Yanga hana malengo na hii match ili alike nusu anajitaji kuwa namba ya pil sio kuongoza kundi ili asikutane na simba bali TP Mazembe ndio target ya yanga
JK kosa lake ni moja tuu
Kukata jina la Lowasa basi
Hakuwa na sababu za msingi za kumkata Lowasa wala Lowasa hakuitaji favour ku campaign urais wake ndio mana alishinda hata alipokuwa chadema lakini wakapindua matokeo
Ndio maana JPM alimuheshimu sana Lowasa sababu alijua kuwa Lowasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.