Search results

  1. B

    Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

    Tanzanite klm, Your Mobile number please, nataka hayo mafuta Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Kibonde

    Kibonde
  3. B

    Kodi mpya: Barua ya TRA kwenda kwa mabenki

    This is a good sorce of revenue.It is our hope that banks,financial Institutions and Telecom. Companies will comply to this But what are the measures for non compliant?
  4. B

    Daladala laparamia ukuta wa kanisa kuu St Joseph, vilema wasombwa

    Leo asubuhi daladala limepalamia ukuta wa kanisa kuu St Joseph, Samora Drive na vilema wawili omba omba waliokuwa langoni wamegongwa na kukimbizwa hospitali.
  5. B

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Wakulaumiwa ni wewe uliyekubali risiti pingufu. Utakubali vipi taifa lako liibiwe huku unaona. TRA wanasisitiza kudai risiti kwa kila kitu unachonunua lakini watu wanakataa kufanya hivyo. Hawatakiwi kulaumiwa TRA ni wewe wa kulaumiwa.
  6. B

    Tanzania overtaking Kenya to become the leading economy in the region

    Ipatikane sululu ya matatizo kama Kukatika kwa Umeme, Ufisadi Miundombinu duni,n.k La sivyo hii ndoto tuuuuuuuuuuuuuuuu
  7. B

    Biashara ya Binadam Tanzania imehalalishwa

    Hii inauma sana, Ebu wana JF yatajeni yalipo hayo madanguro!
  8. B

    Jina........

    Kakiite kituo cha watoto wenye SMARTMIND
  9. B

    Jina........

    Kakiite kituo cha watoto wenye SMARTMIND
  10. B

    Wazee wa Bandari meli hiyoo

    Hizi picha wekeni kwenye Mambo ya Kikubwa, Siyo hapa please.
  11. B

    Wazee wa Bandari meli hiyoo

    Mh,Umekosea njia, Hii kitu hapa si mahala pake, Find out where to post such picture.
  12. B

    J. Samwel Malecela ni mgonjwa

    Nimepata habari kuwa Mzee Malechela yu mahututi, Tumwombee apone.
  13. B

    Yaliontokea jana....jioni!

    Hii inaonyesha ni jinsi gani Security wanavyo fanya kazi. Hupashwi kulalamika. Ni jamba la kawaida tu.
  14. B

    Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

    Tumesikia katika vyombo vya habari kuwa Pinda kamsimamishama Magufuli asiendelee na zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa pembeni mwa barabara kinyume cha sheria au kupisha upanuzi wa barabara kwa ajili ya kupunguza msongamano. Hivi hii ni sawa?
  15. B

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    Pole sana Ndallo, Mimi nina jamaa zangu leo ni siku ya 4 hawajaludi na hawapatikani kwenye simu. Ushauri wangu, Makampuni ya simu wafanye mpango haraka wa kupeleka mawasiliano huko. Babu awe no Ofisi Arusha mjini na watu waende kwa booking,pawepo na idadi fulani ya watu kenda huko. Selikali...
Back
Top Bottom