Search results

  1. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Nyumba ya kuishi madirisha kama kanisa, kazi ipo
  2. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Wangeziwekea milango kwa ndani, sio nje hivyo
  3. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Modern sewage system Pasiansi Mwanza
  4. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Angalia quality ya barabara hizi kwenye video 1. Mifereji umefunikwa 2. Kuna sehemu za watembea kwa miguu 3. Zina alama za barabarani ikiwemo taa maalumu za waenda kwa miguu. 4. Zina street lights. Hebu niletee video kama hiyo nione Arusha, kisha ntakuongezea barabara zingine za mwanza.
  5. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    GOMGEM VILLAS +255 754 255 299 https://maps.app.goo.gl/gmJ4WzoXStH6QNk19
  6. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Mjikusanye wote Arusha dom mbeya mniletee kitu kama hiki
  7. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Mwanza jiji iko vizuri kushinda Arusha jiji
  8. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Hapa ni mirongo sports centre kuna viwanja vya kila aina
  9. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Hapo palipozungushiwa ni viwanja vya tennis, tena wanacheza vijana local sio wazungu tu.
  10. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Vizuri sana, katikati ya mji wa Dodoma ni wapi?
  11. N

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Kwani unafikiri Bugando ina ghorofa ngapi?
  12. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Haya ndio majengo ya chuo? Tena cha 17B? Duh
  13. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Wewe mbona kila siku unapost mji wa kiserikali na vile vipagale vya TBA
  14. N

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Unajua kiutawala jiji la Mwanza ni Nyamagana Pekee, ila kieneo jiji la mwanza ni nyamagana na Ilemela. Takwimu za serikali mara nyingi huwa zinahusu halmashauri na hapa ndio hutenganisha Nyamagana na Ilemela kama halmashauri mbili tofauti. Ila ukiunganisha Ilemela na Nyamagana sidhani kama dom...
Back
Top Bottom