Search results

  1. K

    Help needed plse!

    kaka bado ucjali
  2. K

    Wizara ya fedha mnampango gani?

    jamani mimi kila kukicha namwomba mungt wizara ya fedha waachie zile nafasi zao kwan zile huwa azimwachi m2. Labda uwe una sifa.JAMAN KAMA KUNA M2 ANA HABARI KUUSU LINI AU MWEZ GANI ZITATOKA ANIJULISHE NIJIPANGE.. PIA VP KUUSU ZILE ZA UTUMISHI WAMETOA MAJIBU? NAONA KIMYA YAPATA MWEZ WA 5 SASA.
  3. K

    tra vacancy

    kaka jaribu 2 kwan hzo post ni nying mno ata kama m2 ana m2 wake bdo ztabki 2 kaka. 2ma kaka utapata
  4. K

    Jamani vipi bunge leo

    ndugu zangu huku kwe2 umeme umekatika tangu asubuh kwa hyo cjuwi nini kinaendelea bungeni naombeni mnipe habari nami nijuwe kinachoendelea huko. HUKU KWE2 UMEME UNARUDI SAA TANO USIKU.
  5. K

    hivi godbless lema aliomba mwongozo au alimtuhumu waziri mkuu??

    kaka ata mm nilishangaa kuona lema ameambiwa adhibitisha kana kwamba alimtuumu wazir mkuu kumbe alikuwa anaomba mwongozo.KAMA KUNA M2 ANAJUWA KANUN VZUR A2SAIDIE KU2PA MWONGOZO NA CC KTK HILI
  6. K

    Hivi waungwana Chicharito wa Man U,ameoa kweli??

    kaka kwann umemulizia chacharito na cyo rafael, unataka kumanisha nn
  7. K

    Website ya nafasi za kazi

    mkubwa embu tembelea ktk google andika neno everythingDar. Au www.everything dar.com. Utakutana na nafasi hapo.
  8. K

    tra vacancy

    jaman TRA wametema nafasi za kazi kwa wale waliosomea computer ndio zinawausu zaidi.
  9. K

    Natafuta kazi JF

    kwel kaka kama vp weka cv yko hewan wadau 2ichambue 2one kma ikiwa nzur nasisi 2washawish jamaa wakuchukue
  10. K

    Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

    2jipange yani sasa hvi chadema wakiitisha mandamano namimi naenda kuwaunga mkono kwan nataka mabadiliko. Wanpige risasi namimi
  11. K

    ATN kuonyesha laivu 16 bora ya Mabingwa Ulaya

    yani kaka hawa jamaa wana2saidia cc walala hoi. Mungu awabrik.
  12. K

    Assistant Accountant

    yani kaka nikionaga nafasi moja tu ya kazi uwa nachoka sana wala siangaikagi, kwan watakuwa wameshachakachua 2 hyo nafasi
  13. K

    vijana mambo vp

    jamani mimi ni mgeni ktk jamii hii, nategemea ushirikiano wenu ktk kutimiza malengo yetu. Mungu awe nanyi.
Back
Top Bottom