*_Anaandika Bernard Mukasa_*
UFAFANUZI KUHUSU KANISA KATOLIKI KUTOKUWAFANYIA MAZIKO YA KIKANISA BAADHI YA WAAMINI WAKE:
Jana mitandao ya kijamii nchini ilienea habari za kanisa kutokumzika tajiri mmoja kwa sababu alikufa katika hali ya "kinyumba" bila ndoa takatifu, na kwamba hakuwa mshiriki...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale,
Naomba msaada kwa mwenye ujuzi laptop yangu aina ya dell, imekata sauti gafla nashindwa kuelewa tatizo limetokana na nini.
Msaada tafadhali
bidhaa hazina madhara kiukweli alafu ni mfumo mzuri wa kujiajiri
tena unaifanya kwa muda wako wa ziada,mimi naifanya kwa muda wangu wa ziada,na naingiza kipato kizuri
unaweza kunitafuta kwa maelezo zaidi
au kama una whatsapp nicheck hapa ili nikupatie baadhi ya videos zinazofundisha...
Wapendwa natumaini mko salama,
Kuna mdogo wangu kaulizwa swali kashindwa kulielewa, sasa kaniletea mimi na kwangu limekuwa gumu, nikaona nililete hapa kwa wadau mtanisaidia;
''Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur'' - Ndio swali lenyewe..
SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI.
Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe.
Andrew Chenge (Mb)
Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6.
Zitto: Mhe...
Habarini washikadau wangu wa nguvu, naomba kuuliza kuna uwezekano wowote mtu kufuatilia mambo yako unayochat kwenye groups mbalimbali kupitia kwenye email yako, ikiwa anaifahamu na password.
Kwa kifupi kwenye group hayupo,lakini ananiambia kila kitu kinachoendelea kwenye group,hyo inawezeka? au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.