Search results

  1. M

    Natoa ushauri kwa wanawake/wasichana wasio na wapenzi bure

    Kama wewe ni msichana au mwanamke ambaye huna mpenzi lakini unahitaji kumpata,ninauwezo wa kukupa ushauri muafaka.Nitafute kupitia mlimbwa1977@yahoo.com.Sitaki usumbufu kwa wanaume wenzangu.
  2. M

    CUF, CHADEMA, NCCR na TLP anzisheni makubaliano sasa mlikomboe taifa letu

    Inashangaza kuona watu wakiendelea kushabikia mambo wasio na ushahidi nayo.Nani aliye na ushahidi kuwa CUF ni CCM B? Unaposema ni B maana yake ni nini? Nani aliye na ushahidi kuwa CHADEMA ni chama chenye mlengo wa dini ya kikristu,pia chama cha watu wa kaskazini? Achaneni na mawazo mgando lazima...
  3. M

    CUF, CHADEMA, NCCR na TLP anzisheni makubaliano sasa mlikomboe taifa letu

    Kwa ujumla hali ya maisha kwa Watanzania walio wengi inaendelea kuwa mbaya kadri miaka inavyokwenda licha ya maliasili zilizopo nchini.Mwaka huu tunasubiri kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika,umri wa miaka hamsini hairandani na maisha duni waliyonayo watanzania walio wengi.Kumekuwa na...
  4. M

    Kwa nini tbc1 haionyeshi mechi zinazoihusu timu ya taifa?

    Ninavyoelemwa mimi chombo cha umma lazima kitumike kwa maslahi ya wote.TBC1 inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote,kwanini inashindwa kuwapa furaha wapenzi wa mpira wa miguu kote nchini kupitia television yao? Sidhani kama suala la kusubiri wadhamini ndipo mchezo uonyeshwe kama ni haki kwa...
  5. M

    Matokeo ya michezo iliyochezwa 11 June,2011 Copa Coca Cola.

    Naomba kufahamu matokeo ya michezo iliyochezwa jana katika vituo vyote vya mashindano.
  6. M

    Kwa nini Watanzania hatuwapendi polisi?

    Hakuna asiyewapenda wana usalama isipokuwa wananch wanawaogopa polisi na sio kuwachukia,sababu ni nyingi sana,kwa uchache tu ni kwamba polisi wamekuwa wababe wanajiona wao ndio wenye nchi hasa wanapoingilia mikusanyiko halali kama maandamano na kadhalika.Wanapo amrishwa kufanya jambo fulani...
  7. M

    Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

    Ni kweli wanateleza kama inavyoweza kumtokea binadamu yeyote,kwa kuwa hawa ni Watanzania wenzetu napenda kuwapa ushauri ufuatao unaweza kuboresha kipindi chao ambacho mimi nakipenda sana licha ya mapungufu yake. 1.Lazima wawe na ajenda mahsusi wanayokusudia kuijadili katika siku husika,kwa...
  8. M

    Kwa nini ccm isiwe na katibu mkuu mwanamke?

    maana yangu ni kwamba kama lengo ni kuwapa wanawake nafasi za juu katika uongozi,CCM kama chama kilichoonyesha nia hiyo kwa nafasi ya uspika nia hiyo ingeendelea hata ndani ya chama.
  9. M

    Kwa nini ccm isiwe na katibu mkuu mwanamke?

    Wakati wa uteuzi wa mgombea kiti cha uspika ndani ya CCM mbiu ilikuwa ni wakati mwafaka kwa mwanamke kushika moja ya mihimili ya dola,ndipo tuliposhuhudia Ndugu Samwel Sita akienguliwa. Ukiangalia safu ya uongozi mkuu wa chama hiki ukianzia mwenyekiti,m/mwenyekiti,Katibu mkuu,na wasaidizi wake...
  10. M

    PINDA: Singida NO 1. kwa UMASIKINIi Tanzania

    Vigezo vinavyotumika kupima umasikini katika mikoa ni pamoja na; pato linalotokana na shughuli mbalimbali katika mkoa husika,mfano,mazao ya biashara,viwanda vidogovidogo na vikubwa,kiwango cha elimu kwa wakazi wa mkoa husika,wingi na ubora wa huduma mbali mbali za kijamii,ubora wa makazi ya...
  11. M

    Dr. Justine Katunzi wa UDSM Afariki Dunia

    Chuo kikuu cha DSM kimempoteza mhadhiri wake dr. Katunzi (aliwahi kuwa mbunge) aliyefariki jioni ya leo akiwa darasani akifundisha. Kwa hakika ni pigo kubwa kwa jamii ya wasomi wa chuo hicho kikongwe nchini. Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu ameen.
  12. M

    Nionavyo mimi: Pinda si mtoto wa mkulima

    Kwani mshahara wake anaupeleka wapi,hapaswi kumiliki 'assets'? Kwani umasikini ndio kielelezo cha kuwa msafi/mwadilifu? umasikini ni matokeo yasiyopendezwa na mtu yeyote,kila mtu anatamani kuwa na mali nyingi kadri inavyowezekana ili aishi vizuri hapa duniani.Mtoto wa mkulima kama ulivyo wewe na...
  13. M

    Wanafunzi wengi vyuoni wanafaulu mitihani kwa kutazamia/kuibia nini hatma ya tanzania?

    Imebainika kuwa wanafunzi wengi katka vyuo vyetu nchini wanajihusisha na ghiliba/ujanjaujanja wakati wa mitihani mbalimbali au kazi wanazopewa na walimu wao,wapo wasiojihusisha kabisa na kazi zinazotolewa(assignments) lakini mwisho wa siku mtu anafaulu kwa kupata alama a,ndani ya vyumba vya...
  14. M

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Ni kweli kabisa mr/ms mfamaji,mapigano au vikwazo vyovyote wanaoathirika ni wananchi wasio na hatia,hata wakimuua Gaddaf bado wananchi wataathirika sana kwa miaka mingi ijayo.
  15. M

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Rais Museven amejitutumua ni vizuri lakini tunataka umoja wa Afrika utoe tamko na kutekeleza kwa vitendo msimamo wake.Siamini kama kuna haki kwa nchi moja kuingilia kijeshi nchi nyingine kwani kila nchi ina haki ya kujitatulia matatizo yake yenyewe,watu wa nje wanapaswa kutoa ushauri tu wa namna...
  16. M

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Kwa hakika sisi waafrika Mungu ametunyima weledi,ujasiri,huruma,ni waoga,wavivu,wanafiki,watu wa kujipendekeza kwa matajiri. Inasikitisha kuona bara lenye nchi 53 kushindwa kuwa na umoja wenye nguvu unaoweza kukemea mabedui wanaotudharau na kutufanyia vitendo vya unyanyasaji na mauji yasiyo na...
  17. M

    "Watangazaji Bora wa mpira Tanzania...."

    Ahmed na Omary Jongo,Charles Hilary,Sued Mwinyi,Juma Nkamia,Dominic Chilambo,wapo wengi lakini hawa wanawazidi kiufundi.
  18. M

    Kwanini inaitwa mikoa ya pembezoni?

    Kama maana ya mikoa ya pembezoni ni iliyo mipakani mwa nchi, kwanini inatajwa kukimbiwa na wafanyakazi kwa kisingizio cha kukosa hiduma muhimu? Mara zote wanaposema mikoa ya pembezoni wanataja,Mtwara,Ruvuma,Kigoma,Kagera,Rukwa.Lakini hawataji mikoa kama Tanga,Mwanza,Arusha,Mbeya ambayo pia ipo...
  19. M

    Kwanini inaitwa mikoa ya pembezoni?

    Watanzania tusipende kutoa majibu mapesi kwa mambo ya msingi,wapo watu wanaotatizwa na matamko ya maneno niliyobold hapo juu,badala ya kuonyesha weledi wako unakebehi.Ama kweli watanzania tumelaaniwa,watu hawana muda wa kutafakari,wanalipuka tu kujibu hoja kimzahamzaha tu. Please,Watu werevu...
  20. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Utafiti ni muhimu lakini kwa hili la imani haitawezekana,waachwe watu wapate huduma hiyo muhimu,mazingira yaboreshwe mzee aendelee na shughuli yake haraka ikiwezekana ndani ya siku 7. Ni jukumu la serikali kujitutumua kuonyesha uwepo wake lakini haitakuwa busara kumfungia kabisa kutoa huduma...
Back
Top Bottom