Search results

  1. Gudlucky

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Anajua kuwa Chadema ikiwa madarakani haitakuwa na ufisadi wala rushwa kwa hiyo itamshughulikia ipasavyo, itambidi awalipe kwanza ndugu wa marehemu fidia, kisha kifungo cha maisha segerea. So, kuepuka fedhea hiyo ameona ni bora ajinyonge kabisaaa Chadema ikiwa madarakani.
  2. Gudlucky

    Kuporomoka kwa ccm kutakuwa na mshido utakao potea ghafura.

    Ndugu watanzania waaminifu wenye kupenda kuona maendeleo ya nchi yao na ustawi wake kwa ujumla, Salam sana.... Jamani, siku zote mfa maji hakosi kutapatapa, na mara nyingi mtu akaribiapo kukata roho hutupa miguu na mikono huku na kule akigeuza shingo yake mara huku mara kule, uso wake na hali...
  3. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Powa, it's okay kabisa tena itakuwa saaafi, you do have positive permission. Do as you wish.
  4. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Ndugu, hayo ni mapungufu madogo sana ambayo kila mtu anaweza kuwa nayo, tunachoangalia hapa ni dhamira na nia yake ya moyoni juu ya watanzania. Mi naamini kuwa huyu ni mpiganaji, na itakapofikia muda wa yeye kung'atuka basi atang'atuka, anachohitaji zaidi ni uhakika tu. Kingine mwanafunzi wakati...
  5. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    But kumbuka mvua ikizidi kuwa kubwa kunamafuriko, na mafuriko yakikukumba unakuwa umepoteza gari kikubwa zaidi maisha yako. Kumbuka wahenga walisema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
  6. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Hapo sawa. Ni mchakato madhubuti endelevu usiokwamishwa na mazingira, hali au vikwazo vya watu mpaka kieleweke.
  7. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Hatumdanganyi, na sina maana kwamba aondoke sasa hivi, ninachozungumzia ni HATIMA yake. Yeye ni mzalendo mpenda haki, na CCM ni wabinafsi mafisadi, kuna tofauti hapa. Hata kama ataendelea kuwa ccm kutokana na alivyo kwao ni CHADEMA, Hiyo ndiyo hatima yake, akilazimisha kuwa ccm siku moja watam......
  8. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Mwenye Haki, hutafuta haki mpaka aipate haijalishi kaangushwa mara ngapi, akiinuka lake ni moja tu Haki. Na Upiganiaji wa haki ni mchakato yaani tendo endelevu lisilokoma wala kukomeshwa na mtu yeyete mpata kinachotafutwa kipatikane. Usiogope, yupo kwa ajili ya watanzania.
  9. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    It is not meaningful to live anyware doing everything, but it is wise to live where you meant to and do what you are meant to. Si kila mahali panafaa mtu kuwa na akaleta mabadiriko chanya. Pia kumbuka mwewe hawezi kumsaidia kuku kulea vifaranga hata kama watakaa pamoja lazima atavitafuna vyote...
  10. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    It is not meaningful to live anyware doing everything, but it is wise to live where you meant to and do what you are meant to. Si kila mahali panafaa mtu kuwa na akaleta mabadiriko chanya. Pia kumbuka mwewe hawezi kumsaidia kuku kulea vifaranga hata kama watakaa pamoja lazima atavitafuna vyote...
  11. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Si vigumu isipokuwa HUWEZI kabisa kusukuma gari ukiwa ndani ya gari hilo.
  12. Gudlucky

    SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

    Ndugu Mh. Samwel Sitta, napenda kutumia nafasi hii kukupa taswira halisi ya kile nionacho mimi katika swala zima la siasa. Katika tafakari yangu kwa muda sasa juu ya maisha yako kisiasa, huku nikifuatilia matukio mbalimbali yanayokupata, hatimaye nimekuja kutambua/kugundua kuwa, mwisho wako...
  13. Gudlucky

    Chadema ni Sauti ya Watanzania.

    Ndugu wana JF, naomba nivunje ukimya kwa kusema kuwa, Tanzania ni nchi inayokaliwa na watu wenye macho (hivyo wanaona), wenye masikio (wanasikia) lakini pia wenye uelewa (wanaelewa jema na baya). Ndugu zangu, watanzania si 'robots' hata wasisikie maumivu pindi mambo mabaya yanapo waumiza! Ni...
  14. Gudlucky

    CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

    Jamani, hizi taarifa si rasimi kabisa. Ieleweke kuwa CDM inajisimamia kwa maana ya chama, na si mtu mmoja au wawili. Kama kesho Zitto atatusariti, Kesho hiyo hiyo zaidi mwanaharakati na mzalendo wa kweli zaidi ya Zitto atakava nafasi. Sasa wananchi tunataka mabadiliko ya dhati na si polojo...
  15. Gudlucky

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Kwa kauli hizi za baadhi ya viuongozi wa serikali ya Ccm inaonesha chama hiki na serikali yake hawajali wananchi wake na ndio maana hawatambui uwepo wa matatizo rukuki na mazito yanayo wakabili wananchi kila kukicha, Wahenga walisema "Mfa maji hakosi kutapa tapa" Mambo yamewashinda lolote...
  16. Gudlucky

    Moto wa Chadema kuhamia Nyanda za Juu Kusini

    Chadema, we are with yu kuleta mabadiriko chanya. Let's us fight for our generation to come. We can do it. Keep it up. Mbeya mjitokeze kwa wingi jamani.
  17. Gudlucky

    Nionavyo Mimi, ( Tafadhali soma na changia)

    :clap2: Ninachojua, Hakuna malefu yasiyokuwa na ncha, na kila chenye mwanzo kina mwisho wake, Hata hivyo mbio za sakafuni Huishia ukingoni! Alafu, Haki ya mtu haipotei bure........ Watanzania tuna haki ya kula vinavyotokana na nchi yetu lakini hatuvioni...... Tuombe kwa Mungu wachache...
  18. Gudlucky

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Ndugu zangu, Ki ukweli kama mambo yataendelea hivi katika mjengo huu wa Bunge lililojengwa kwa madhumuni ya kutetea maslai ya watanzania, ya kwamba wale watu wanaoonekana kutetea watanzania ili kubadili hali dhaifu ya kiuchumi inayopelekea asilimia kubwa ya watanzania kuwa na maisha duni, kuwa...
  19. Gudlucky

    Elections 2010 Bunge letu lisipoangalia litapoteza heshima yake

    Amani Haiji kwa kutafuta njia za kuhalalisha ufisadi katika mali za watanzania wala kuchakachua mali ya watanzania, Amani inakuja kwa kutenda Haki inayoambatana na uwajibikaji katika kuwatumikia watanzania katika hali ya uadilifu na uaminifu! SASA watanzania tunataka HAKI, UKWELI na UWAZI...
  20. Gudlucky

    Elections 2010 Bunge letu lisipoangalia litapoteza heshima yake

    Bunge si sehemu ya kwenda kuonesha umahili katika kuongea lugha za mitaani, na si sehemu pia ya kuonesha chuki baida ya wabunge na wabunge au chama cha siasa hiki na kile! Ni sehemu ya kupigania haki ya watanzania kwa lengo la kuwaunganisha watanzania wawe wamoja katika mstakabari mzima wa taifa...
Back
Top Bottom