Search results

  1. Mkwawe

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Anapinga ushoga Anakosoa uislamu Pia anakosoa wayahudi ila kwa kesi ya Jana ni dogo wa kiislamu ndo alitaka kumdunga
  2. Mkwawe

    Ni Waziri gani anaona amefeli na kwanini?

    Sio waziri tu ni serikali nzima Kazi kutwa kuropoka takwimu zisizomsaidia mwanachi wa kawaida
  3. Mkwawe

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Alikuwa anasema alahu akbaluu Nadhani alifuatisha Surat Al'anfal 12 👇👇👇
  4. Mkwawe

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Achana naye huyo dogo ni mwarabu mwenzake aliyefanya hivyo
  5. Mkwawe

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha...
  6. Mkwawe

    Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

    Waluguru dar ni kama kwao, kuanzia mabibo, kigogo, ilala, buguruni, vingunguti hadi Tabata yote wamejazana wao
  7. Mkwawe

    Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Kwa kesi kama hiyo ndo utaona siku zikianza kuingizwa ajenda mbaya za nje jamii itaathirika sana nadhani tunapaswa kuulinda utambulisho wetu kama watanzania hizi tamthilia za nje zimezidi sana siku hizi ukiwa na mtoto mweusi atatengwa Ukizaa mweupe utasikia "katoto kako kazuri kama mturuki au...
  8. Mkwawe

    Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Unachoongea ni kweli ila ume exaggerate sana. Japo hata mimi niliwahi kuwaza kama wewe hasa katika nyanja ya kuathiriwa kitamaduni. Vibinti vingi vimekuwa brainwashed na tamthilia hadi vinakataa utu wao kiafrika na kuona kuwa mwafrika ni laana, wengi wanatamani kuwa na watoto weupe na huwapa...
  9. Mkwawe

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Ulitumia muda gani hadi kuwa nondo
  10. Mkwawe

    Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Matendo mema yenyewe wanasubiria hadi Ramadhani ifike wakati kwetu sisi wakristu ni utamaduni wetu Kifupi wanapenda show-on
  11. Mkwawe

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Sorry bro Umehitimu level gani ya cyber security na ulichukua muda gani
  12. Mkwawe

    HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Za chini chini nasikia 60b zimelambwa na wakubwa wa bodi ya mikopo
Back
Top Bottom