Search results

  1. D

    Dr. Slaa: Natishwa

    Mkuu ukiona hivo ujue ipo sababu, hawawezi tu kuwa kimya wakati wanajua kabisa mtu wao muhimu; Think Bigger!!!
  2. D

    Lowassa kutangaza rasmi msimamo wake Julai 13, 2015, ACT wajiandaa, CCM kupasuka

    Nani kasema? Hivi wewe unafikiri EL ni mjinga kiasi hicho atoke CCM? Kama ni kutoka CCM atatoka mwingine lakini si yeye. Anajua kabisa akitoka amejimaliza. Hata hivo nani wa kumpokea UKAWA? Kwan viongozi wa UKAWA ni dhaifu hata wamsubirie ED aje kuchukua nafasi ya mtu? Yeye labda akajiunge huko...
  3. D

    CHADEMA yaumbuka Geita mjini

    Hapo kwenye Red nakubaliana na wewe kabisa! Na maamuzi yao yatakwenda sambamba na uelewa wao. Sina shaka kwa hilo.
  4. D

    Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

    Ni kweli ila sasa ni ya nani itakwenda kumwagika? Nani anajitoa Muanga kwa hilo?
  5. D

    Hofu ya CHADEMA kupoteza sifa ya kuunda kambi rasmi bungeni baada ya uchaguzi mkuu Oct

    Mimi naona unajifurahisha tu ila kwa sasa naona eti Nyinyiem ndo mmekaa sana na kwamba watanzania wameshachoka na lazima yawepo mabadiliko. ACT bado fanyeni kazi kwanza naamini miaka 20 ijayo mnaweza kuwa na wabunge wengi, kwa sasa bado na hasa ukizingatia mpiga debe mkubwa ni ZZK ambaye...
  6. D

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    Mkuu hilo wimbi ni lipi? mimi naona kama punje kumi za mchanga katika lori zima la mchanga!! Sijaona kama kuna kilichopungua, sana sana hao wamepotea tu kwa uangalizi wa mtu badala ya kuangalia taasisi. Hivi lakini kwanini watu wanapenda kuwa wabinafsi? Zito ni mbinafsi mwenye tamaa sana ya...
  7. D

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Well said Kamanda, hata mimi sioni sababu ya kulialia kote huku, Pendeni kujitegemea na msipende kushiriki mambo yanayoweza kuwatoa katika imani yenu. Hivi lakini mnataka nini au ni ili ionekane kuna kitu cha msingi mlichonyimwa ili sasa baadaye kianze kugharimu maisha ya watu kama mnavyochomaga...
  8. D

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Nikukumbushe: Labda nikuulize tu mkuu kuwa, hv kama EL hafai kwa ajili ya ufisadi ni nani anayefaa kwenye Manyinyiem? Manake wote hakika wameoza tena ile ya kabisa. Ni nani msafi huko????? EL afadhali zaidi manake alibeba mizigo ya watu na inafahamika hivo.
  9. D

    Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

    Ni kweli mkuu BIGURUBE lakini huwezi jua, yanaweza kufanyika maridhiano na kusameheana lakini jamaa akawa kumbe alikuwa hamaanishi; kumbe anaendelea kutumika na Nyinyiem halafu kwenye point za mwishoni akaibua li ugomvi na mmoja wa wategemewa wakafikishana pabaya na jamaa akapoteza sifa za...
  10. D

    Kinana: Lowassa safi, Nyalandu anazurura

    Sasa si mpaka manyinyiem yampendekeze kwani ana jeuri ya kuamua mwenyewe?
  11. D

    Kinana: Lowassa safi, Nyalandu anazurura

    Membe, Sita, Yule wa nyanda za juu kusini et al wanasikia lakini? Msijesema ni makundi yanaendelea!!!:lol:
  12. D

    Nape Uso kwa Uso na Lowassa Leo Mto wa Mbu, Monduli

    Du! wakuu lakini inaonyesha naye EL amechoka, ila mimi naona akisha kuwa Rais tu na akapatiwa kile chakula anachokulaga malkia - Royal Jelly huo mwili na akili vinarudi kuwa vipya kabisa. Hebu tumpeni urais muone.
  13. D

    Nape Uso kwa Uso na Lowassa Leo Mto wa Mbu, Monduli

    Jamaa hajiamini, mwangalie tu hata alivyokalia hicho kiti, kama anataka kukimia vile!!
  14. D

    Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni

    Siyo Mahakama ya kazi ni Kadhi sasa aliyeizuia ni nani jamani? Kwani serikali inahusiana nini na mahakama hii? Kuna mambo itafanya yanayohusu serikali? Mimi nafikiri anzisheni mahakama yenu, fanyeni chochote lakini sheria ibaki palepale kuwa serikali haina dini. Hatutaki watanzania waanze...
  15. D

    DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

    Umeme ulikatwa mapema tu huku Morogoro Turiani baada ya kile kipindi cha asbh cha bunge. TANESCO acheni watanzania wajionee majadiliano ya hatma ya fedha zao. Kwanini mnakata umeme? Hata hivyo kwa wingi uliopo wa vyombo vya habari, taarifa hizi tutazipata tuuuu!
  16. D

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Nani anayeng'ang'ania muungano? Kwanza wa nini kwa faida ya nani? Waasisi ndo wanaoujua maana yake na ni kwa nini waliuanzisha. Zanziba yenyewe hailingani hata na mkoa wa Singida huku bara, sasa ninyi mna nini hadi tuwang'ang'anie. Yaani hata mkitaka sasa hivi muungano uvunjike tu. Liwalo na...
  17. D

    Slaa: JK ana mkono EPA

    Mkuu mtabakia kwenye majadiliano ya Kibabu na Gongo, Wazinzi kwa wake za watu nk; wenzenu wanachanja mbuga! Jitatathminini! Jiratibuni! Tehe!:dance:
  18. D

    Utetezi wa Mh. Pinda kuhusu uchelewashwaji wa ujenzi wa barabara ya Lindi maeneo ya Somanga

    Wakuu wanajamvi wenzangu, huyu mheshimiwa aseme tu ukweli manake hadi sasa hakuna linalojificha, hivi kweli kwa ufuatiliaji wa waziri wa ujenzi Magufuli kwanini asitoe tamko kama ambavyo amekuwa akifanya kwenye barabara zingine, mbona kwenye hii ya Somanga - Nyamwage kanyamaza kimya? Ukweli ni...
Back
Top Bottom