Search results

  1. M

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga atimiza ahadi ya kampeni kwa kukabidhi "dustbin" mbili Zahanati ya Kijiji cha Kaning'ombe

    Aliahidi ametekeleza, Ada ya mja kunena muungwana ni vitendo! Dust bins 2 was a problem which is now resolved! Kudos to the MP🤣
  2. M

    Zitto: Msajili wa Mahakama Kuu ametukimbia, amefunga ofisi na kwenda kujificha

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya leo. Ngumu kuamini lakini ndiyo hali halisi. Very sad!
  3. M

    Polepole hajakoma, ajipanga kivingine

    Duh ndugu siasa sasa imewapata wenyewe...ni mwendo wa kurushiana madongo tu, yawe ya kweli sawa! yawe ya urongo mtupu sawa!
  4. M

    Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Cry my country, cry!
  5. M

    Tamko: CCM yawajibu Lowassa na Zitto pia yakana kushiriki kwenye kuivuruga CUF

    Duh hii hatari? Hivi huko chama tawala katiba ilifuatwa? Hivi press conference imeitishwa kwa ajili ya kujibu maoni ya Lowassa?
  6. M

    Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Mabadiliko yapo mwaka huu. Siyo mabadiliko ya koti mvaaji yule yule. Koti na mvaaji wanabadilika.
  7. M

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Mkuu wa kaya kasema picha za kuunga hizo! Nabaki kumshangaa.
  8. M

    JK,MAMA SALMA,MAKAMBA MDOGO NA MKUBWA,RIDHIWANI JK wamwachie Lukuvi Kumnadi Magufuli

    Napenda wimbo wa chama tawala kuwa CCM ni ile ile. Wanasahau kuwa Watanzania siyo walewale! Miaka 50 na ushee imetosha!
  9. M

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Hivi huyu mtu ni intelligent kweli? Maana nimepata kusikia ana uwezo mzuri wa kufikiri. Unaweza vipi kutoa takwimu kama hizo? Namwambia ukweli January ajaribu mbinu nyingine. CCM is in bad shape popularly on the ground. I suspect bad samples have been taken.
  10. M

    UNAJUA kwa nini CCM lazima Ife.

    Mzee Lowassa anatumia haki yake ya kikatiba. Wananchi wataamua 25/10/2015. Hali ya maisha ya watanzania ni mbaya sana chini ya utawala wa CCM.
  11. M

    Kwangu mimi haya ni maajabu kabisaaa sitaki kuamini niliona mbali hivi!

    Kutabiri kwamba chama kitaingia kwenye kwenye mgogoro ni kama kutabiri kwamba binadamu atakufa siku moja. Hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho hakijawahi au hakitapata migogoro at some point! Hawa wanachama na viongozi ni binadamu wenye mawazo na mitazamo ambayo haiwezekani ifanane...
  12. M

    Rais Kikwete kupangua Baraza la Mawaziri

    Angalizo dogo kwenye hiyo taarifa ya mtanzania. Mheshimiwa Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa ni mbunge wa jimbo la Kalenga na siyo mteuliwa na Rais.
  13. M

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    I will have to search for the exact words that Mzee Sitta has used. BUT if what is reported here is correct then Mzee Sitta is becoming another bother himself! If you discover that you have been doing an incorrect thing it is always good to amend and move in the right way. Opposition MPs have...
  14. M

    Kama Nape msaliti, Wassira ni nani?

    I cannot agree more! CCM has outlived itself and is now more of a hindrance to the country's development than a vehicle for the betterment of the people's lot. I await with anxiety the coming of 10th July to see what they will do. I am sure of one thing, however, that they will come with a...
  15. M

    Little Jimmy

    Duh bring more like this.... you made my day!
  16. M

    Jinsi ya kudownload online video na music bila kutumia software yoyote ile

    Sounds fine from a procedural point of view. Shall try this and if successful a big thank you will follow!
  17. M

    Mke wa aliyekuwa Kamanda wa polisi [RPC] Mwanza ashitakiwa kwa rushwa

    Kila ninapoona tuhuma za rushwa "ndogo ndogo" nabaki tu kushangaa. Mabilioni ya fedha yanapotea kupitia misamaha ya kodi na wahusika wanaendelea kupeta kila uchao. Serikali hii ya sasa imekumbatia rushwa na wala rushwa kwa kiwango cha kutisha. Mabadiliko yasipotokea haraka nchi yetu itaangamia...
  18. M

    Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

    Sad to see somebody so biased against a person who has shown the willingness to work for the good of Tanzania. Parked lorries, yes they are a problem equally problematic are structures built in areas that are suppoed to be road reserves! Even the decision to stop the demolitions is by and large...
  19. M

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    Hao wanaoandamana kumuunga mkono JK waachwe waandamane. Sisi CDM tutakuwa tunakosea sana kama tutarusha madongo bila kuzingatia hoja za msingi. Tunachotakiwa kufanya ni kuendelea kuwapa elimu ya uraia na haki zao bila kuchoka. Ninao uhakika wanafanya maandamano bila kujua nini hasa wanahitaji...
  20. M

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    I do not very often comment on issues that are raised in the forum. But on this I would rather ask the author to think in a logical way before writing anything. This type of people negate the cause that JF has set out to achieve through well researched exchanges and debates. In any case it takes...
Back
Top Bottom