenyewe nikuzika Pesa be careful Jomba.. Mtazamo wangu andaa 500,000 nenda Ziwani kafanye reasech..na usiruke kamba.. Mvuvi, wanunuzi, msafirishaji I mean all CHAIN la sivyo unaangukia PUA. Mtaani kuna Jomba Genge linakuwa kwa speed...
  11. kanyela mumo

    Kwanini watu wanapenda 'walipotokea' namna hii?

    Sijui ni ganja ninazo puliza au ni maruweruwe ya wakati huu ninaopitia! Let me be honest. Nimenza mwaka vibaya nusu nione nafsi yangu haina thamani japo ina thamani kubwa na wengi huwa wana respect. Jeuri niliyokuwa nayo ilitowekea Gizani ila Mungu ni mwema kwa kila jambo na wakati wote. Life...
  12. kanyela mumo

    Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Kiukweli Serikali ya CCM imejitaidi sana katika Sekta hii naipongeza kwa asilimia zote na pale TCRA wapo vizuri sana katika kusimamia. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kanyela mumo

    Naomba msaada juu ya kampuni yangu

    Fungua kampuni nyingine taratibu uku unawapa update wateja wako taratibu.. siku inakamilika unaama nao. Hiyo kampuni itakuletea shida mpaka uombe uzikwe mzima mzima. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kanyela mumo

    Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

    Mtoto kama wewe inatakiwa Amrish Pool ning'alishe sharubu, vipi tunafanyaje mzee mzima nataka kwenda sawa ila unaumia naumia life fupi mambo burudani. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kanyela mumo

    Hivi mtu unaanza vipi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu?

    Kama ulivyo sema, we Muombe Mungu vinginevyo fahamu Maisha hayana formula lolote linaweza kuwa sema ni swala la muda. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kanyela mumo

    Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

    Neighbor. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kanyela mumo

    Mwanaume ni nani??

    Kaka umeongea ukweli Mtupu. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. kanyela mumo

    Baba na mwana

    Mtoto wa kike anastahili Mapenzi ya Baba, binafsi hata massage ntamfanyia. Usipompa mapenzi unamchagulia Dunia mbaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. kanyela mumo

    Tabia za baadhi ya wanawake zinachangia wanaume kuwa na nyumba ndogo

    Ya kuona mume kazeeka ndio imenikuta, hapa najaribu kupiga hesabu naanza vipi kwa style gani. God is good Sent using Jamii Forums mobile app
  20. kanyela mumo

    Utafiti usio rasmi

    Nikija kuwa na Mwanamke zaidi ya Mke wangu basi atakuwa Mmama mtu mzima ili nipate experience zaidi ya Maisha ila sio hawa mabinti unaweza kujitundika. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom