Search results

  1. A

    Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    pole sana kamanda mpiganaji Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana na lihimidiwe Amen.
  2. A

    Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Dr kata mzizi wa fitina ili tuwajuwe magamba yanayotusumbua
  3. A

    Gari la matangazo la CHADEMA lakamatwa Morogoro

    Serikali DHAIFU ndivo ilivyo.............kitaeleweka tu
  4. A

    Dk Slaa hajakomaa kisiasa

    Mods kwa nini msimwondoe kwanza jamvini kwa sababu kaanza vibaya ili akajifunze namna ya kuingia humu jamvini
  5. A

    Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

    mbona hujamjuisha mrithi wa jimbo hilo 2015 jembe la la ukweli DR Kitila Mkumbo?
  6. A

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    "Liwalo na liwe" na "Dhaifu" itabidi wavae kanzu nyeupe ili wakatibu watz......vinginevo wajiuzulu mara moja
  7. A

    Mtwara: M4C yazidi kuibomoa CUF..

    Mpaka kieleweke pipozi..........................M4C
  8. A

    Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho HAKUNA lolote la maana lililozungumzwa. Magamba kwisney...........PIPOZ.......................................................POWER
  9. A

    Ufafanuzi wa hotuba ya "upotoshaji" ya Zitto kwa watanzania waishio Marekani

    sku ya kufa nyani naona tayari, hawana pa kushika kwani kila mahali panateleza
  10. A

    Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

    Andika: gamba Nape karibu cdm tukuvalishe gwanda
  11. A

    M4C vs Mechi ya taifa stars leo. Nani zaidi?

    mstakabali wa nchi kwanza ndo hata mpira utachezwa kwa kiwango
  12. A

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Tbc nao ni lazima waanze kuvua gamba tayari kuvaa gwanda. Na hizo gharama za kesi alipe Makamba yusuf kwani yeye ndo aliyewadanganya wenzake kukata rufaa kila jimbo iliposhinda cdm
  13. A

    Nchemba: CCM haiwategemei walimu

    huyu fataki mwache tu aringe na kodi za watz kwa kuita vijipety cash kama mwenzake chenge siku si nyingi vitawatokea puani.....siku zao zinahesabika mbona...........M4C is near.
  14. A

    Makamu M/kiti BAVICHA taifa ni pandikizi au kapewa pesa haramu?

    Huyu dd sujui cdm imetokana naye wapi. hivi kwa busara za kiuongozi hata kama Heche alianza kukosea kwa hiyo naye akaona ni busara aendeleze kukosea kwa kuita press conf.........nadhani hapo kuna kitu nyuma ya pazia la huyu dada. Tusimkawize apashwe ukweli wake kwenye kikao cha 24/05 ili...
  15. A

    Ole millya kutua ndani ya jimbo la lushoto alhamisi tarehe 24/05/2012

    All the best kamanda Millya......pipoz.............................
  16. A

    Bavicha waache utoto wa kupiga kelele

    Tunaamini watakapokutana 24/05 busara itatumika na kuwakumbusha wajibu wa kila kiongozi wa Bavicha ili kuondoa migongano inayopandikizwa na mafisadi.
  17. A

    RC Arusha ampongeza jaji aliemvua ubunge Godbless Lema...

    Huyu sasa ngoja tumwonyeshe M4C hapa AR ndo atambue
  18. A

    CHADEMA yasomba wana-CCM mkoani Pwani.

    Nape atuambie tena hao ni wale waliotakiwa kuondoka
Back
Top Bottom