Search results

  1. kichomeo

    Maggid ana nini na CDM?

    kwa hiyo we umeolewa na kutembea ila bado hujastaarabika,hayo mambo mwambie mwandishi maggid sio mimi,au kwa kukusaidia omba talaka ili uonekane hujui kitu ili tuanze upya
  2. kichomeo

    Maggid ana nini na CDM?

    bro pamoja na kuoa mzungu bodo hastaarabiki tu,ndo matatizoya wahehe,shule ndogo brain haipo smart thats y,ngoja ntampa taarifa mzungu anyang'anye laptop,lkn sometimes tuvumilie coz hata mke wake kamzidi umri so ni kama anambemenda,mwambi rostamhatampa chochote zaidi ya kumpotezea amani kwenye...
  3. kichomeo

    hili bunge limekuwa sharoo uharoo

    yaani kila nikiamka siwaoni african dreams naona makamasi tu.kila kanakoingia katoto ka mkulima,bwana lusinde hilo sio eneo la kutafutia umaarufu,wenzio wenyeviherehere kama wewe wamekuwa toto vjiwe stick........
  4. kichomeo

    Angalia Utongozaji wa Siku Hizi

    Zamani ilikuwa mtu unamtongoza mita elfu mbili toka home ila cku hizi vijana hawana habaari ni poison tu everywhere.........
  5. kichomeo

    Wanawake tuupinge huu mchezo!!

    hivi bro bila kuachia marinda unaweza kupona kifo mbele ya braza jambalika.......
  6. kichomeo

    Michelle wetu kunani jaman!

    kama umemmiss mfate kwao,hana ubunifu ndo maana amekuwa banned
  7. kichomeo

    Mama Makinda, mimi ni mtaalamu wa saikolojia ..nitafute!

    aiseeeeeeee bro umejuaje hata mimi daily nashinda room kufunua mabook naomba tugawane ratiba ya vipindi ili tumsaidie
  8. kichomeo

    Taarifa ya Msiba...!

    mwanga wa milele umpe eebwana
Back
Top Bottom