Search results

  1. makokoro

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Ninachokiona wengi wanadhani kuwaza ngono kila muda ndio wingi wa testosterone.
  2. makokoro

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Sketi zinakwepeka, ila kuna hali ya mwili iko, kuna ka internal power kana kufanya ujihis faru au bulldozer uchakaze chakaze na kurarua mbususu, ila bado tuna strong will, natumai siku mia zitaisha.
  3. makokoro

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Shimba ya Buyenze, mapambano yaendelee, nakitaka hicho cheo
  4. makokoro

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Hakika mkuu safari sio rahisi, wacha tuendelee kujaribu jaribu, japo na majaribu pia ni mingi msee
  5. makokoro

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahaaaa pambania kombe boss, salut nitaitoa baada ya kunipa mrejesho
  6. makokoro

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kama jina lako linasadifu, natumai ulienjoy kuogelea kkatika lile bonde la ufa
  7. makokoro

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daaah ushanilia Rehema wangu, kila weekend anarudigi babati
  8. makokoro

    Dawa ya stress ni nini?

    Pole sana mkuu kwa uyapitiayo. Stress katika zama hizi imekua ni jambo lisiloepukika, ukikoswa koswa huku lazma utapatikana kule. Nini cha kufanya basi kukabiliana na hali. Naamini kila mtu yuko na upekee wake hivyo yale yatakayonisaidia yanaweza yasiwe yatakayo kusaidia, kwaiyo cha msingi ni...
  9. makokoro

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wali kuku wenyewe ndio huu kaka??
  10. makokoro

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kuku, kuku tu.
  11. makokoro

    Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Daah umenikumbusha mbali sana, kuna basi lilikua na nembo kubwa "Pride of Mwanza" Super Najimunisa. Wakati huo magari mengi yakiwa yanatoboa Mwanza kutoka Dar mida ya saa tatu, saa nne, sisi tulifika siku ya pili yake saa nane, tukiwa hoi kama wana wa Israel.
  12. makokoro

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nina jamaa angu mmoja naye alikua ni muumini wa hiyo idea yako ya kuhakikisha utelezi upo, ila mwaka 2020 tukamzika.
  13. makokoro

    Msaada: Napata maumivu baada ya kumaliza tendo

    Hapo pia akipata asali iliyonzuri haijachakachuliwa, awe anaipakaa na kumassage uume walau kwa week moja tu, itamsaidia katika kuzigenerate kwa haraka, La msingi zaidi zingatia hiyo miezi sita ya kutojihusisha na chochote
  14. makokoro

    Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Basi na tuendelezee hapa kwa sasa 4:07
  15. makokoro

    Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Kwa upande wangu nilimsikiliza na nilimwelewa kama ifuatavyo; Tatizo la mabadiliko ya tabia nchi si geni ni la muda mrefu na njia nyingi za namna ya kukabiliana nazo zilishatolewa na si kwamba hazijulikani, Katika njia zote utekelezaji ndio umekua ukisua sua hasa namna ya kuwezesha ama miundo...
  16. makokoro

    Somalia pasikie tu ukiwa huku huku kwenu

    Kaka viongozi wengi wanakemea sana na kudiscourage hayo masuala, kinachooneshwa ni hicho wengi wanapenda kioneshwa, ila watu hao ni wenye agenda zao binafsi, kisiasa n k .
Back
Top Bottom