Search results

  1. VendoPatrick

    Nataka niokoke wapendwa

    Hayo ni maamuzi mazuri na yenye hekima. Kumrudia Mungu ni jambo nzuri sana. Mungu akubariki kwa uamuzi huu. Nenda kwa askofu Mkane pale TAG - MLANDEGE utaongozwa vizuri.
  2. VendoPatrick

    Kuongezeka kwa hormone ya testosterone kwa mwanaume wa miaka 32.

    Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
  3. VendoPatrick

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Iringa watokwa na mapovu kwenye orientation

    Habarini ndugu zangu wana JF, Leo nilikuwa pale OUT branch ya Iringa nikihudhuria orientation course. Ndugu zanguni wanafunzi wengi wameingiwa na hofu kubwa juu ya hatma yao kuhusu msimamo wa Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako wa kufuta foundation course na kutimua wale wote waliokwenye...
  4. VendoPatrick

    Tamko la waziri wa elimu sifa za kujiunga na chuo kikuu

    Habarini wapendwa wa Jf, kwanza naomba kuwashukuru wadau wote wa masuala ya elimu kwa michango na mawazo yenu mazuri ambayo mmekuwa mkiitoa pale mtu anapohitaji msaada wa jambo lolote linalohusu elimu. Moja kwa moja naomba niende kwenye mada iliyonisukuma kuwaandikia na kujiuliza kwenu. Mimi ni...
  5. VendoPatrick

    Ruhusa ya kwenda kusoma.

    Ushauri mzuri! Ahsante.
  6. VendoPatrick

    Ruhusa ya kwenda kusoma.

    Eti ni kweli kwa in service anayetaka kwenda kusoma chuo am hatapata mshahara mpaka amalize masomo yake? Naomba msaada kwa anaefahamu.
  7. VendoPatrick

    Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    Umesema vema mkuu that's a reality.
  8. VendoPatrick

    Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    Kiukweli serikali haijaidhinisha viwango vya GPA zinazotakiwa ila ni kasumba ya vyuo vingi vya Tz kama UDSM, UDOM, SUA,DUCE,MUCE, SAUT, RUCU, ST. JOHN, MWENGE, etc. Kutaja vigezo hivyo vya GPA nilivyokuwa nimevitaja hapo awali.
  9. VendoPatrick

    Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    I meant sasa huoni.... Sorry for typing error
  10. VendoPatrick

    Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    Saizi Ndalichako anakagua vyuo vyote na anataka viwe na uniform qualifications na ameanza na TEKU sasa hunijibu kuwa huyu bwana itakula kwake?
  11. VendoPatrick

    Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    Yaani yeye ana GPA ya 2.0undergraduate na masters ni 3.0 sasa nilikuwa najiuliza akimaliza hiyo Phd atafundisha chuo gani? Na hivi wanakomaa kuhusu GPA kuanzia 3.8undergraduate na4.0masters in case anataka kuwa lecturer wa vyuo vikuu.
  12. VendoPatrick

    Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    Kuna mwalimu anafundisha sekondari hapa Iringa ameomba kwenda kusoma Phd. Sasa najiuliza ya kazi gani kwake?
Back
Top Bottom