Search results

  1. cabo

    Maisha yangu ya kila siku na kioja cha leo

    Habari ndugu jamaa na marafiki wa jukwaa hili. Wengi mtashangaa kwanini kichwa cha habari kinasema ivo ni kwasabu nitaweka vitu vinavyonitokea au nitakavyo vifanya daily au kitakaponitokea chochote iwe ni cha kipuuzi au cha kuelemisha au cha kuchangamsha. Tukio la kwanza : juzi bhana wakati...
  2. cabo

    Alcatraz: Gereza hatari katika ulimwengu

    Alcatraz lilikuwa gereza hatari na maarufu zaidi Nchini Marekani. Hapa ndipo nyumbani kwa watukutu walioshindikana wa Marekani miaka hiyo. Alcatraz inapatikana katika jimbo la California kwenye kisiwa cha Alcatraz. Lilifunguliwa rasmi mwaka 1934 hadi mwaka 1935 tayari lilikuwa na wafungwa 242...
  3. cabo

    Vijana wakimbia 'mdahalo'

    Habari zenu vijana. Hii ni kwa wale waliokuwa wanapenda kukimbia sana debate mashuleni mnajifanya wajanja sana sasa huku mtaani kwenye ajira ndio utajutia jitu linakuja kwenye interview ya group dadek zake hata haliongei ku-debate linaishia kusema yes!!! yes!!! [emoji23][emoji23][emoji23] halaf...
  4. cabo

    Pesa nyingi kuliko kitu kilichoagizwa

    Yani niko kwenye harakati zangu hapa ofisini za kudai madeni hapa hawa nyau hta kulipa hawataki ndio kwanza wanaendelea kujibu kwa matusi tu utadhani mimi ndio niliowaforce kukopa shubaamit zao wananipa stress na ukizingatia mwisho wa mwezi boss anataka report ya wangapi wamelipia jitu linadaiwa...
  5. cabo

    Kweli maisha connection

    Aiseee nimeajiriwa ofisi moja hapa mjini kwa miezi kadhaa sasa kutokana na ucheshi wangu nimezoeana na watu kwa mda mfupi sana kwenye story story za hapa na pale za wanazengo wenzangu wahapo ofisi bhana kilantakae ingizia neno la imekuwaje uko hapa anasema connection yani karibia staff wote...
  6. cabo

    Lipeni madeni yenu bhana

    Yani kudadeki hizi kazi za kudai watu madeni kazi nzuri sana ila aisee hawa watu wanaodaiwa wanakera sana nimeona nije niwambie huku maana hawakosi kuwepo humu kudadeki zenu maana nikiwapigia simu mnajikuta kunitukana alaf mi nawajibu vizuri tu kwasababu ya ethics na kumuogopa boss lakini mi pia...
  7. cabo

    Nataka nimuache demu wangu

    Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi
  8. cabo

    Na jaribu kuwaza kwa sauti

    Hivi ni kweli kabisa mtu anaweza kuwa na millioni 1 mpaka 5 halafu hana cha kufanya, wakati anazikusanya hata hana idea yoyote ya kufanya. Nahisi utakuwa hauko serious, kweli najaribu kuwaza vijana wenzangu wapo wana ma idea kibao huko kichwani mwao wanasaka huku na huko ku implement kile...
  9. cabo

    Kituko cha kwenye daladala

    Siku moja wakati natokea kwenye mishe za hapa na pale pande za kigamboni nikapanda gari la kigamboni kwenda machingacomplex kwenye gari kama unavyoelewa kwenye magari ya machinga complex kuna ulazima wa kuwa na makonda (sio mkuu wa wakuu wa mikoa) wawili kwa watu wanaotoka pande izo au wanao...
  10. cabo

    Gari aina ya IST inauzwa

    TOYOTA IST #SILVER YEAR 2005 AUTOMATIC 5 SEATS CC 1290 KM 50000 BEI TSHS MIL 12 negotiable CONTACT CALL 0625554142
  11. cabo

    German shepherd pure puppy

    German shepherd pure puppy German shepherd pure puppy
  12. cabo

    German shepherd pure puppy

    Habari wanajamvi ninapenda kuwa tangazia kuwa kwa mtu yeyote mwenye shida ya kununua mbwa aina tajwa hapo juu ni mbwa wa aina yake na pia n mbwa pekee ambao unaweza kuwa train wakacope na mazingira ya binadamu wanapatikana kwa bei 500000 wanafaaa kwa ulinzi majumbani na hata maeneo mengine...
  13. cabo

    Viwanja viwanja viwanja

    Viwanja vipo vimepimwa na vina vibali vyote viwanja vipo maeneo ya kibada ni sehemu nzuri sana ni maeneo ambayo yameanza makazi ambapo kumejengwa nyumba kwa mpangilio mijengo ya maana hata masaki hapa ingiii karibu kwa anaehitaji tuwasiliane kwa kuni PM
  14. cabo

    Natafuta chumba cha kupanga

    Habar zenu Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA Dar kurasini - uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self kwa bei ya 50-60
  15. cabo

    HSM

    Jaman HSM hii ni program nimeiona mzumbe university morogoro kwa wasiyo ijua kwa kirefu ni bachelor degree in health system management na ni miaka 3 tu nashindwa kuelewa kma program ya udokta mbona inamda mfup compare na izo zingine kma MD na zinginezo kwa yoyote mwenye kuelewa hii program...
  16. cabo

    Kufahamu kuhusu Bachelor Degrees za Economics

    Habari za kwenu, Wana uzi mimi ni kijana nimemaliza form 6 na ninatarajia kujiunga na Chuo kikuu Mungu akinijaalia, ila kuna tatizo linanitatiza hasa katika program za kusoma. Mimi binafsi napendelea kuchukua au kusomea maswala ya uchumi ila napata mkanganyiko kwenye akili yangu maaana kila...
Back
Top Bottom