Habari wakuu!
Niwazi kuwa vijana wanapitia changamoto za ukosefu wa ajira licha ya kuwa na sifa za kuajirika. Wimbi la wasomi linazidi kuongezeka ilhali namba ya waajiri ikiwa pale pale ua kuongezeka kwa kiasi kidogo.
Je, tatizo ni kwamba hakuna nafasi za kazi au waajiri hawawezi kumudu idadi...
Kwa ambao hamjawahi kuletewa mapichapicha na wazee wenu mnaweza chukulia poa. Mimi ni mmoja wa wahanga nakushauri mkuu shtaki hilo zee huna kosa wala laana yeyote hapo.
Salam wakuu!
Yameishasemwa mengi...!
Nimekaa nikawaza kuhusu mwenendo wa jitihada za kupambana na corona hapa nchini nikapata maswali kadhaa ambayo sijayapatia majibu.
Ni wazi kuwa hakuna anayeridhishwa na ushiriki wa rais katika vita hii.
Ukiachilia mbali kwa inavyosemekana kuwa rais hayupo...
Tunapotakiwa kudeal na issue za kisayansi kama magonjwa ni vyema tufuate ushauri wa wataalamu na sio suala la utashi wa mtu flani.
Ugonjwa umeanzia huko ilikoanzia na walioweza kupunguza maambukizi wanashauri kufanya ABC nyie mnasema hamtaki kuiga, are you serious?
Mbona magonjwa mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.