Search results

  1. Quemu

    Msama Promotions wanahitaji kuomba radhi kwa uratibu mbovu wa Tamasha la Pasaka jana

    Hivi mmeona wapi steji ya kuperform ambayo haina taa? Hivi inawezekana vipi flash ya wasanii inagoma kusomeka? Hayo yametokea jana kwenye kwenye Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Msama Promotions pale Uwanja wa Taifa. Katika harakati zangu za kuendelea kutafuta mlango wa kurudi kundini...
  2. Quemu

    Fastjet need to be sued for punitive damage

    I don't care what they are going through within their operations at the moment I don't care whether they are striving to cut down cost by downsizing their aircraft They are taking us for a ride. This is unacceptable. I have been stuck in Kampala since Tuesday (Oct 4th). I came here for a...
  3. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Kwanza niaze kwa kusema kuwa sina nia ya KULETA UCHOCHEZI! Maana siku hizi kila jambo linalosemwa au kuandikwa ambalo linalenga kutofautiana au kukosoa mfumo mpya wa uongozi wa nchi yetu basi linatafsiriwa kama uchochezi. Siku hizi hatuna budi kufunga midomo yetu na kumuacha Rais wetu afanye...
  4. Quemu

    Miscommunication Jokes

    Communication from top to bottom hierarchy goes as follows:
  5. Quemu

    Love doesn't exist!

    What people call love is actually a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security. Love is a perfect state of attitude/feelings towards someone. So to expect love is to expect unexpected. No one has ever seen and/or experienced the...
  6. Quemu

    Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

    Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH. Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15...
  7. Quemu

    Kwanini wazazi wa kambo wanawekwa pembeni katika shughuli muhimu za watoto wa kambo?

    Jana nilihudhuria mazishi ya binamu yangu wa karibu. Binamu yangu huyu alilelewa na mama wakambo karibu maisha yake yote. Kilichonishangaza na kunisikitisha ni kuona kuwa mama yake wakambo alivyowekwa kando wakati wa mazishi. Ninachomaanisha ni kuwa, wakati wa kumwaga udongo na kuweka mashada...
  8. Quemu

    Hasheem Thabeet Recap - 2nd season in the NBA

    He is no longer a rookie! Second season yake ya NBA ndio hiyo inayoyoma. So why is our so young promising first-ever-NBAer still struggling? Is it: -Physical fitness? - Mental fitness? -Skills issue? -Or just competition ya number hiko so tough? Below are his recent...
  9. Quemu

    She claims to love me, but…….

    She is claiming to love me, but she is sharing her dreams with someone else!!! Can you believe it??? Alright!! She never gets tired of splattering her profoundly love for me. “I love you mackdaddy!.....You are every breathe I take superman!.... I like how you thrust me hard mr...
  10. Quemu

    Hii ndiyo moja ya sababu Wakenya wako dakika 5 mbele yetu

    Kuna documentary moja naiandaa ambayo inahitaji video production. Sasa basi, niliwasiliana na kampuni maarufu za video production nne (sitozitaja) hapa nchini katika ku-shop moja ambayo itaifanya hiyo kazi kwa ufanisi. Tatu kati ya hizo zinamilikiwa na wabongo wenzetu. Moja na Mkenya...
  11. Quemu

    Je wajua hili kuhusu CCM???

    Ya kwamba.... Mpaka leo hii CCM wameshatumia TZS Billion 127 kwenye kampeni zao!!! Je kwa namba hizi elimu na matibabu bure haiwezakani??
  12. Quemu

    Watanzania tu waongo sana!!!!

    Jana nilipanda basi kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu sana. Safari yangu ilianzia Tegeta na kuishia Posta Mpya. Kilichonigusa katika safari hiyo, sio msongamano wa abiria, ukosefu wa utumiaji wa deodorant kwa watanzania wengi, ubovu wa basi nililopanda au mengineyo. La hasha! Kilichonigusa...
  13. Quemu

    Vikao visivyoisha maofisini

    Hizi ofisi zetu zina vikao sijapata ona. Yaani kila ofisi ukijaribu kuweka appointment kumwona mtu fulani, utasikia yupo kwenye kikao tangia asubuhi. Ukisema uje kumwona kesho, utasikia kuwa atakuwa kwenye kikao pia…na keshokutwa….na mtondogoo…wiki mzima. Ni hili sio suala la ofisi moja tu...
  14. Quemu

    Pendekezo: wazazi wa watoto omba omba wachukuliwe hatua kali za kisheria

    Yaani bila ya aibu, haya, wala soni, unakuta mijimama na mijibaba imebweteka kwenye kivuli, huku mingine ikiuchapa usingizi, wakati watoto wao (wengi wao chini ya miaka 7) wakihaha kwenye jua kali katikati ya barabara kuomba omba. Huku ni kuwadhalilisha watoto. Kama kweli hao wazazi...
  15. Quemu

    Should they proceed with the marriage plans?

    This woman wrote a letter to a morning radio show. She and her fiancée are working on tying the knot. The only issue that comes between their plan is her fiancée is hesitating to marry her because she has bad credit. So she decided to seek out a loan from a bank to clean her credit mess. She...
  16. Quemu

    Maswali ya Kisayansia yanayonitatiza

    1. Uwezo wa Ndege (mnyama) kuweza kuruka na kuelea Ndege (mnyama) ana viungo gani vya ziada ambavyo vinamwezesha kuruka na kuelea angani? Kwa nini jamii nyingine ya ndege haiwezi kuelea angani? Mfano, kuku na bata wanaweza kuruka, lakini hawawezi kuelea angani. Je wataalam waliovumbua...
  17. Quemu

    My naked Turkey Beau

    Thanksgiving is around the block Looking for a turkey to moist out my coke (sic) A turkey which has the thickest juiciest crutch (sic) Ain't you the one…my naked turkey beau? I wanna a turkey which is totally thawed and cleaned A 120ish pound turkey with bow-legged & back-springed (sic)...
  18. Quemu

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza LED Name Display

    LED – Lighting Emitting Diode Natafuta mtaalam nyumbani wa kunitengenezea LED Name Display. Nahitaji name diplay 2 zenye ukubwa wa kama 60 x 12 (inches). Katika ku-google kwangu nimekutana na vifaa hivi ambavyo vinatakiwa: Diffused LEDs Microcontroller Serial socket Ohm resistor Multicore...
  19. Quemu

    Wabeba maboksi crew

    Nimeona Kang ameanzisha mada ya kuzungumzia mambo ya programming hapa: https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/33905-programming-crew.html . Halafu Nguli akatuua wabeba maboksi wote na kusifia mtu fulani hapa...
  20. Quemu

    Wabongo bana sijui tukoje!!!!

    Wabongo bana sijui tukoje! Inakuwaje hatuwi wakweli ikija kwenye masuala ya kushirikiana kikazi/kibiashara? Kwa nini tunapenda kupeana matumaini yasiyo na matumani? Nimekuja kwako kuongea nawe kuhusu uwezekano wa kampuni yako kushirikiana na kijikampuni changu kiofisi. Sasa wewe badala ya...
Back
Top Bottom