Search results

  1. silent kills

    Msaada wa kisheria kuhusu kukodi shamba lenye mgogoro

    Salam, Naitwa Noel na nimekuwa mdau mkubwa sana kwwnye jukwaa hili la sheria na nimeona ushauri mzuri unaotolewa na wanasheria waliomo kwenye jukwaa. Niende kwenye mada husika hapo juu nilikodi shamba mwaka jana ili nione najikwamuaje na ukosefu huu wa ajira unaotusumbua vijana wengi...
  2. silent kills

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    mi roho inaniuma ni ile kuubwaa..kwanini wasingeteka iliokwama upande wapili.wa nchi?
  3. silent kills

    Mkurugenzi wa TPDC aliyerudishiwa wadhifa wake na Rais Magufuli afutiwa Mashtaka

    Ok nikuulize wewe mwenzangu.je kwa hapo kwenye wale maaskari wa kusindikiza dhahabu na kwa huyu.mkurugenzi je kimetumika,sawa?
  4. silent kills

    Mkurugenzi wa TPDC aliyerudishiwa wadhifa wake na Rais Magufuli afutiwa Mashtaka

    Hili la mtu kutokujisikia kuendelea na.kesi huwa linanikera hatari..yaani watu wameiba dhaabu wametia hasara taifa wametumia ofisi vibaya hafu dpp akilala akiamka hajisikii kuendelea na kesi eti mahakama inamsikiliza..na inamsikiliza bila sababu ya msingi hasara walizoingia watu kwaanzia familia...
  5. silent kills

    YALIYOJIRI SADC: Rais Magufuli awa M/kiti SADC. Tanzania yawa nchi pekee ya SADC ambayo uchumi wake unakua

    They gave the 4n back to you ee...maana siku mbili tatu hizi ulikua unaandika utumbo tu..tuliokufanya roll modo tukaona polepole mwingine slowly anajitokeza
  6. silent kills

    Askofu Bagonza: Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia Hospitali, Mikopo yetu. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena

    Walianza na.kuvujisha siri za nabii gwaji akimpa mtu vitu vitu vya moto ikavuja tukacheka tukisema sio yeye wengine wakisema ni yeye Mwisho gwaji boy saa hii amevunja mayai mengine ili ale chips yai na sasa wamevujisha ya wastaafu bado tunacheka tu bado mimi na wewe.hakuna aliesalama japo...
  7. silent kills

    Ikulu, Dar: Yaliyojiri Kuapishwa kwa Mawaziri wateule Hussein Bashe na George Simbachawene

    Niungane na wewe kwa kusubiri kuthibitisha kuwa ukiwa na akili ccm hawakutaki na ukibahatika kuchaguliwa basi akili ziache nyumbanu uwe zezeta BASHE ukiwa mpuuzi kama kina kabudi basi nitaamini walichokuwa wanasema watu kuhusu ccm kuwa ni chuo cha kulemaza akili
  8. silent kills

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    To me bashe is greet guy ila kumfanya naibu sio poa kiivo..yule alipaswa kuwa wziri wa biashara na viwanda kuna kitu kichwani kwake i adimire him..tatizo cxm ukishapewa uwaziri akili zako halisi ziache home utakuta za mazombie ofisini'..hayo ya kina makamba watajuana wenyewe bashe tusibitishie...
  9. silent kills

    Video: Nape Nnauye akana sauti inayodaiwa ni yeye na Kinana

    Kwa.jinsi alivokua anatia machi yule alimaanisha hicho alichosema wala hakuteleza wee sema akili ilipigwa na ukungu akasahau kuwa lile dili ni la siri geye kalitoa nje
  10. silent kills

    Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

    Hivi kati ya dola milioni 300 na bilioni 190 ipi kubwa? Maana hata paskali anashangilia Hapa sijaelewa au kaandika vibaya
  11. silent kills

    Video: Nape Nnauye akana sauti inayodaiwa ni yeye na Kinana

    Kama profesor paramaganda alikana alichozungumza intanationaly Na video yake kaikana yaani hadi naehojiana nae kakiri alichosema kabudi hujiulizi kabudi ujasori wa kukana kile alitoa wapi?msiba alisema ukiwa na dgree ya unafiki ndo ccm inakuelewa..vipi kabudi kakana je nape ambae haonekani...
  12. silent kills

    DPP awafutia kesi ya uhujumu uchumi askari Polisi nane waliokuwa wakisindikiza dhahabu Mwanza - Geita

    Hapa huwa ndo ninaposhindwa kuelewa huzi kesi za kuhujumu uchumi zimekaaje?mhujumu uchumi ambae hadhaminiki hata akiwa mahakamani anaachiwa kwa dpp kujisikia tu kumwachia...ifike mahali mazingira ya dpp kujiamulia yafutwe maana akijisikia kuagiza ukamatwe akusoteshe rumande aje akuchie badae...
  13. silent kills

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Wafunge wooote waondoke tuanze upya maana bila kuimba wimbo mmoja wote hatutaelewana..walianza wanasiasa wakaja wanaomaliza chuo wakaja wenye vyeti feki wakafuata wastaafu wamekuja kwa wamachinga sasa imeenda hadi kwa waandishi wa habari waajiriwa serikalini hao hua ni sikio la kufa hadi wakose...
  14. silent kills

    WB watuanika udhaifu wa Tanzania, yadai kwa miaka 2 tumeporomoka nafasi 12 za mazingira ya uwekezaji huku sekta binafsi ikiwa hoi

    Haha kweli njaa imekurudisha tunakotaka wewe..yaani hata wewe kwa sasa una reason kwa kutumia vile vitu ambavyo hata kwa mtazamo wa asiekwenda shule atagundua Kuwa hivo ulivovitaja havijahusika kwa lolote kusisimua uchumi wetu kwa sasa tumani tulobakiza ni reli ndo nahisi inaweza kwenda...
  15. silent kills

    Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

    Hatutaki wenye akili timamu tunataka vichaavichaa
  16. silent kills

    Tiles zimepanda bei

    Kama ulishindwa kujenga kipindi kikwete yupo kwa sasa kalewe tu au usubiri aondoke..alisema mtaishi kama mashetani
  17. silent kills

    IDU Resolution on Tanzania adopted at IDU Executive Meeting, 13 April 2019

    If we dont fight 4our selves no body will do..they will just write their pepar and keep silence
  18. silent kills

    Risasi haziui, kimya huua! Matendo ya uonevu dhidi ya watanzania yamezidi

    I knew it ndo ina akisi jina langu tokea zamani mwanamama kalitumia kakomboa taifa lake ma ccm mtaani yanaropoka yakikaa na mwenyekiti wao kila mtu anaufyata wanamsifia tu. Haya sasa tumekaa kimya kuhusu trilioni 1.5 na sasa imeongezeka hadi 2.3 Tumekaa kimya kuhusu uchumi kushuka mwaka jana...
Back
Top Bottom