Search results

  1. semali kisenga

    Chumba cha kupanga kiwe jirani na barabara ya morogoro

    Naitaji maeneo mbele ya ubongo na nyuma au magomeni.... Iwe ni standard na bei ya kawaida... Naomba hata kama una namba ya dalali maeneo hayo niPM asanteni
  2. semali kisenga

    Natafuta Nokia E71 or E72 ya kununua

    Iwe kwenye hali nzuri na bei ya kawaida, nipm au simu 0682733791 tukielewana nakupa cash tarehe 25 mwezi huu wa pili.
  3. semali kisenga

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Toka jana nafuatilia mjadala huu, sababu za kuufuatilia kwanza ni kuona Jina la Deus Mallya humu, pili kuona ustadi wake mkubwa wa kujibu masuali na tatu ni kuona kama atajibia tuhuma za utapeli kama anavyopewa na Maege na wenzake. Nachoka kusubiria majibu ya hizo tuhuma, naomba kaka Deo...
  4. semali kisenga

    uzinduzi uzinduz; video albulm st augusino choir UDSM

    Mnakaribishwa katika uzinduzi wa video album ya st augustino choir UDSM main campus itakayofanyika katika ukumbi wa nkrumah siku ya tr 6 yaan jumapili ijayo. Itakuwa ni full burudani kwaya nyingine nyngi na bendi maalumu. Usipange kukosa sababu utasimuliwa sana. Karibuni sana.
  5. semali kisenga

    Job resign

    wengi hawajui mazingira ya hizo kazi unakua kama punda...mi niliacha kabla ya kufikiria. kama ipo ipo tu piga chini utapata nyingine. hawa watu ni wadhalilishaji sana.
  6. semali kisenga

    Job resign

    acha hiyo kazi hayo ni matusi na dharau..then katika maamuzi kama hayo ushauri au taarifa ni baada ya kuacha. mi niliacha nilikua nalipwa 7000 per day nimekaa kitaa then sa hv nimepata pamoja siyo nzuri sana na ni ya muda ila sifanyi masaa 14 kama hiyo ya kwanza hawa wahindi we ngoja policy...
  7. semali kisenga

    HESLB Posts mambo si mazuri applicants

    WE KAZI INAITAJI MTU AWE NA DEGREE YA ACCOUNTS, ARCHEOLOGY, FINANCE NA EDUCATION kwanza ni degree zisizoendana kabisa then hawakuitaji hata equivalent qualification ni hizo tu.... tusife moyo jamani ila siku moja tutaingia kwenye hizi ofisi na kwenda kuwatoa hata kwa nguvu.
  8. semali kisenga

    jamani hofu ya nini interview dodoma?????

    labda wameona kuchagua kwa cv tu haitoshi/haiwi na matokeo mazuri so wakapigwe pepa ndo wafanye 1st screening...Looo kazi!!!!!
  9. semali kisenga

    jamani hofu ya nini interview dodoma?????

    Mi naona tatizo ni ukosefu mkubwa wa ajira na uongozi mbovu wa chuo kuita watu wote tulioapplly. Tufanye nini basi: kwa wale wenye nauli zao waende huko kwa tusionazo kukopa kwa ajiri hii uwezewekano wa kudaiwa/kutolipa mkubwa. muhimu: Ikiwemo tanzania soko la ajira linatanuka sana tutaanza...
  10. semali kisenga

    Kwa akina dada kazi za uhudumu wa baa na mpishi.

    Kazi mbili kwa akina dada natafuta; 1) mhudumu wa baa wa kike 2) mpishi wa kike sifa awe na umri usiozidi miaka 23 mchapa kaziajue kusoma na kuandika - uzoefu sio muhimu. - piga 0714148504
  11. semali kisenga

    Mshahara wa Police ngazi ya degree

    ni around 380,000 hadi 450,000
Back
Top Bottom