Search results

  1. Liparamba

    Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Dah! Umenigusa Hapa nimetoka Job msosi tayari, nipo napata Embasy, Natamani Sana niache nikishiba tuu hamu ya Embasy.
  2. Liparamba

    Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Mwamba alifeli Sana Nadhani aliunganisha pia physics& Chemistry kuwa somo moja.
  3. Liparamba

    Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    Nakubaliana na wewe, Kama siyo kifo labda Kama previous husband wake amepata ukichaa wa akili nakushindwa kutimiza majukumu yakindoa na ikathibitishwa kitabibu na Jamii ikawa inaona hali yake.
  4. Liparamba

    Huu ndio ukweli mchungu! Wanawake wa kijijini wana ladha ya asili

    Hatari Sana mimi wa kijijini Liparamba natamani mbususu za mijini na wamjini mnataka mbususu za Liparamba.
  5. Liparamba

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Huwa napenda Sana kuangalia Hiyo nyonyo!
  6. Liparamba

    Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Ngoja niweke kumbukumbu nitakutafuta baada ya uchaguzi.
  7. Liparamba

    Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

    Nikiona comment yako lazima niview avat yako niwacheki hao jamaa kwenye Laptop.
  8. Liparamba

    Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

    Jordan Lugimbana alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2001 alilala Liparamba, miaka ya karibuni aliwahi kuwa mkuu wa wilaya moja Dar es salaam bado Yuko hai japo Kwasasa simsikii, Hizo stori za vijiweni tuu.
  9. Liparamba

    Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    Hapa ISYONJE Ni baridi na ukungu hatari Siku ya leo hatujapata jua Sijui ndugu zangu wa KITULO na MAKETE hali ipoje.
  10. Liparamba

    TAMISEMI inakuwaje mtu kafaulu zaidi masomo ya Sayansi halafu ninyi mnampangia HGL, masomo yenye ufaulu hafifu?

    Angalia Kwanza kama shule alopangiwa ina combination unayotaka asome anaweza kwenda kubadilisha Shuleni na wakuu wa Shule wamepewa utaratibu huo. Kama shule alopangiwa haina combination unayotaka asome fanya mawasiliano TAMISEMI.
  11. Liparamba

    Uchaguzi 2020 Kuiondoa CCM madarakani kunahitaji kujitoa tena kujitoa haswa

    Tumpe kura Lisu ,unataka umpe Nani?
  12. Liparamba

    Uchaguzi 2020 CHADEMA Kyela tunasubiri kwa hamu kumdhamini Lissu

    Nipo Sativa Kyela !! Tunamsubiri Sana
  13. Liparamba

    Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Erythrocyte: natamani Siku moja nikuone"KARIBU ngyeke, Ipinda na Matema"
  14. Liparamba

    Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

    Wewe jamaa unajicho Na ufikiri wa mbali Sana
  15. Liparamba

    Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

    Chifu sogea City pub upate mvinyu!!
  16. Liparamba

    Gharama za fomu ya kugombea udiwani, ubunge na Urais zinapangwa na nani?

    Pasco anafeli wapi? Mbona Bright Sana Au lile swali la ikulu linamtafuna?
Back
Top Bottom